Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
CV ya nini ili iweje?
mbona wengine hamjaulizia CV zao?
Naweza kupata cv ya GT?
CV ya nini ili iweje?
mbona wengine hamjaulizia CV zao?
Na Boniface Meena
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Zahra Nuru kuwa msaidizi wa rais wa masuala ya diplomasia.
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu jana na Katibu Mkuu Ikulu, Michael Mwanda, kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, inaeleza Nuru anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Andrew Daraja ambaye alihitimisha mkataba wake wa utumishi wa umma.
Nuru aliwahi kuajiriwa na Umoja wa Mataifa kabla ya mkataba wake kumalizika alikuwa Mtaalam na Mshauri Mwandamizi wa Katibu Mkuu Msaidizi na Mshauri Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Afrika.
Source: www.mwananchi.co.tz
In one of my earlier posts nimeomba mwenye CV yake fully anidondoshee hapa. Yaani ile VC ya Kitanzania ambayo ina most of data na si kama zile za Ki-international ambazo zinafuata format fulani ambazo hazichukua mambo yote.
Utendaji mbovu unasbabisha na hawa jamaa wa kushoto kujazana serikalini, Wameachiwa serikali tokea baada ya uhuru, walichokifanya walijaza umasikini kila kona, chakula, usafiri, mavazi, hakuna nchini, Barabara mbovu, Nguvu kazi, kodi ya kichwa, wanasaini mikataba mbovu, biashara ikafanyika ikulu nimengi tu!!!
Sasa lazima wapanguliwe kidogokidogo ilitujikwamue na umasikini uliotujaa, mafisadi kila sehemu, hujui umkaate nani umuache nani!!
Tuweke viongozi wenye busara, wasio na tamaa, wavumilivu, wapenda nchi walioshiriki kutafuta uhuru, wanaopenda ushirikiano na kila nchi bila kujali dini au kabila.
Mh sijui unapima kwa vigezo gani hizo lawama. Tusubiri CV na si kubabaisha. Kama tunayoona mafisadi (Watanzania wachache) wanajirundikia mali basi hata madaraka tuwache na makundi mengine nayo yafuate.This is what we call kama kawa life of Kikwete.Kaamua kujidharirisha kwa kiasi kikubwa.Kashikiria sana udini na kaamua kuigawa nchi.Data za huyu mwanamama zitadondoshwa tu msihofu.We huoni baraza la mawaziri kaondoa vichwa adimu na kuvificha kwenye tuwizara ambato hatuna hata changamoto katupachikia majitu ya ajabu ajabu tu yanavurunda kazi .''KISA''Udini.Jirekebishe mzee uongozi wako unaboa wengi.
Sina CV ya huyu mteuliwa, lakini ni mwanamama hodari na mtu mzima wa karibu miaka 60. Aliwahi kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Wizara ya zamani ya Maendeleo ya Jamii na Michezo iliyokuwa inaongozwa na Mhe. Fatma Said Ali, kabla ya kuteuliwa kwa uwezo na sifa zake, siyo za dini au jinsia, uwezo, kwenda Umoja wa Mataifa ambako nako alifanya kazi nzuri pia. Watanzania tumekwishavuka kumtazama mtu kwa dini au kabila yake, tunatazama uwezo. Isitoshe kusoma siyo dini au kabila, ni kupata nafasi tu! Waliobahatika kupata nafasi, ndiyo wanaoonekana wamesoma sana, siyo kwa sababu wana akili nyingi, bali wamepata nafasi!
Bwassa.
Kwa hiyo msimao wako hadi sasa umeegemea katika ukweli kuwa huyu ni ZAHARA na sio JOHN? Halafu unajiona uko neutral? Huna tofauti na Game theory katika...wote ni wamoja....udini unawatweta hata kama wakati mwengine mnaongea ya kweli.
Angalia CV ya huyu mama itakapokuja usije aibika kaka. Na hii mitandao ni archive ambayo inatusaidia sana kujuana kwa undani...
Omarilyas
Kaka nawe huna tofauti na Maane.....Hawa wa kushoto manake nini? Unataka kuniambia kuwa hao wa kulia hawamo katika kundi la walioifisadi nchi hii? Yaani unataka kusema kuwa wenye majina ya Ally, Khamis, Fatma, Salmin ndio wanaweza kutuondoa katika mfumo fisadi huu ambao nao ni wadau wakuu wake?
Hivi hizi tamaa, kukosa uvumilivu, ubinafsi, prejudice zipo katika huo upande unaoita wa kushoto tu...
Kaka unakosea....u can do better than this
Omarilyas
Angalia CV ya huyu mama itakapokuja ... ambayo inatusaidia sana kujuana kwa undani...
Tena hawa wateule stealth wanaotoka nje ndio ilibidi tujulishwe kwa mapana ni kina nani na walifanya nini huko. Angalia Ballali wa Mkapa wake walivyoleta msiba kwa Taifa. Just because one was working overseas does necessarily mean that he did a gread job huko. Tusitetemekee wanaotoka nje bila kuwajua...Press Release
President Obama nominates Alfonso Lenhardt to Serve as U.S. Ambassador to the United Republic of Tanzania
June 12, 2009
President Barack Obama has named the Honorable Alfonso E. Lenhardt as his Ambassador-designate to the United Republic of Tanzania. Under the U.S. system of government, the President appoints Ambassadors by and with the advice and consent of the United States Senate.
Since May 2004, Lenhardt has been the President and CEO of the non-profit National Crime Prevention Council (NCPC). He was also Senior Vice President of Government Relations for The Shaw Group. On September 4, 2001, Lenhardt was appointed the 36th Sergeant-at-Arms of the United States Senate and became the first African-American to serve as an officer of the Congress. He also served as the executive vice president and chief operating officer of the Council on Foundations.
Lenhardt retired from the U.S. Army in August 1997 as a Major General with more than 30 years of service in leadership and management positions. His last position with the Army was Commanding General, U.S. Army Recruiting Command, at Fort Knox, KY, where he managed and directed an organization of more than 13,000 people in over 1,800 locations. He also served as the senior military police officer for all police operations and security matters throughout the Army's worldwide sphere of influence.
Lenhardt was born in New York City and holds a Bachelor of Science degree in Criminal Justice from the University of Nebraska, a Master of Arts in Public Administration from Central Michigan University, and a Master of Science in the Administration of Justice from Wichita State University. He is also a graduate of the 94th Session of the FBI National Academy; the United States Army Criminal Investigations Supervisors' program, and the National War College, National Defense University.
About the Ambassadorial appointment of Lenhardt and others, President Obama said, "Americans will be fortunate to have these distinguished men and women as their representatives abroad. Their talent, experience, and dedication will be invaluable as we continue to strengthen America's partnerships around the world and confront the challenges of the 21st century. I am grateful for their service and look forward to working with each of them."
Tanzania tumetawalia kwa muda mrefu katika mfumo kristo kwa hiyo yakioneka majina ya kiislaam kwenye nafasi za ungozi kuna wengine wanakereka hivi unafikiri kungekuwa na jina la Esta,Jyoce au Maria kuna Mtu angehoji?
CV ya nini ili iweje?
mbona wengine hamjaulizia CV zao?
nimeipendaa hiyooo style ya kudandia kwa mbele na bila kupata shotii...Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Give me a glass of pure and safe water. I will use tha elecricity to boil the water to kill the germs of nepotism. Nitadandia kwa mbele na sitapata shot ya umeme.