Mimi nafikiri kama ana CV nzuri na uzoefu wa kutosha kwenye mambo ya Diplomasia haina shaka.Dini yake sio suala la msingi sana tunachojali zaidi ni uwezo wa mteule kiutendaji.
Siunajua mambo siku hizi ni mbio mbio na ushindani wa kiuchumi uko juu,tusipokuwa makini katika uteuzi wa watumishi wa Serikali tutabaki nyuma kiuchumi katika Afrika ya Mashariki kwani hapo ndio kipimo chetu.
Wasi wasi wangu ni birthday date, asije anza leta za kingunge Ngombare mwiru, Si unajua negative growth ikisha fika? uwezo wa kufikiri unapungua na unakuwa kinganganizi kuonyesha kwamba unajua.