Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Wapotoshwaji Siku zote hawakosekana na penye mema hapakosi wanafiki. Sasa mtoa mada yeye anataka mafisadi wawepo tu hata kama hawapo? Ama anataka wabambikiziwe kesi? Stop nonsense.
 
Siasa za upinzani ni za kucapitalize kwenye uongo na uzushi! Kujificha, kujiteka na kutukana! Hakuna upinzani dhaifu kuwahi kutokea kama huu ninaouona!
 
Wapotoshwaji Siku zote hawakosekana na penye mema hapakosi wanafiki. Sasa mtoa mada yeye anataka mafisadi wawepo tu hata kama hawapo? Ama anataka wabambikiziwe kesi? Stop nonsense.
Mkuu hapo unataka kusemaje, naona kama umekwazwa ukatahamaki.
 
Five Years my friend, kuwa na subira.. Mabadiliko ni kazi isiyo ya lele mama. Kwote tunakosifia leo wamepiga hatua China, Vietnam, Singapore,Indonesia, na nchi zinazochipukia hivi sasa Ethiopia, Rwanda nk zimepitia changamoto kubwa zaidi ili kufika walipofika....
Unafikiri miaka mitano ni mingi leo hardly kabakiza 3yrs.

Kwa Tanzania ni ndoto kuzifikia nchi ulizozitaja kwa sababu hatuna sera za kitaifa bali tuna sera za vyama kiasi kwamba akiingia rais mpya anakuja na sera zake,

leo Magufuli ana sera ya viwanda kesho akiingia mwingine anaitupa analeta ya kilimo kwanza.
 
Rais kaishiwa pumzi kivipi? Shika adabu yako tuheshimiane, mimi sijarudi huko kwenye square one. Hayo makosa uliyoyaorodhesha yanawezekana kutatuliwa mbona bado mapema unataka kuwakatisha watu tamaa!
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Siasa za wazungusha mikono ni kufurahia mambo yanapoenda mrama ili wapate cha kusema. Nilichongundua kuwa mtaji wa wapinzani wa Tanzania ni matatizo ya wananchi wanapoona matatizo ya wananchi yanatatuliwa huona kuwa kibarua chao kiko matatani. Ndio wapinzani tulionao.
 
Je mtoa mada kasema uongo or ukweli?tetetetete pumzi imekata.

swissme
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Huyo Mungu tu haungwi mkono na Dunia nzima itakua baba yenu?
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Uta muunga je mkono wakati huna uwezo wa kumshauri? Huna uwezo wa kumshauri si kwasababu labda hataki ushauri ila maamuzi makubwa ya kiungozi huwa yanafanywa na watala kwa mijibu wa katiba, kwani sisi wananchi tusio viongozi huwa tuna kabidhi mamlaka yetu ya kiutawala na nguvu ya maamuzi kwa watawala kupitia sanduku la kura na kwa mujibu wa sheria hatuna namna ya kufanya ispokuwa kwa sanduku la kura hilohilo. Katiba haijatupa mamlaka ya kutosha walau kuandamana kupinga baadhi ya mambo tuya onayo kuwa haya endi sawa wala kumuwa jibisha raisi kwa namna yeyote ile sasa tusadie wewe tuna muunga je mkono tofauti na kulipa kodi Hii tunayo lipa walau Ikafikia hata hizo bilioni 900 kama anavyo sema mleta mada? Tusadie sisi ma mbumbumbu tusiona mbali, hakuna haja ya kumshambulia mleta mada huo ni mtazamo wake tusaidie......
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Lakin wakati huo huo tukihitaji nchi kukia kiuchum pia tuheshimu katiba ya nchi maana ndii chachu ya ukuaji uchumi na si vinginevyo,
Lakin pia ni lazima kujua kwamba kila kundi katika taifa lina mchango wake katika ukuaji wa uchumi pasipo kudhani kwamba kundi hilo ndilo kundi pendwa zaid dhidi ya mengine hivyo linastahili kupewa haki zake zote kuliko makundi mengine.
 
Bila kujiteka SAA 9 muda huu msingepata media coverage!
Ukitawaliwa na mawazo ya siasa hadi katika mambo mazito ni dhahiri kuna dalili za kuelekea kuwa kochaa au mwehu kamili.ni ndoto tu.
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Mjumbe nimekupata kwel. Lazima kwa pamoja tuwe na mawazo chanya na sio ya mgando kwa sababu tanzania ni yetu sis wasafi na siyo ya waahafidhina ambao wanataka kuinangamiza. Big up mjumbe nimekukubali kwa kuwa am optimista
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Kweli mkuu ulivyosema...mimi si mtu was siasa ni zero nimekaa nje ya tz miaka 18 ila nimegunduwa watz hawajazowea vitu vya kunyooka kama nchi zingine sasa magu kila anachokijaribu watu wanaona tabu au shida.mfano muda wa kuingia job...kuunga mstari ukiwa maofisini badala ya kuhonga na kurushwa mbele. Sasa hasira zote wanammalizia yeye haaaa hali ni ngumu Kweli ila tukipiga kazi tutafika hivyo hivyo.tunamshukuru tena waume zetu hawahongi hovyo nje loooo.kubadilika kwa nchi hii tukumbuke itachukuwa muda mrefu msikate tamaa
 
Back
Top Bottom