Rais ateua mshauri wa Diplomasia

Mimi nafikiri kama ana CV nzuri na uzoefu wa kutosha kwenye mambo ya Diplomasia haina shaka.Dini yake sio suala la msingi sana tunachojali zaidi ni uwezo wa mteule kiutendaji.

Siunajua mambo siku hizi ni mbio mbio na ushindani wa kiuchumi uko juu,tusipokuwa makini katika uteuzi wa watumishi wa Serikali tutabaki nyuma kiuchumi katika Afrika ya Mashariki kwani hapo ndio kipimo chetu.

Wasi wasi wangu ni birthday date, asije anza leta za kingunge Ngombare mwiru, Si unajua negative growth ikisha fika? uwezo wa kufikiri unapungua na unakuwa kinganganizi kuonyesha kwamba unajua.
 
Ikiwa Andrew Daraja kajiuzulu, kwa nini huyu Mama apewe kazi na huku anayo miaka kama ya Daraja? Daraja alikuwa mwaka wa kwanza hapo Mlimani 1966!

Mama huyu alimaliza Tabora Girls mwaka 1966. Kaingia hapo Mlimanai kuchukua Diploma (sio digrii kamili - nadhani hakufaulu kuingia Chuo Kikuu) ya Utawala (Public Administration)!
 
Siyo jazba, sijamtukana mtu. Bali serikali imelaumiwa mno kwa utendaji mbovu wa wengi na wachache innocent tunaumia kwa sababu kama kweli unaipenda Tz na amani na utajiri tulikuwa nao basi ni lazima uumie. Sina frustrations na kitu chochote kaka/dada. Nasikitika tu kuwa wachache watendaji wazuri serikalini wanaumia bali wengine wanafanya wajuavyo wao. Sikurupuki. Tumia lugha ambayo ni ya mtu mstaarabu. Ninajua ninachiokifanya. Do not assume to much!!!!!! Tuseme ukweli siku zote na mambo yote yawe transparent!!!!!

Utendaji mbovu unasbabisha na hawa jamaa wa kushoto kujazana serikalini, Wameachiwa serikali tokea baada ya uhuru, walichokifanya walijaza umasikini kila kona, chakula, usafiri, mavazi, hakuna nchini, Barabara mbovu, Nguvu kazi, kodi ya kichwa, wanasaini mikataba mbovu, biashara ikafanyika ikulu nimengi tu!!!

Sasa lazima wapanguliwe kidogokidogo ilitujikwamue na umasikini uliotujaa, mafisadi kila sehemu, hujui umkaate nani umuache nani!!
Tuweke viongozi wenye busara, wasio na tamaa, wavumilivu, wapenda nchi walioshiriki kutafuta uhuru, wanaopenda ushirikiano na kila nchi bila kujali dini au kabila.
 
Unaposema jamaa wa "kushoto" unamaanisha nini? Kushoto kama mrengo wa kisiasa au kushoto as in "ovyo"?
 
mimi nataka nione picha yake ndio nita comment
Picha yake wakati wa Mzee Ruksa ilikuwa maridhawa, sasa sijui Sasa. Lakini madhali alikuwa huko majuu, ngozi bado itakuwa nyororo plus appearance.
Sasa naona unaweza ku-comment
 
Ikiwa Andrew Daraja kajiuzulu, kwa nini huyu Mama apewe kazi na huku anayo miaka kama ya Daraja? Daraja alikuwa mwaka wa kwanza hapo Mlimani 1966!

Mama huyu alimaliza Tabora Girls mwaka 1966. Kaingia hapo Mlimanai kuchukua Diploma (sio digrii kamili - nadhani hakufaulu kuingia Chuo Kikuu) ya Utawala (Public Administration)!

Umejuaje Daraja kajiuzulu?
 
Umejuaje Daraja kajiuzulu?

