Karibu Simiyu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
507
Reaction score
344
Karibu Simiyu

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

📆 13 -16 Septemba, 2026.
 

Attachments

  • 807384426_18459562657185667_4902709303979080055_n.webp
    807384426_18459562657185667_4902709303979080055_n.webp
    53.7 KB · Views: 3
  • 806101213_18459521215185667_7091214369305663972_n.webp
    806101213_18459521215185667_7091214369305663972_n.webp
    54.1 KB · Views: 3
Barabara kuu za lami ni mbovu sana zina mashimo makubwa, kitu kifanyike kuzinusuru maana El Nino akifika na story itaishia hapo.
 
Barabara kuu za lami ni mbovu sana zina mashimo makubwa, kitu kifanyike kuzinusuru maana El Nino akifika na story itaishia hapo.
Hakika hilo daraja la mto Simiyu limeshindikana kukamilika kabsa achilia mbali hiyo barabara yote mbovu kutoka Nyanguge kwingine nako hoi. Kanda ya ziwa imetelekezwa kwa kifupi
 
Back
Top Bottom