Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

Ni rais wa awamu ya sita lakini kama wewe hupendi kusikia hivyo basi endelea na mawazo yako hakuna anayekukataza.
 
Vitu vingine ni upuuzi tuu kuhoji. So inamaana mama amejiamulia kujiita wa awamu ya 6?.so hakuna principles zinazo mguide kufanya hivyo? Inamaana katiba haionyeshi au maybe sheria zingine zinapingana na hilo? So unamuona hana akili labda.
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
rudishule ukasome halafu uje tena humu utoe ushuzi wako huo
 
Wajinga bado tu? Awamu haijawekwa kwenye katiba. Kilichowekwa kwenye katiba ni mihula miwili ya miaka mitano mitano kuwa ndiyo ukomo

Awamu zinaweza kuwa hata kumi mdani ya miaka mitano. Rais anaweza kuchaguliwa akafa baada ya wiki 2 awamu hapo imeisha.

Anakuja mwingine anajiuzulu baada miezi 3 awu yake I akuwa pia imepita...n.k

Wajinga mpo?
Nadhani hiyo Ni kwa mujibu wako
 
Samia Suluhu Hassan ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Sasa sijui wewe unaiongelea katiba ipi
Umeelewa hoja ya mleta uzi au ndio kukurupuka kama kawaida!!??
Tafadhali uwe na kawaida ya kurudia kusoma uzi au jambo lolote mara sita sita ili uelewe maana waonekana wewe ni wale akili inafanya kazi kwa mwendo wa katibu wa uenezi wa zamani na mkuu wa chuo cha uongozi.
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Labda kwanza ungelijaribu kutafuta maana halisi ya neno awamu na ni nani aliyeanza kulitumia katika mazingira ya siasa za tanzania.
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Acha kulia,fanyakazi,upate maendeleo.Mama ameshakuwa Rais,na tabakiwa kuwa amekuwa Rais,Mh Mama Samia,kipenzi cha watanzania halisi.
 
kama ulikuwa unamtambua jpm, basi na huyu mama alichaguliwa, hata kama wewe haukumchagua. kwenye picha ya jpm alikuwa anapigiwa pia huyu. au huelewi hilo?
Umemaliza mjadala.Mwambie mleta uzi,aache kulia lia,afanyekazi.Mama ndio Rais wetu Mpendwa.
 
Back
Top Bottom