Kwani sie as a nation tuna attention to detail ya kutofautisha kujiuzulu na kustaafu mwanangu? Sie tunajionea yote sawa tu.Hayupo kazini, kajiuzulu kastaafu yote sawa, si hayupo?

Ndipo hapo una demand watu tutumie lugha sahihi halafu watu wanakwambia "si nimeeleweka?". Utajuaje kama umeeleweka wakati hujachukua hata effort ya kusahihisha lugha potofu?

Ingawa vitu tofauti, hata mshiko wa mtu anayejiuzulu na anayestaafu sehemu nyingi ni tofauti.
 
Utendaji mbovu unasbabisha na hawa jamaa wa kushoto kujazana serikalini, Wameachiwa serikali tokea baada ya uhuru, walichokifanya walijaza umasikini kila kona, chakula, usafiri, mavazi, hakuna nchini, Barabara mbovu, Nguvu kazi, kodi ya kichwa, wanasaini mikataba mbovu, biashara ikafanyika ikulu nimengi tu!!!

Sasa lazima wapanguliwe kidogokidogo ilitujikwamue na umasikini uliotujaa, mafisadi kila sehemu, hujui umkaate nani umuache nani!!
Tuweke viongozi wenye busara, wasio na tamaa, wavumilivu, wapenda nchi walioshiriki kutafuta uhuru, wanaopenda ushirikiano na kila nchi bila kujali dini au kabila.

Ushaanza kuingiza maswala yako ya dini kama kawaida enh?
 
Sorry! Tuliambiwa kastaafu!

Kuhusu CV ya huyo Mama:

Sijui kwa nini hakuingia hapo Mlimani kuchukua digrii...wakati huo ukiwa na principal moja na subsidiary moja, unapokelewa. Lakini kaingi kuchukua Diploma ya Public Administration (ya mwaka mmoja)...kabla ya kuhamishiwa Mzumbe kutoka Mlimani.

Kafanyakazi serikali hadi kupanda ngazi wakati wa Mzee Ruksa na kuwa Katibu Mkuu.

Kazi za UN ni za aina mbili: Mosi, imprerssive resume, academically. Pili, nyingine ni political in a sense kuwa kuna nafasi na inahitajiwa kujazwa na nchi fulani au a region. Kawma nchi ikikuchagua, unapata au mnagombania ki-region na wakubwa wa politics wa kwenye region kukubaliana, kwa mfano, Afrika mashariki, Afrika, Nchi Changa, n.k.)

Mama huyo kaipata hiyo ki-political kutoka kwa Mzee Ruksa. The rest is history!
 
Kwa kuangalia academic credentials zake zilizoletwa so far, and her writing (rather sloppy, for such a "distinguished" diplomat) I have no reason to doubt that her stint at the UN was political. UN kuna pedigree fulani hivi zipo kama royal dynasties mpaka inatia aibu.

After all she is now appointed by the Kikwete Ikulu?
 
Safiiiii. Sina utaalam sana wa majina, especially femine names!!! Je huyu ni mwanamke au mwanaume??? Ila angalao najua ni jina la Kiislam. Hongera mzee wa kaya. Fadhila unazijua. Kama vile ambavyo taarifa zipo kuwa kila majina matatu yanayotakiwa kupelekwa kwa vetting ni lazima mawili yawe ya Waislam or at least one!!! It means asikosekane katika list!!!! Na kwa sababu you think you are minority then ni lazima Athman na Asha wateuliwe/kupitishwa. Kwa mtindo huu, ndiyo maana tunaona utendaji ulivyo kwa sasa. Soma alama za nyakati mzeee. Wenzako wajanja wana mix au kutafuta vichwa vya kuleta ufanisi. Mbona tusiangalie hata mheshimiwa Obama katika uteuzi??? Alitafuta vichwa hata kama vilikuwa karibu naye lakini hakufanya makosa na kila Wamarekani wanafurahia kwa kutumia vema Demokrasia yao November mwaka jana. Sisi je, ushikaji, undugu, u yakhe, unini , uule n.k.

