Shekh Mwaipopo amtabiria makubwa Dkt. Mwigulu Nchemba

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
725
Reaction score
653
Shekh Mwaipopo amemtabilia makubwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akimpongeza kwa elimu na usomi alioupata katika ngazi ya chuo kikuu.

Amesema mafanikio ya Dkt. Mwigulu yamechangiwa pia na nidhamu, kujituma, uwezo wa kuwasikiliza wananchi na kufuatilia kero zao.

Kwa mujibu wa Mwaipopo, nidhamu, kujituma na kuwa karibu na wananchi ni miongoni mwa sifa zilizomsaidia Dkt. Mwigulu Nchemba kufikia nafasi hiyo ya juu katika uongozi wa Taifa.
 
View attachment 3665435
Yeye Mwaipopo hana nidhamu wala hajitumi ndiyo maana hana faida kwenye nchi zaidi ya usumbufu.
 
Shekh Mwaipopo amemtabilia makubwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akimpongeza kwa elimu na usomi alioupata katika ngazi ya chuo kikuu.

Amesema mafanikio ya Dkt. Mwigulu yamechangiwa pia na nidhamu, kujituma, uwezo wa kuwasikiliza wananchi na kufuatilia kero zao.

Kwa mujibu wa Mwaipopo, nidhamu, kujituma na kuwa karibu na wananchi ni miongoni mwa sifa zilizomsaidia Dkt. Mwigulu Nchemba kufikia nafasi hiyo ya juu katika uongozi wa Taifa.
View attachment 3665435
1788802133197.jpg
 
Kwani huyu Punguani ni nani katika Taifa hili?
 
Back
Top Bottom