Rais ametumia Moral authority sio legal authority

Hili ni somo kwetu sote tuliobaki, Waume kwa wake. Anayepaswa Kutatua hizi changamoto ni Baba Na Mama kuwekana wazi pindi wakiwa wazima na Buheri wa Afya.

Tuwe na Tamaduni ya kuandika Mirathi mapema na Tujitahidi watoto wajengwe katika minajili ya Kiimani zaidi na kuwapatia Elimu kadri tuwezavyo
 
Hata kama Jambazi akiuawa kwenye ujambazi utasikia watu wanamsifu kua alikua mtu mwema sana,wakati kunyume chake ndiyo ukweli.Mkuu hajakosea amefanya yale anayoamini yanafaa kwakua kwa vile anaijua background ya familia hiyo aliamini kutokufanya alichofanya kungeleta matatizo makubwa baadae.
 
Wengi watamponda raisi ila ukweli lazima usemwe.Hakuna mtu anayependa kuzaliwa nje ya ndoa na ikitokea hivyo ndio asipate stahiki zake kisa ni wa nje ya ndoa.Tunaendekeza unafiki sana ili tuonekane wazuri ila mwisho wa siku tunaendelea kujididimiza wenyewe.Kama migogoro ipo lazima isemwe
 
UKIJIONDOA KTK MSAFARA UTAWEZA KUIELEWA DHAMIRA YA MANENO YA MH MAGUFULI KTK MSIBA WA MASABURI

Magoiga SN-Mwanza

Yeyote aliyezaliwa katika ndoa za mitaala atakuwa amemuelewa sana mh Rais na hususani ushauri wake kwa familia ya marehemu masaburi.

Watu wengi wamenifuata Inbox kutaka kujua ni nini mtazamo wangu kuhusu hili suala. Wengi wameonyesha kulalamika na kumlaumu Mh Rais kwa maneno yake aliyoyasema msibani. Kwa kuwa ni vigumu kumjibu kila mtu inbox kuhusu mtazamo wangu ktk hili, naomba nitumie fursa hii kukushirikisha ili tuweze kutafakari pamoja.

i) Kwanza kabla ya mazishi, ulizuka mvutano mkubwa sana kuhusiana na wapi mwili wa marehemu uhifadhiwe. Kila familia ilitaka mwili ufikie kwao. Mvutano ulikuwa mkubwa sana kila familia ikitaka japo mwili ukalale ktk familia yao mara moja mara moja kabla ya kuzikwa. Hivyo mwili wa Marehemu ulipitishwa kila familia. Je unalijua hilo??

ii) Kwanza Mh Rais aliongea yale maneno kama rafiki wa familia, aliyeijua vyema familia ya marehemu na kama mtu ambaye asingependa siku za usoni familia ile ikaingia ktk mgogoro mkubwa.

iii) Kuna mahala aliwaasa vijana/watoto wa marehemu kuwa, wakishikamana wataweza kuwaunganisha mama zao. Alisisitiza mshikamano maana alijua kuna shida mahala na inaweza kuleta shida siku za usoni.

iv) Ushauri unaotolewa mbele ya marehemu unaweza kuwasaidia sana watoto na familia inayobaki ktk kujitafakari pale panapohitaji kufanya hivyo.

V) Sote tunajua, mzee wa familia anapofariki mambo mengi huenda kombo, familia huparaganyika kutokana na kugombania mali, mgawanyo usio sawa nk. Hususani ktk hizi ndoa za kimila

vi) Katika ndoa za mitaala Afrika, familia yenye financial power ndiyo inayohodhi kila kitu ikiwemo haki ya mazishi, usimamizi wa mirathi nk

MR RAIS ALIKOSEA AU ALIKUWA SAWA??

Hilo swali sina jibu lake maana kusema alikosea au alikuwa sawa inategemea sana uwezo binafsi wa mtu mmoja mmoja ktk kuitumia vyema akili yake kulitafakari suala hilo. Hivyo nitakachokifanya ili kulijibubswalinhilo, nitkuuliza mswali yenye mwongozo ili utumie muda wako kuyatafakari na kulijibu swali hilo kadiri ya uelewa wako

Akili ndogo hulalama badala ya kujihoji. Hivyo badala ya kubaki ukilalama ni vyema ujaribu kuyatafakari maswali haya ili uoate jibu iwapo Mh Rais alikuwa sawa au hakuwa sawa

i) Je ni kweli masaburi alikuwa na mke mmoja pekee?? Nini tafsiri ya Mke, na ndoa.

iii) Je ni kweli alikuwa na watoto 5 pekee?? Nini tafsiri ya watoto??

iv) Je ktk familia zetu za Kiafrika kuna wakati baadhi ya watoto hukosa stahiki zao pindi mzazi anapofariki?? Taja mazingira ambayo yamekuwa yalisababisha watoto na wajane kukosa stahiki zao

v) Kama alikuwa na watoto zaidi ya 20, na wake zaidi ya 4. Ila wanaotajwa ni mke mmoja na watoto 5. Unategemea kutakuwepo na amani ktk familia hiyo baada ya marehemu kuondoka?? Au tutegemee magazeti kuanza kuripotinkuhusu mgogoro wa kugombania mali za urithi nk?

#My_Take Kuna wakati mtu unahitaji kuondoka ktk msafara wa Nyumbu ukae pembeni ndipo unapoweza Kuyaona mambo ktk mtazamo tofauti 'in a different perspective'. Bika hivyo, utakiwa unawaza kinyumbu nyumbu kwa kutegemea akili ya anayeongiza msafara wenu
Sisi tumefundishwa kuficha aibu ya maiti zetu,sijui nyie.Kuhitilafiana na msemaji wa familia in public kwa jambo linalomhusu mtu ambaye hawezi kunyanyuka na ku clarify ni jambo ambalo halihijaji kutetewa hata kama limetendwa na Mfalme.Tujifunze kuficha aibu ya maiti wetu!!!!
 
Huyu mtetezi wa Michepuko nahisi naye ana michepuko kwa hiyo anaandaa utaratibu wa Michepuko yake, kitu kibaya ni kupuuza mafundisho ya kanisa ambayo yeye pia amepitia sasa anajiona malaika
Weka akiba ya maneno
 
Kulikuwa na busara gani kwa Magufuli kuyasema yale hadharani tena kwa ladha ya kama kejeli hivi? Kama alikuwa na nia ya kuipatanisha familia alishindwa kuomba dakika 5 tu za faragha aongee nao kuliko fedheha ya namna ile?
Tukubaliane tu kwamba huyu bwana anapokuwa mbele za watu na kwa tabia yake ya kupenda sifa huwa anakosa busara.
 
"msema kweli ni mpenzi wa mungu" sidhani kama mtazamo wa rais haukuwa mzuri...menaona ni afadhari kaiondoa ile sintofahamu na hatima ya mali, waliyokuwa nayo wake na watoto wa marehemu.
1.kama ni kweli, awali kulikuwa na ugomvi,na marehemu akapitishwa kila kaya yake,iweje kwenye mali wengne wasahauliwe!!?
2.alichagua mwenyewe mahali pa kuzikwa(ktk chuo chake)....na kwa "hekima" ya rais akasema, marehemu alichagua mahali pa wote!!

n mtazamo wang
 
Magufuli aliijuaje michepuko yote ya Masaburi? Au ndo ndege wa rangi moja
 
wacha unafiki wewe,
uko tayari kwenye kifo cha baba yako au mama yake mtu aje ashike mic nakutangaza madhambi ya marehemu??
kama alikuwa nayo, alikuwa nayo tu!
Rais ametumia hekima sana.
Kuliweka wazi mbele ya jamii suala lile kutaibana familia kutenda haki.
Yeye kama rafiki wa marehemu,yeye kama kiongozi mwenzake marehemu,alikuwa na kila sababu ya kuingilia mgogoro na kushauri.
Wanasema ukishakuwa public figure ukubali tu kuwa privacy yako na familia yako haiwezi kuwa asilimia mia tena.
Hata Magu angekaa kimya,huenda siku za usoni tungeshuhudia magazeti yakiandika mgogoro ndani ya familia hii.
 
Wasalaaam
Kwa mtazamo wangu Rais amekose hata kama alikuwa anajua kuwa kuna tatizo asinge lisema public vile
Angeziita hizo familia na kuzungumza nao private.. kwani kwa kuzungumza vile ndio itasababisha huo mgogoro kuisha?.. hapo kwanza kaidhalilisha familia ya marehem, pili kajidhalilisha yeye mwenywe kwa kusema anatamani awe na wanawake wengi kama masaburi inamaana anaruhusu michepuko sindio!!
Wale viongozi wa dini watajisikiaje kuwa wamefanya kinyume na mafundisho ya dini kumzika mtu alie na mke zaidi ya mmoja...
Pia kauli yake hii itasababisha watu wengi kujitokeza na kusema ni watoto wa masaburi, na wengine kujitokeza wakijifanya ni wake zake marehemu...
Hapa mkuu hajatatua mgogoro bali ataongeza mizozo mingi zaidi
 
Raisi kuzungumza yale wala haiwezi kuwa utetezi au ushahidi mahakamani au hata kwenye vikao kumfaa aliyedhulumiwa.

Kinachoweza kuwafaa ni good will, truth, commonsense, will ya marehemu, busara, hekima na utu

Kwa mfano mtu hawezi kusema kuwa "raisi kasema na mimi ni mke wa marehemu, kwa hiyo ni mke wa marehemu"

Kuijua familia hakukupi haki kuisemea familia mambo yake.

