Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Ivi Quinine ni mwanamke au mwanaume?
Nchi ni ya watanzania na si ya raisi magufuli kama huyu quinine mwenye akili za wapi sijui anavyodhani. Kama wewe ni kada la bavicha kwa akili hizi wacha mkapa awatukane, na kwa kufanya hivi nimetokea kuidharau sana chadema kwa utumbo kama kama huu uliowekwa jamvini na huyu kaquinine sijui. Wewe ni shetani kushabikia kufail kwa serkal kwa mambo yenye tija na maana katika nchi. Mim si mwanachama wa ccm ila naunga mkono baadhi a shughuli nyingi tu zinazofanywa na serikali. Utakuwa umeguswa na magufuli kwa namna moja au nyingine mana unashabikia ujinga, watanzania wengine hovyo kabisa, usijiingize kwenye kilio cha matajiri wezi as if wao walikuwa wanakusaidia kulia pindi walipokuwa wanakunyonya.

rais Magufuli amefeli.... toto feliya... abadili style ya kuongoza hii nji or else....... He is done and finished..... Hakuna namna mtawaambia watz wawape kura 2020 kwa jinsi mambo yalivyo

Kosa Lake kuu ni ubaguzi miongoni mwa watz kwa kubagua upinzani waziwazi
la pili ni kutumia nguvu nyiingi Bila sababu za msingi
La Tatu ni mawasiliano hafifu ndani ya Serikali yake
4 "kutopenda kushauriwa/ kushauriana NA wasaidizi wake au labda ni mbishi hasikizi lolote
5. Katiba naona aliitupa kabisaa

LA mwisho ni Chama chake.... Laiti km Magufuli asingekuwa ccm angeeleweka mimi mwenyewe ningejifunza kumuelewa.. Ila ccm inamuangusha

Kabisa
na Kuna watu ndani ya ccm wanamishemishe asitoboe 2020..baada ya mianya yao ya Wizi kuwekwa super glue

Tatizo la nchi hii ni ccm.....
 
Aliahidi kumpeleka mahakamani fisadi aliyehamia cdm ....mm km mzalendo naunga mkono hili la kumpeleka huyo fisadi mahakamani bt naona haitimizi hii ahadi.... he should be a man of his own words.
Haha
48aa80349b6f2c898570b9100c41c126.jpg
 
Aliahidi kumpeleka mahakamani fisadi aliyehamia cdm ....mm km mzalendo naunga mkono hili la kumpeleka huyo fisadi mahakamani bt naona haitimizi hii ahadi.... he should be a man of his own words.
Hafukui makaburi sweet maana hata yeye Ana ile Maiti ya mv daresalame ccm wote wezi tu si Lowasa wala yeye
 
Umeongea vinzuri , tatizo yote aliyofanya hayana msingi shirikishi, yaani hakuna utendaji Wa kitaasisi rushwa IPO wapi nguvu ya takukuru, uwajibikaji Wa w/umma sipo wapi taasis za maadili au n hawa wakuu Wa mikoa, reli , ndege liko wapi bunge, kwenda Dodoma IPO Wa nguvu ya kibudget. Alafu eti waungwe mkono upi they know everything, future hakuna. Ila hata hivyo tumezoea kupata kidogo, tutasifia. Nchi zingine zikifanya kweli tunawaza std gauge angalia Ethiopia wanaongelea nini?, wakati maamuzi ya madiwani si kitu, nguvu ya miji,majiji Na halmashaur hoi siasa mbele, maneno matupu, macho kwenye kura hakuna lolote, ok, ok, ok.

Dah, we jamaa wewee!!!
Hivi umeandika ukiwa na kumbukumbu ya mambo yaliyopita au umejitoa ufahamu tu?
Mimi watu wa aina yako huwa napenda kuwauliza swali moja tu: ingekuwa wewe ndio Rais wa JMT hivi sasa, ni nini ungefanya/vipaumbele vyako kwa mwaka mmoja tu?
Ukinijibu hilo swali (au labda na watu wengine humu...) tutaanza kuuchambua huo uongozi wako na kukupima (kifikra tu)
Ni rahisi kuona kibanzi jichoni kwa mwenzako kuliko boriti jichoni mwako
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
na bado singeli ataicheza vizuri 2017-2018,huu mchezo hauhitaji PHD
 
Breathless
 
Ivi Quinine ni mwanamke au mwanaume?
Nchi ni ya watanzania na si ya raisi magufuli kama huyu quinine mwenye akili za wapi sijui anavyodhani. Kama wewe ni kada la bavicha kwa akili hizi wacha mkapa awatukane, na kwa kufanya hivi nimetokea kuidharau sana chadema kwa utumbo kama kama huu uliowekwa jamvini na huyu kaquinine sijui. Wewe ni shetani kushabikia kufail kwa serkal kwa mambo yenye tija na maana katika nchi. Mim si mwanachama wa ccm ila naunga mkono baadhi a shughuli nyingi tu zinazofanywa na serikali. Utakuwa umeguswa na magufuli kwa namna moja au nyingine mana unashabikia ujinga, watanzania wengine hovyo kabisa, usijiingize kwenye kilio cha matajiri wezi as if wao walikuwa wanakusaidia kulia pindi walipokuwa wanakunyonya.
Acha kutokwa na povu, kaainisha hoja zake, njoo na hoja kinzani siyo kuja na hoja za kutafuta huruma ya watu.
 
Jibu hoja madawa ya kulevya yameisha au kamfunga nani? fisadi yupi kafikishwa mahakamani nk nk.
Asilimia 90 ya wauza unga ambao majina yao yalikuwa yanarundima hapa dar pamoja na matapeli wenyebmajina wapo mahabusu za segerea na keko akiwemo tapeli maarufu NDAMA MTOTO WA NG'OMBE
 
Pamoja na yoote hayo,wafanyakazi wa umma
hasa wenye vyeo nadhani wamejifunza kitu
kimoja kuwa cheo ni dhamana.Kama hawajajifunza
basi ni bahati mbaya kwamba kila darasa lazima
kwenye mtihani atapatikana wa kwanza na wa mwisho.
hata kama ni darasa la majiniasi.

Somo la pili lililotufikia watanzania wote
ni kwamba hujafa hujaumbika,
ukikuta haki inavunjwa usiseme hainihusu
maana hujui kama kesho hayo makali ya upanga hayatakupitia.
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Mkuu hapa naona umelalamika tu hujajibu hoja hata moja za mtoa mada vipi??
 
Daa nipo mbali sana kuifatilia hii nchi kinachoendelea naona mapicha picha tuu tangu alivyofanya figusu mkopo ndio aliniua kabisa... Wanao mtetea wanamaslah yao binafs lkn uki summarize hamna jipya
 
Back
Top Bottom