Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,798
- 4,857
Jamii forum's rubbish ever to happen
Ki vipi Yani waislamu kwa awamu mbili?
P. MpangoWewe unahisi nana atakuja baada ya Mama
Sema unapiga ramli au unabashiri,Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Raisi atakaefuata baada mama samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hana nasaba na Vatican!Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Raisi atakaefuata baada mama samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Utaratibu ni lazima kama ni Muislamu basi awe upande wa BAKWATA na siyo Sheikh Ponda wing na kwa Ukristo ni lazima awe Mkatoliki!Hoja dhaifu sana iyo
Mwigulu ni KKKT siyo Mkatoliki!Tukisema mkatoliki hata hao angikana ni wakatoliki uyo mwigulu sio muislam ni catholic
Josephat Gwajima!Wewe unamuona nani baada ya samia
Mshitueni ahamie Kanisa Katoliki,lakini kwa KKKT yake atarajie yaliyompata Lowasa!Ninakubalina nalo kabisa,njia pekee ya kumzuia labda wamfanyie kama Lowassa.Yaani kumkata kabisa jina kwenye kamati kuu.Jina la Mwigulu likiwemo kwenye yale matano ya kupelekwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu baasi kishashinda. Au wamuue kabla ya uchaguzi.
Hakuna waziri asiekitamani kiti Cha Rais, isipokuwa namna ya kukikalia ni mtihaniAkikosa mwigulu basi ni kasimu moja kwa moja japo simuoni kasimu kama anakitaka kiti kweli kweli
Kwakuweka watu wenye utata wa elimu imetosha.Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Raisi atakaefuata baada mama samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ni mkristo wa dhehebu gani!? Ili tuone kama ataruhusiwa!Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Raisi atakaefuata baada mama samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Atakuwa. Ila sio MADELU.Mtu yeyote nje ya CCM ataweza kuwa Rais mzuri wa Tanzania ispokuwa Tundu Lissu. Kama ni lazima atoke CCM basi ni afadhali awe ni Majaliwa.
Watabiri wa uongo hata sasa wapo.Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Raisi atakaefuata baada mama samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]