Rais ametumia Moral authority sio legal authority

Rais ametumia Moral authority sio legal authority

Mihimili ya mahakama na wa bunge iliwakilishwa na nani.

Mbona kwa Aboud Jumbe walitii bila shuruti maelekezo ya familia.

Nyie ndio mnajifanya usalama wa taifa na kutishia watu mabastora!!!!
Nan amekutishia na bastola mkuu mbna hii ni free world unaweza zungumza unachojiskia bila kuvunja sheria.
La msing wewe amin kwa upande wako na mm ntaamin kwa upande wangu pia
 
BABA HAKUWEKA MAMBO SAWA, Muheshimiwa Rais, kama Mwanaume au baba amesaidia hilo kwa vitendo, WATOTO WAHEHESHIMIANE NA KUONANA SAWA, WAKE NAO WAHESHIMIANE VILE VILE, Alichosema Rais ndo ukweli, ambao haumbingiki, na UKWELI UNAUMA,.....Vaeni viatu vya wale wanawake 3 na wale watoto 15 ndo mje mumlaumu Rais kwa alichokifanya...PALE BUSARA IMETUMIKA.
Kusema si kosa ila nilidhani si sehemu sahihi
 
Mzee mchunguzi leo naomba tupishane ktk hili
1. Koa wanawake wengi hasa kwetu ujaluoni si dhambi wala kosa na si aibu kutangaza jambo hilo hasa msibani. Lakini pia hawa waliokuwa wanaficha jambo hili walikuwa na maana gani ikiwa marehemu alilionea ufahari na kulihalalisha ?!.
2. Rais ameona kutakuwa na migogoro baada ya msiba na kujaribu kuweka jambo hilo wazi mapema ili kuzuia mafisi wenye nia mbaya hasa kwenye mirathi

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
jamani huyu mtu amekua ni mtu wa kutelea kwenye speech zake historia inaonyesha hivyo, leo kateleza pabaya zaidi.
mpeni ushauri ajifunze kuweka akiba ya meneno.
 
Mkuu, hii ni 'paradox of virtue' nadhani.
Sasa aliyesononesha familia ni aliyesema ukweli au aliyefanya uongo kwa kuoa wake na kuzaa watoto nje na kushindwa kuwapatanisha wakati akiwa hai!? Mkuu jaribu kujiweka katika nafasi ambayo unamuita mtu kaka au dada na yeye anasema 'wewe sio ndugu yetu' na huwezi kutafuta baba mwingine zaidi ya uliyeambiwa na mama!
Mkuu haya mambo wengi hawayajui mpaka imtokee mtu ndo atakumbuka anacho kimaanisha mkuu wa kaya, mimi mwenyewe ni mhanga wa haya mambo mzaz wangu alikuwa na wake zaidi ya 3 lakini siku ya kifo chake aliye tambuliwa ni mke mmoja na watoto wake tu, sasa niambie hawa wengine tunaenda wapi? Tunaishi vipi? Tunasoma vipi?? mpaka leo hakuna uhusiano uliopo miongoni mwa familia yangu tofauti kabisa na awali.
 
Kipi kibaya, kuyasema yale aliyoyasema rais ili hao watoto wakae vizuri (bila kujali wamezaliwa na mama anae tambulika au la) au kuumfichia siri marehemu na watoto waachane vibaya isipokua wale 5 tu. MAsaburi awe alitubu kwa muumba wake au hakutubu, maneno mazuri baada ya kifo chake hayawezi badirisha chochote kwa Mungu. Nampongeza mhe Magufuli kwa kusema ukweli. Watanzania tujifunze kuusema ukweli hata kama unaumiza, haya mambo ya kua tunasema Fulani alikua mzuri sijui nini, hayatusaidii hata kidogo.
Mteteeni ila kwa ukweli ameteleza na ameikwaza familia.
 
Mkuu aliteleza pale.Yale maneno na kupigiwa makofi msibani si mila na desturi za kiafrika.
Hayo mambo yangeachwa katika ngazi ya familia.
 
Kipi kibaya, kuyasema yale aliyoyasema rais ili hao watoto wakae vizuri (bila kujali wamezaliwa na mama anae tambulika au la) au kuumfichia siri marehemu na watoto waachane vibaya isipokua wale 5 tu. MAsaburi awe alitubu kwa muumba wake au hakutubu, maneno mazuri baada ya kifo chake hayawezi badirisha chochote kwa Mungu. Nampongeza mhe Magufuli kwa kusema ukweli. Watanzania tujifunze kuusema ukweli hata kama unaumiza, haya mambo ya kua tunasema Fulani alikua mzuri sijui nini, hayatusaidii hata kidogo.
Mkuu unajua watz hawapendi ukweli, nimpongeze mkuu wa nchi kwa kusema ukweli.
 
Kusema si kosa ila nilidhani si sehemu sahihi
Hakukuwa na Sehemu nyengien ya kurekebisha Zaidi ya pale, aliamua kusema pale sabab hao wake wa 4 na watoto 15 WALIKANWA PALE NA RISALA YA MAREHEMU, KWAHIYO PALE NDIO PALIKUWA SEHEMU MUAFAKA PAKUREKEBISHA, Na sikwengineko...wamemwaga mboga, kumemwaga ugali....MKE MKUBWA AMBAE NI 1 NA HAO WATOTO WAMEPEWA HESHIMA YAO KWENYE RISALA, NA HAO WENGINE WAMEPATA HESHIMA YAO YA MDOGO, PALE NGOMA DROO KILA MTU KALALA USINGIZI MNONO NA MACHUNGU YA KUFIWA YAMEPUNGUA KIDOGO.
 
sawa mkuu
 
Mkuu kwa heshima zote! Hicho unachosema siyo kweli isipokuwa amewatendea haki stahiki mbele ya Muumba.
Je ni uongo kuwa Marehemu alikuwa na Mke zaidi ya Mmoja?
Acheni maisha ya kinafiki. Ustaarabu gani ? Familia ipi imesononeka ile iyojichukulia hadhi ya kuwa watoto halali wa marehemu na wengine kuonekana vijakazi?
Rais katumia hekima kama za Mfalme Solomon katika agano la Kale(Old Testament)kama marehemu alikuwa(ni) mwenyeji wa kutoka Mara hayo mambo ni kawaida na ni sifa kwa ukoo wao hata kama ni Mkirstu.
 
