rais dkt. samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anafungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA50 na Jukwaa la Miundombinu kwa Afrika

    https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA AFRICA), Agosti 05, 2026.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kihistoria ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini urusi 🇷🇺

  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Spief 2026 ni faida kuu kwa mustakabali wa uhuru wa kiuchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF), Mara nyingi jukwaa hili hutajwa pia kama "Davos ya Urusi" kutokana na uzito wake si mkutano wa kibiashara wa kawaida bali ni kitovu kikuu cha maamuzi ya kimkakati yanayofanywa na mataifa yenye ushawishi mkubwa kiuchumi na kijeshi duniani...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anahitimisha Mafunzo Ya Maafisa Na Wakaguzi Wasaidizi Wa Polisi Kozi Na. 1/2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=AsjCN8DKAh0
  6. U

    JamiiForums Tanzania Miradi mikuu ya kimkakati chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, 2021 – sasa

    MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa uchumi, huduma za jamii na ushindani wa Tanzania kikanda. Ifuatayo ni orodha ya miradi 11 mikuu: 1...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amwakilisha Rais Samia katika mkutano wa 43 wa AUDA-NEPAD

    WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika mkutano huo...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akisalimiana na rais wa Kossovo, Vjosa Osman-Sadriu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo, Mhe. Vjosa Osmani-Sadriu, kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mazishi ya mzee Edwin Mtei

    WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tusherekee sikukuu ya kumaliza na kuanza kwa mwaka unakuja kwa amani na salama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa katika salamu za kufunga Mwaka 2025 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2026, tarehe 31 Desemba, 2025, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar. https://www.youtube.com/live/YL_B9bZO-Ag Updates.... Ni wape pole wakazi wa...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majaliwa: Rais Dkt. Samia yupo tayari kufanya mambo makubwa kwa wenye ulemavu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazee wa Mbarali: Tumchague Rais Dkt. Samia tusisikilize Vijana Vijiweni

    Wazee wa Mbarali wamesema wanaimani na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan kumpa tena ridhaa ya kumchagua na kuiongoza Tanzania; Kwani alipotoka ni pagumu na akaweza hivyo wana kila sababu ya kumuombea afya njema ili afanye zaidi ya aliyofanya kwa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali inakadiriwa kupata Mapato Mrabaha Dola 373,000,000 Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani, Namtumbo

    https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akiwahutubia Wananchi wa Busega, Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015 https://www.youtube.com/watch?v=j2aFvrKFZxM Rais Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega...
  18. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ampongeza Rais Samia kwa kuendelea kutoa vibali vya ajira Sekta ya Afya

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu itaendela kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya afya ikiwemo kwa kutoa vibali vya ajira pamoja na kujenga miundombinu ya kutolea huduma hizo katika ngazi zote. Amesema mpango wa Serikali kwa...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Angola

    Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Tambukareli-Dodoma, leo tarehe 05 April, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza hafla ya uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania leo Aprili 5, 2025, katika Mtaa wa Tambukareli, jijini Dodoma. Majengo hayo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha miundombinu ya utoaji haki, kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuimarisha upatikanaji...
Back
Top Bottom