Hivi katiba unasemaje katika Hili? Tusiandike kwa uelewa wetu hebu tuweke na virungu vya katiba yetu. Inawezekana wajinga tu wengi hapa tupate elimu sahihi.Huu ujinga tumepigana nao Sana lkn bado unaendelea kutamalaki.
Naandika tena kwa faida ya wajinga wengine.
Awamu ni kichwa Cha rais na legacy yake. Awamu siyo vipindi vya urais Kama ilivyobainishwa na katiba.
Ndiyo maana Zanzibar iko awamu ya 8.
Wajinga wote mmeelewa Sasa??