Inawezekana ana sifa maana alikuwa U.N. Who knows. Yote yanaweza kuwa sawa.

Hivi una uhakika gani huyu mama hana uzoefu na sio mchapakazi mzuri? Unaanza kutoa shutuma zisizo na kichwa wala miguu wakati hujui chochote kuhusiana na mteuliwa, nadhani itakuwa vizuri ukishajijua una mawazo pumba yaliyochanganyika na ugoigoi wa hali ya juu ni bora umuombe mtu mwingine ahakiki unachoandika kabla ya kukiweka hapa, kwa sababu haichukui hata sekunde tano kujua aliendika ni mufilisi kichwani.
 
Je, sentensi hii haileti maana ya Balozi Daraja kustaafu?

...Balozi Andrew Daraja...alihitimisha mkataba wake wa utumishi wa umma."
 
Je, sentensi hii haileti maana ya Balozi Daraja kustaafu?

...Balozi Andrew Daraja...alihitimisha mkataba wake wa utumishi wa umma."
[/SIZE]

Hapana, sio lazima.

Tumeambiwa amemaliza mkataba, hatujui mkataba ulikuwa ni wa miaka mingapi. Hujui kama amestaafu!
 
Dilunga,
Nikusaidie kidogo. Daraja alipoondoka Washington kurudi nyumbani umri wake wa kustaafu ulikuwa umeshapita. Aliongezewa muda na rais Mkapa. Alipokuwa anarudi nyumbani JK alimchukua Ikulu kwa mkataba nadhani wa miaka miwili mitatu. Sasa kama mkataba umemalizika na umri wake wa kustaafu ulishapita sioni ajabu.
 
Nafikiri Nchi yetu inaanza kuonesha road map ya tunapokwenda...!!! We will pay the price!!!

Maane utakuwa mtu wa System ambae Unaona Vettings zinavyokwenda...Sijui kama watu wa System wanaangalia kama Huyu Mwislam Swala tano au Mlevi Mbwa kama wewe?....To you.....either ulishazoea ktk Vetting Yaje Majina ulozoea kuyaona au Una Chuki BINAFSI na Majina ya watu Fulani...!!!

Umehojiwa hapa Juzi wamechaguliwa Majaji 10..Tukaona Thanks tu kwa JK wala hawakutokea watu Kuhoji the so called Urafiki...UDini etc...Tunajua tuezi za kawaida...!!! Mwenyewe unadai hao Majaji wapo Juu...Who knows kama wapo juu?..Leo Hii Kachaguliwa "Zahra" kwako Tatizo....Hebu tueleze Hivi kwanini unawachukia akina "Zahra"....
 
Mods
Ninashangaa hadi usawa huu sheria za JF hazijafanyakazi katika thread hii ambapo kuna member ameamua kumpaka matope Bi Zahra Nuru kwa kashfa na uchochezi jambo ambalo ni kinyume na rules za jamvi hili.
Vilevile member huyo ameendelea na kashfa na uchochezi dhidi ya jamii ya kiislam na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila ya kuweza evidence zinazoonesha kuwa ni kweli uteuzi uliofanyika ulifanywa kwa kuzingatia udini.
Kwa vilevile sheria ni msumeno ninaomba ifanye kazi yake kwa kukata pande zote bila ya kubagua.
 
ahhh hebu mpumzisheni kwani mbona hamlalamiki kuhusu PS wa Kikwete?

Ikulu kumejaa mijitu ovyo kibao na hamtii neno
 
Safiiii. Tudondosheeni CV yake. Among, ionyeshe umri. Hapo tutaona his/her appropriateness!!!!

Mimi nataka vetting ya high level appointments ifanyike na Bunge kwa maswali ya Wazi kama kule marekani na kwingineko ambako kuna demokrasia ya kweli. Apointees wote waitwe mbele ya Bunge kwa maswali.
Mkuu hata ww unafikra kama hizo????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom