Nawe unaamini kwenye maagano ya Babu aliyekufa na mwenge?Tukisema mkatoliki hata hao angikana ni wakatoliki uyo mwigulu sio muislam ni catholic
Nawe unaamini kwenye maagano ya Babu aliyekufa na mwenge?Tukisema mkatoliki hata hao angikana ni wakatoliki uyo mwigulu sio muislam ni catholic
Wakili Mwabukusi ndiye Rais anayefuata
Tehteh, Marais wameisha?Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Rais atakaefuata baada mama Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
🙏🙏🙏🙏
Kitatokea chama, kitaimega CCM na CHADEMA, kitapata nguvu ya kipesa kutoka kwa wenye maono wakijua anguko la CCM limefika, wataaingia makubaliano na viongozi wa chama hiki kipya ili masrahi yao yalindwe, taratiiiibi CCM itaingia tena kwa mlango wa nyuma, sema baada ya muda utatokea mtifuano na wazee watakubali matokeo.Wewe unahisi nana atakuja baada ya Mama
Nimekwambia mtabiri raisi.....mwigulu atakua raisi sijui atapitia chama kipi ila atakua raisi na wewe sema nani atakua raisi mtaje kwa jinaKitatokea chama, kitaimega CCM na CHADEMA, kitapata nguvu ya kipesa kutoka kwa wenye maono wakijua anguko la CCM limefika, wataaingia makubaliano na viongozi wa chama hiki kipya ili masrahi yao yalindwe, taratiiiibi CCM itaingia tena kwa mlango wa nyuma, sema baada ya muda utatokea mtifuano na wazee watakubali matokeo.
Utakuwa ndio mwisho wa CCM na tutabaki na vyama viwili vikuu, CHADEMA na hicho kipya.CCM itakufa kwani haiwezi kujiendesha nje ya kushika madaraka.
King Kong III, Katelephone ni nani huyo?Atatoka Zenji ,Mama atampa Kijiti .......Katelephone aliharibu kipindi cha transition otherwise angepewa.
Mimi ningekuwa kiumbe kama Malaika au jini ningewatengenezea mazingira Watanzania ili yafanyike mapinduzi ya kijeshi, wana siasa wakae bench kwa mda wa mwaka mmoja, nchi iende kijeshi, katiba ikae kando, kutembea mwisho saa 4 usiku, baada ya mwaka mmoja katiba mpya iwe tayari kisha sasa uchaguzi ufanyike na jeshi Likabidhi utawala wa kidemokrasia kwa mmojawapo wa hawa wafuatao,Nimekwambia mtabiri raisi.....mwigulu atakua raisi sijui atapitia chama kipi ila atakua raisi na wewe sema nani atakua raisi mtaje kwa jina
Labda mwinyi kwambaaaaliiiiiMimi ningekuwa kiumbe kama Malaika au jini ningewatengenezea mazingira Watanzania ili yafanyike mapinduzi ya kijeshi, wana siasa wakae bench kwa mda wa mwaka mmoja, nchi iende kijeshi, katiba ikae kando, kutembea mwisho saa 4 usiku, baada ya mwaka mmoja katiba mpya iwe tayari kisha sasa uchaguzi ufanyike na jeshi Likabidhi utawala wa kidemokrasia kwa mmojawapo wa hawa wafuatao,
1. Mh Dr Hussein Mwingi.
2. Innocent Bashungwa.
3. Hamphrey Polepole,
4. TAL (Mwanasheria)
Si utabiri huyo Marehemu Yahya Hussein alikuwa ni Usalama wa Taifa kindakindaki na wakimtumia kujifanya ni mtabiri na mgangaSio kila tabiri inatimia
Ahhahahaahah mama Samia ...umenichekesha kinyamaa duh yaani mbuzi akafalishwa nguo za chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbna sijwai siki hiki kitu Kam una video naiomba plz dahMwigulu ana haiba ya urais ila kiukweli haiwezekani yeye kuwa Rais. Kashaonyesha sana tamaa ya kukitaka kiti ila matendo na kauli zake zinamsaliti.... na kauli zake za kukera wapiga kura zinamharibia. Pia aina yake ya siasa ni ya hovyo. Kuna wakati alimvalisha mbuzi tshirt ya CHADEMA hadharani. Lile tukio lilikuwa la kipumbavu mno. Hata Magu mwenyewe hakuwa nasiasa za kipuuzi wakati akiwa waziri.
InatuhusuNatabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Rais atakaefuata baada mama Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
King Kong III, Katelephone ni nani huyo?
Siwezi kujihusisha na mashetani ya Ccm, wote wanaopigia kura Ccm hawana akili timamu.Dr Matola PhD unasemaje kwa hilli Jambo
Maoni yako plz
Najuwa unatka sna jmaa Ako uliyembadilisha dini kuwa rais
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huo uchaguzi umeufanya lini🤔,au uu meneja wa mchora miamba🏃🏃Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Rais atakaefuata baada mama Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
🙏🙏🙏🙏