mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,403
Magu mwenyewe alikuwa anamnanga sana Jakaya sasa ni zamu yake kunangwa!
😄😄😄 watu wanamzoom eti tulitetereka kati ya kipindi kile na sasa wapu pana nafuu?There something very fishy going on. Sijawahi ona hivi. Alafu wengine wanakwambia you can't fuel more than anachoropoka
unamnanga mfuMagu mwenyewe alikuwa anamnanga sana Jakaya sasa ni zamu yake kunangwa!
Cheki wajinga hawa!!?Atanangwa tuu Ili iwe fundisho na Kwa wengine,hakuna kusingizia kwamba hayupo..
Shujaa wenu alipandikiza ukabila ndio maana hadi leo hii Rais anaweza tatizoka kumtengua mtu wa kabila fulani na kuonekana kwamba eti ni ukabila..
Maendeleo alibagua na upuuzi mwingine kama huo, yaani aliua kabisa tunu za Taifa.
In short she is a perfectionist which shows that she was the wrong candidate for the job.[emoji1][emoji1][emoji1] watu wanamzoom eti tulitetereka kati ya kipindi kile na sasa wapu pana nafuu?
wanaomchukia jPm ni sisi wa mtandaoni tena kwa maandishi sio hao wanaoacha shughuli zao na kwenda kumsikiliz
Acha hizo ww ni wapi hawajafanyiwa maendeleo maana km kujenga miundo mbinu ama umeme kafanya mikoa yote kwa nn mnamsema sana yule mzeee hebu mwacheni apumzikeKwani uongo,Magufuli aliendesha Nchi kwa akipendelea kabila lake la Kisukuma,huku akipeleka maendeleo kwa upendelea Mkoa wa Mwanza na Geita.
Magufuli ndio alikiwa maana hasa ya ikabila ambao Nyerere aliupinga.
Kwani zamani ilikuwa ukisali Ijumaa huli kitengo hata kama una uwezo?
p na b zinafanana japo zinatofautiana
Kama una hisia na vijitabia vya kibaguzi baguzi huwezi kukosa hisia za kubaguliwa
Tofauti ya Makundi haya mawili moja ( la kwenu) lilikusanya watu wa 'kwao' tu na likawekeza kwny ubinafsi…wenzao kundi lao lina mtu wa kila jamii, kila eneo,kila dini,kila rika,kila kipato,kila tabia…hata kwny kundi lile kuna mamluki wa kundi hili.
Katiba mbofumbofu iliyopo ndio TATIZO kubwa. Madaraka ya Rais ni makubwa mno, yanalewesha.Falsafa aliyoipandikiza marehemu bado ipo na inaishi miongoni mwa watu.
Kwa hiyo falsafa ile mbaya, na mfumo ule mbaya wa utawala wake bado upo. Lazima tuendelwe kuulaani na kuwalaani wafuasi wake.
Hata hivyo haimaanishi kuwa kabla yake nchi ulikuwa vizuri. CCM ile ya kukumbatia mambo ya hovyo, CCM ile ya kugandamiza demokrasia, CCM ya kuua wakosoaji, ilikuwepo hata kabla yake. Marehemu aliongezea maradufu.
Je, Samia ataweza kuibadilisha CCM toka kuwa genge la kihalifu na kuwa chama cha siasa?Tuendelea kufuatilia.
Hivi kuna mkoa umefaidi matunda ya magufuli kama DSM.?Kwani uongo,Magufuli aliendesha Nchi kwa akipendelea kabila lake la Kisukuma,huku akipeleka maendeleo kwa upendelea Mkoa wa Mwanza na Geita.
Magufuli ndio alikiwa maana hasa ya ikabila ambao Nyerere aliupinga.
Hao watakua cdm...na sio wenyeji wa kanda ya ziwa hao.Unataka kudanganya watu, kwamba akija kanda ya ziwa akamnanga itakuwaje?
Kwa kukutaarifu tu, nilishuhudia makundi ya watu wakifanya sherehe chato siku magu alipofariki! Niliduwaa kidogo, lakini uhalisia wabongo wa sasa si wa zamani.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Na huyu jee?Watumbuliwa na vyeti fake wote mtaendelea kulia mpaka mnaingia kaburini.
Kwanza nyie misukule Yale muache kumuabudu huyo mungu wenu kichaa,ndio na wengineo wataacha kumsema mabaya yakeAcha Ninukuu Maneno ya E1 akiwa Huko Kwa Mathias-Kibaha, mkoa Wa Pwani
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha Mawe Kwake, Nadhani Huu Ni Udhaifu Kwake Sana.
.
Ampumzishe Mzee Wawatu maana Hayupo na Hawezi Kujubu Mapigo Yake.
Kama kipindi Cha magufuli,ukiwa mkatoliki ajira fastaaaKwa sasa ukisali ijumaa tu unakula kitengo hata kama uwezo mdogo.
Enzi za dikteta ukiwa jambazi unaweza kuitumia AK47, unapewa udc kama SaabayaUkivaa shungi tu unalamba uteuzi fasta hata kama ni empty headed.
Exactly, magufuli alikuwa mkabila haswaa, na mdiniKwani uongo,Magufuli aliendesha Nchi kwa akipendelea kabila lake la Kisukuma,huku akipeleka maendeleo kwa upendelea Mkoa wa Mwanza na Geita.
Magufuli ndio alikiwa maana hasa ya ikabila ambao Nyerere aliupinga.
Bwabwa wewe, hivyo vi-emoj Nini kimekuchekesha Sasa!Jumong [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sababu sio wasukuma!?Makamba, Mchengerwa,
Sijui lakini ndivyo walivyo wana si hasa wanafikiri siku zote watu ni wajinga na wataendelea kuwa wajinga ili wawatawale! wanapenda kuongoza taifa la wajinga ili wao na koo zao waendelee na dhuruma kwa kuangalia mapungufu machache wakinia kufunika mazuri ili tuendelee kuwa na taifa na utwana na utumwa.Acha Ninukuu Maneno ya E1 akiwa Huko Kwa Mathias-Kibaha, mkoa Wa Pwani
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha Mawe Kwake, Nadhani Huu Ni Udhaifu Kwake Sana.
.
Ampumzishe Mzee Wawatu maana Hayupo na Hawezi Kujubu Mapigo Yake.
Nenda chato kaichunguze ccm kwa kina. Majibu ubaki nayo mwenyewe. Usicheze kabisa na wabongo.Hao watakua cdm...na sio wenyeji wa kanda ya ziwa hao.
#MaendeleoHayanaChama