Rais atakaefuata baada Rais Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba

Rais atakaefuata baada Rais Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba

Uraisi wa bongo kama mchezo wa lasti kadi tu ohooo sasa ww unatoa kimbili chako mapema watu wana mijoker ya kuulia mchezo
 
Magufuli alikuwa rais kwakuwa ccm ilikuwa imezidiwa ushawishi na wapinzani, na yeye pekee ndio alikuwa na afadhali huko CCM. Hii ndio iliyopelekea yeye na CCM yake kuhakikisha wanauhujumu upinzani ili ccm iliyochoka kushindana ipumue. Kama CCM watampitisha Mwigulu sio kwa ajili ya uwezo wake wa uongozi, ila ni kwakuwa ni mkatili kama Magufuli, hivyo ataudhibiti upinzani kwa ulevi wa madaraka.
Wachache Sana wataielewa hiii ..mwigulu ni katili Sana mbwa yule
 
Back
Top Bottom