Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida.
Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu.
Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala la Bandari badala ya kujibu hoja ya bandari! Ni uthibitisho tosha kwamba swala hili linashida na lina siri kubwa! Kiasi Hata wale ambao walikuwa wanaimani nalo na hata wale wengine ambao hawakuweka msimamo wao kama sie wataanza kupata mashaka juu ya kilichomo ndani ya mkataba.
Na hata mimi Mtozi nawawahakikishia mliowakamata ni wachache sana na kama mnakusudia kukamata wote wanaopinga jambo hili lazima kuyageuza madarasa ya secondary na shule za msingi na vile vituo vya afya vilivyojengwa kuwa mahabusu
Na mimi niseme tu Kwa kuwa Baraza la Mawaziri limeshindwa kabisa kulieleza jambo hili la bandari kwa umma na umma wakaliewa hawafai kuwa pale.
Rais nakuomba Uvunje Baraza hili na ulete kikosi kipya kinachoweza kutumia diplomasia na siasa za majukwaani kukamata mioyo ya watu na sio nguvu. Baraza ndio washauri wako na mambo yakienda kombo lazima hawa kuwatazama kwa haraka. Rais Usikubali kuchukua huo mwelekeo!