Rais atakaefuata baada Rais Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba

Rais atakaefuata baada Rais Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba

Mwigulu ana haiba ya urais ila kiukweli haiwezekani yeye kuwa Rais. Kashaonyesha sana tamaa ya kukitaka kiti ila matendo na kauli zake zinamsaliti.... na kauli zake za kukera wapiga kura zinamharibia. Pia aina yake ya siasa ni ya hovyo. Kuna wakati alimvalisha mbuzi tshirt ya CHADEMA hadharani. Lile tukio lilikuwa la kipumbavu mno. Hata Magu mwenyewe hakuwa nasiasa za kipuuzi wakati akiwa waziri.
 
Ila ili miradi yote ya kimkakati inayozidi 2025 ikamilike, basi huyu mwamba ndio mtu sahihi...mwingine itakuwa kuirudisha nchi nyuma. The Madame ni kama watampora kiti.
 
Mwigulu ana haiba ya urais ila kiukweli haiwezekani yeye kuwa Rais. Kashonyesha sana tamaa ya kukitaka kiti.... na kauli zake za kukera wapiga kura zinamharibia. Pia aina yake ya siasa ni ya hovyo. Kuna wakati alimvalisha mbuzi tshirt ya CHADEMA hadharani. Lile tukio lilikuwa la kipumbavu mno. Hata Magu mwenyewe hakuwa nasiasa za kipuuzi wakati akiwa waziri.
Akikosa mwigulu basi ni kasimu moja kwa moja japo simuoni kasimu kama anakitaka kiti kweli kweli
 
Sawa kwani wa sasa ametoka wapi? Kuna vifungu vinavyosema lazima awe mkristo au mzanzibar(alternating)? Mimi nachojua kama rais akiwa mbara basi makamu mzenji and vice versa.
Mzanzibar kuja kuwa raisi wa Tanzania haiwezekani
 
Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Raisi atakaefuata baada mama samia ni Mwigulu Lameck Nchemba

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwani tayari mmeshapewa bajeti ya kuanza kuchora tena kwenye miamba?
 
Back
Top Bottom