![]()
RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).
C'est ce qui est tout au sujet de l'intellectualisme de la Tanzanie, plus de dix pages sur le forum président Ng'onda achat d'un décrochage local! ce que cela a quelque chose à voir avec nos graves problèmes du pays?!
Ooooo, aende shamba alime
Croyez-vous que c'est la seule et la première priorité pour le Président de faire! Qui choisit quoi et comment couvrir sur les activités du Président? Tout président est d'avoir calendrier serré, mais être socialisation humaine fait partie de la vie.
Vitabu! wewe unajua maana ya vitabu wewe?
What is Nyerere to do with this debate? Hukuwahi kuona nyerere kapanda baiskeli mitaani? Hukuona Thomas Sankara akitembea mitaani? Hapa TZ hujui kwamba Karume alikuwa akicheza bao mitaani? Yamekusaidia nini unachoomba kidumu na matembezi ya mitaani watu wakinunua ngonda? Mtu anakosa sifa unaamua kusifia hata akipenga kamasi mitaani. You seem a staunch supporter of stupidity, easily swayed by your poor organoleptic assessment JF should be a fact making blog. Come with figures and not narrative collective words like wengi, waganda, etc.
what do you mean by wengi? How many are they? If you cannot convert your measurements into numbers, immediately stop making nonsense! This is what the world confirms to be nonsense nuisance. Vipi ulikuwa Uganda, pale Kampala international nini?
Tunazungumzia Rais wetu, unaanza kujitetea kwa kutumia vijitabu ulivyoona Uganda. Wengine tumeishi nchi hizi zote kwa ufahamu mkubwa siyo kusoma sekondari baada ya kufeli Tanzania.
Why are you so low! When you get a thrd, pause a bit, be quick but dont hurry.
Hahaaaaaa, kamasi zinakutoka, lugha yenyewe hiyo huijui ali mradi tu. Kikubwa ni kwamba hapa nimegundua ninamuelewesha mtu aliyetoka Milembe hivi majuzi ambae bado hajapata unafuu nahisi ametoroka.
Hutoweza kunielewa, ukweli utabaki palepale, Kikwete ni Mtu wa watu, hutaki chukua sumu ya panya ujimalize we shoga sawa eee
C'est ce qui est tout au sujet de l'intellectualisme de la Tanzanie, plus de dix pages sur le forum président Ng'onda achat d'un décrochage local! ce que cela a quelque chose à voir avec nos graves problèmes du pays?!
Hebu kwanza niambie wewe ni mwanaume au mwanamke maana huenda unavutiwa na mengine na kujikuta ukisifia mume wa mtu bila sababu. Sisi tunaandika juu ya Rais.
Hayo uliyoandika ni maneno ya lugha gani? Kiswahili hakuna kitu, kiingereza hata kujaribu huwezi! What a creature are you? Unajua maana ya punctuation marks? Unawezaje kuanza na neon ‘Hahaaaaa' halafu ukaweka coma? Shula ndogo na pole kwa mwajili wako. You seem to have not come off with anything. Elimu ya kata Eeee!
Let me dress you down although this is not a face-off. I hope ulimaliza darasa la saba maana sidhani kama ulifika form 4 kwa uandishi kama huu. Nani anayekuaminisha kwamba huyo ni mtu wa watu.
Duuuu humu Leo ztapigwa ngumi
Pourquoi utiliser le français dans le forum anglais?
Sword, pouvez-vous comprendre cette langue?
Hongera, kwa kuifahamu lugha maridhawa.... hivi kufahamu kiingereza ndio kuelimika kumbe...!!! Milembe siku hizi uangalizi umekua hohehahe hawa watu wanaachiwa watakuja kuleta madhara uswahilini hawa.
Parce que j'étais en colère à la première fois quand j'ai vu le débat ne dure jamais alors qu'il a rien d'important au service de notre National.
Quoi qu'il en soit, je vais utiliser l'anglais et le kiswahili comme vous voulez Monsieur;
Kwahiyo kuelewa kiingereza ndio kuelimika?Oooh! Kumbe hata mimi sijui kiswahili kama wewe? Hebu tuandike kwa kiingereza mkuu. French nimeacha maana naona umeshindwa hata kugundua kwamba nimekutaja. Can we take up? Kuna yeyote aliyemaliza la nane la zamani hapo nyumbani akusaidie? Nijulishe tafadhari.