kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,549
Ikulu ndogo ya Chamwino imeanza kufanyiwa Usafi tayari Kumpokea Rais Magufuli. Inasemekana hata Waziri Mkuu ataapishwa katika hii Ikulu ndogo ya Chamwino.
Shughuli nyingi za Rais, zitafanyika kutokea kwenye hii Ikulu.
fIGGANIGGA,....HATA JK alizindua serekali na aliapishia mawaziri chamwino...ngoja tuone