Mkuu haya mambo wengi hawayajui mpaka imtokee mtu ndo atakumbuka anacho kimaanisha mkuu wa kaya, mimi mwenyewe ni mhanga wa haya mambo mzaz wangu alikuwa na wake zaidi ya 3 lakini siku ya kifo chake aliye tambuliwa ni mke mmoja na watoto wake tu, sasa niambie hawa wengine tunaenda wapi? Tunaishi vipi? Tunasoma vipi?? mpaka leo hakuna uhusiano uliopo miongoni mwa familia yangu tofauti kabisa na awali.
Asante sana.
Hapa wengine watadhani unaongelea kumiliki mali za mzazi tu lakini ni zaidi ya mali maana hata ukiweza kumiliki mali zako za kukutosheleza ile hali ya 'kutokuwa na baba' ina maana hata babu huna so you become an non-ancestral.
 
Kwa mfano Lowasa naye angesema "marehemu hakuwa na mke wala mtoto"
Kwa muktadha wako angekuwa sahihi kusema anachokifahamu na kukiamini??

Marehem anatakiwa kustahiwa, wasimamizi wa staha ni wanafamilia, jamii inalo jukumu la kuheshimu misingi ya staha inayotumiwa na familia kwa maudhui yaleyale ya kumstahi marehem.

Haina maana kuna njama za kudhulumu haki za watu la hasha, maana kuna vikao vya ukoo ambavyo huweka mambo yote sawa, ikiwa na maana ya kupokea taarifa mpya kama vile WAKE, watoto, mali zinazohamishika na zisizohamishika pamoja na madeni.

Huo ndio mwanzo wa mchakato wa ugawaji wa haki za warithi wa marehem.

HALAFU UNDOA MENTALITY YA KUTAKA KUWA MZUNGU, UTAISHIA KUJICHUBUA NA KUVAA MAWIGI.

MAGUFULL IS (not was) WRONG
Kweli akili ni nywele nakubali, tuna aina za watu tofauti duniani wakiongea lugha tofauti, rangi tofauti na maisha tofauti lakini principles zinazoongoza maisha yetu ni moja! 1+1 ikiwa 2 Tanzania na Burundi ni hiyo hiyo hata Marekani na China!
Kwa maana hiyo unataka kusema yanatangazwa matokeo ya mitihani alafu unatangaza mpaka mtu wa kumi then wa mwisho 'unawastahi' ili wasiaibike!?
Ukiwa public figure inakupasa kuendenda kwa maneno yako kulingana na matendo.
 
jamani huyu mtu amekua ni mtu wa kutelea kwenye speech zake historia inaonyesha hivyo, leo kateleza pabaya zaidi.
mpeni ushauri ajifunze kuweka akiba ya meneno.
Kwingine huko hata Mimi namlaumu lakini kwa hili la Masaburi kulikuwa na watu wenye nia mbaya hasa na mali za marehemu
 
kila mtu ana haki ya kusema popote,kinacho gomba ni amesema wapi,na akina nani.
mtizamo wa wapi na aki na nani na unaongea nao lini hilo nalo ni jambo jingine.
vipo vitu vidogo vinaweza kuwa funzo kwa vitu vikubwa
 
wacha unafiki wewe,
uko tayari kwenye kifo cha baba yako au mama yake mtu aje ashike mic nakutangaza madhambi ya marehemu??
Madhambi, ni jambo lingine, na mwenye kulijua zaidi ni Mungu...lkn ukweli ni jambo moja...hautakiwi ufichwe!
 
Asante sana.
Hapa wengine watadhani unaongelea kumiliki mali za mzazi tu lakini ni zaidi ya mali maana hata ukiweza kumiliki mali zako za kukutosheleza ile hali ya 'kutokuwa na baba' ina maana hata babu huna so you become an non-ancestral.
Mkuu kilichopo ni kwamba watz walishazoeshwa kudanganywa sana, sasa akitokea mtu anasema ukweli hapo ndo inakuwa shida, kwa mfano mimi angetokea mtu akasema ukweli kama wa jana leo hii labda ningekuwa na babu yangu upande wa baba, shangazi, baba mdogo nk.
 
Magufuli husema msema Kweli ni mpenzi wa mungu...so nadhani hakuona haja ya kujiunga na uongo wa wanafamilia kuhusu idadi ya wake na watoto wa marehemu.. Sidhani kama hata Masaburi mwenyewe alikuwa akisema ana watoto 5 tu..ni ukichaa kukana wanao na Dr. Didas hakuwa kichaa
 
Hivi ni aibu gan mnahofia wakati tu baada ya msiba kila kitu itawekwa wazi shida ya watanzania mmzoea maisha ya unafiki,mtu ni jambaz alaf unasema marehem ilikuwa mtu mzuri!! Kuwen wakwel
 
Back
Top Bottom