dkt. samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi leo Julai 21, 2026

    YAH: UTEUZI NA UHAMISHO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na uhamisho huo ni kama ifuatavyo: (i) Dkt. Latifa Mohammed Khamis...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kihistoria ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini urusi 🇷🇺

  3. TPPB_Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hatua hii kubwa na ya kimkakati ya kufanya mazungumzo na mwekezaji wa viwanda vya kusafisha mafuta Afrika

    Hongera sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji nchini Tanzania. Pongezi za dhati kwa hatua hii kubwa na ya kimkakati ya kufanya mazungumzo na mwekezaji Alhaji Aliko Dangote. Hatua hii inadhihirisha...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Miradi mikuu ya kimkakati chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, 2021 – sasa

    MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa uchumi, huduma za jamii na ushindani wa Tanzania kikanda. Ifuatayo ni orodha ya miradi 11 mikuu: 1...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nimekuja na salamu za upendo kutoka kwa Rais Samia ambaye anatambua mchango mkubwa wa taasisi za dini

    Nimekuja na salamu za upendo kutoka kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye anatambua mchango mkubwa wa taasisi za dini katika kudumisha amani, maadili mema na mshikamano wa kitaifa-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda-Katavi 🗓️Machi 15, 2026...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine, Katibu Mkuu ambaye anamaliza...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Dkt. Samia ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikian - Waziri Mkuu Nchemba

    Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 27, 2026 ———————————————————-...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Samia, mitandaoni wananchi wanauwasha moto kwenye comments

    Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Samia. Baadhi ya media zimempost, ukifatilia sasa comments za wananchi. Utapata picha nzuri kwanini siku hizi amehamishia majukumu yake Ikulu ndogo ya Tunguu.
  9. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Naona kidogodogo Ikulu ya JMT inahamia Zenji. (Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar)

    Tunaelekea mwezi wa 3 sasa. Mambo ya nchi mengi yanafanyikia huko Zenji Ikulu ndogo🤔
  10. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  11. H

    JamiiForums Tanzania António Guterres: Tanzania imekuwa rejea na mfano wa kuigwa katika masuala ya amani na mshikamano wa kijamii Afrika na duniani

    Ujumbe kutoka kwa Mheshimiwa António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tarehe 14 Desemba 2025, wakati wa kupokea Ujumbe Maalum kutoka Tanzania. “Tanzania imekuwa rejea na mfano wa kuigwa katika...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania Sekta Madini Kinara Mapato ya Serikali, Kichocheo cha Uchumi, Huduma na Ustawi wa Jamii

    Sekta Madini Kinara Mapato ya Serikali, Kichocheo cha Uchumi, Huduma na Ustawi wa Jamii Sekta ya Madini imetajwa Kinara katika kuchangia makusanyo ya Serikali, mapato ya wananchi na uwekezaji kwenye huduma za kijamii kama elimu, afya ikichangiwa na mchango wake kwenye Pato la Taifa kutoka...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Taasisi za Kimataifa mara baada ya kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma tarehe 14 Novemba...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) - Ubungo, leo Agosti 1, 2025

    Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/khT-HcF4C3w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  18. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, anatarajiwakuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga vita Matumizi na biashara ya dawa za kulevya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwakuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, tarehe 26Juni 2025...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Picha: Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu tarehe 26, Mei 2025.
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
Back
Top Bottom