Rais atakaefuata baada Rais Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba

Amewahi kutokea rais asiyemkatoliki ukiachilia mbali waislamu?
Mwenye sifa ni yupi aliyeachwa, aacha utoto.Na term ijayo rais ni vyema akawa mwanasheria, tz tumepitia wakati mgumu kutokana na hilo.
 
Mwigulu ana haiba ya urais ila kiukweli haiwezekani yeye kuwa Rais. Kashonyesha sana tamaa ya kukitaka kiti.... na kauli zake za kukera wapiga kura zinamharibia. Pia aina yake ya siasa ni ya hovyo. Kuna wakati alimvalisha mbuzi tshirt ya CHADEMA hadharani. Lile tukio lilikuwa la kipumbavu mno. Hata Magu mwenyewe hakuwa nasiasa za kipuuzi wakati akiwa waziri.
Mengine yote umenena vyema lkn la tamaa umekosea, hatutaki rais wa kusukumiziwa.
 
nilikuwa nimepanga kuwa Rais 2035, lakini nitauchukua 2030.
 
Umeamua kuwatukana watanzania japo Sasa ni zamu ya Kanda ya kati kutoa raisi
 
Siyo kushinda, akigombea tu uraisi nahama nchi. Sitasubiri kupigwa mnada
Mwigulu ana haiba ya urais ila kiukweli haiwezekani yeye kuwa Rais. Kashonyesha sana tamaa ya kukitaka kiti.... na kauli zake za kukera wapiga kura zinamharibia. Pia aina yake ya siasa ni ya hovyo. Kuna wakati alimvalisha mbuzi tshirt ya CHADEMA hadharani. Lile tukio lilikuwa la kipumbavu mno. Hata Magu mwenyewe hakuwa nasiasa za kipuuzi wakati akiwa waziri.
 
Mbona uchuro huo jmn embu tabirini vitu vingine sio hicho.
 
Iwe hivo, sio kwa kigezo cha kupigiwa kura na wananchi, nchi hii CCM wakisimamisha mgombea jiwe, basi jewe litatangazwa ndo limeshinda
Bro wakati wa uchaguzi presha huwa ni kubwa mno hata endapo kama kweli kuna michezo hufanyika (jiwe la mkono) ila mgombea anapokuwa mbovu presha inakuwa kubwa zaidi. CCM haiwezi kujiwekea mazingira magumu ya kushinda uchaguzi kwa kumuweka mgombea mwenye makandokando mengi.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom