Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Nimepewa tetesi kuwa Rais Magufuli kakataa kuishi Dar na ameagiza kuhamishiwa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi.
Mlio jikoni tupeni uhalisia wa hili.
Safi sana. Kama makoa makuu ya nchi yapo Dodoma basi serikali ihamie huko. Mbona watakoma wengi, Mabalozi wote watahamia Idodomia another bonge la infrastructure ya nguvu itatokea.