Kwa mfano wewe kama si mwanafamilia hauwezi kujua marehemu alikufa kwa ugonjwa gani tofauti na ilivyotamkwa kwenye wasifu, wewe ukaanika kuwa hapana mgonjwa hakufa kwa ugonjwa huo bali alikufa kwa ugonjwa kadhaa
 
UKIJIONDOA KTK MSAFARA UTAWEZA KUIELEWA DHAMIRA YA MANENO YA MH MAGUFULI KTK MSIBA WA MASABURI

Magoiga SN-Mwanza

Yeyote aliyezaliwa katika ndoa za mitaala atakuwa amemuelewa sana mh Rais na hususani ushauri wake kwa familia ya marehemu masaburi.

Watu wengi wamenifuata Inbox kutaka kujua ni nini mtazamo wangu kuhusu hili suala. Wengi wameonyesha kulalamika na kumlaumu Mh Rais kwa maneno yake aliyoyasema msibani. Kwa kuwa ni vigumu kumjibu kila mtu inbox kuhusu mtazamo wangu ktk hili, naomba nitumie fursa hii kukushirikisha ili tuweze kutafakari pamoja.

i) Kwanza kabla ya mazishi, ulizuka mvutano mkubwa sana kuhusiana na wapi mwili wa marehemu uhifadhiwe. Kila familia ilitaka mwili ufikie kwao. Mvutano ulikuwa mkubwa sana kila familia ikitaka japo mwili ukalale ktk familia yao mara moja mara moja kabla ya kuzikwa. Hivyo mwili wa Marehemu ulipitishwa kila familia. Je unalijua hilo??

ii) Kwanza Mh Rais aliongea yale maneno kama rafiki wa familia, aliyeijua vyema familia ya marehemu na kama mtu ambaye asingependa siku za usoni familia ile ikaingia ktk mgogoro mkubwa.

iii) Kuna mahala aliwaasa vijana/watoto wa marehemu kuwa, wakishikamana wataweza kuwaunganisha mama zao. Alisisitiza mshikamano maana alijua kuna shida mahala na inaweza kuleta shida siku za usoni.

iv) Ushauri unaotolewa mbele ya marehemu unaweza kuwasaidia sana watoto na familia inayobaki ktk kujitafakari pale panapohitaji kufanya hivyo.

V) Sote tunajua, mzee wa familia anapofariki mambo mengi huenda kombo, familia huparaganyika kutokana na kugombania mali, mgawanyo usio sawa nk. Hususani ktk hizi ndoa za kimila

vi) Katika ndoa za mitaala Afrika, familia yenye financial power ndiyo inayohodhi kila kitu ikiwemo haki ya mazishi, usimamizi wa mirathi nk

MR RAIS ALIKOSEA AU ALIKUWA SAWA??

Hilo swali sina jibu lake maana kusema alikosea au alikuwa sawa inategemea sana uwezo binafsi wa mtu mmoja mmoja ktk kuitumia vyema akili yake kulitafakari suala hilo. Hivyo nitakachokifanya ili kulijibubswalinhilo, nitkuuliza mswali yenye mwongozo ili utumie muda wako kuyatafakari na kulijibu swali hilo kadiri ya uelewa wako

Akili ndogo hulalama badala ya kujihoji. Hivyo badala ya kubaki ukilalama ni vyema ujaribu kuyatafakari maswali haya ili uoate jibu iwapo Mh Rais alikuwa sawa au hakuwa sawa

i) Je ni kweli masaburi alikuwa na mke mmoja pekee?? Nini tafsiri ya Mke, na ndoa.

iii) Je ni kweli alikuwa na watoto 5 pekee?? Nini tafsiri ya watoto??

iv) Je ktk familia zetu za Kiafrika kuna wakati baadhi ya watoto hukosa stahiki zao pindi mzazi anapofariki?? Taja mazingira ambayo yamekuwa yalisababisha watoto na wajane kukosa stahiki zao

v) Kama alikuwa na watoto zaidi ya 20, na wake zaidi ya 4. Ila wanaotajwa ni mke mmoja na watoto 5. Unategemea kutakuwepo na amani ktk familia hiyo baada ya marehemu kuondoka?? Au tutegemee magazeti kuanza kuripotinkuhusu mgogoro wa kugombania mali za urithi nk?

#My_Take Kuna wakati mtu unahitaji kuondoka ktk msafara wa Nyumbu ukae pembeni ndipo unapoweza Kuyaona mambo ktk mtazamo tofauti 'in a different perspective'. Bika hivyo, utakiwa unawaza kinyumbu nyumbu kwa kutegemea akili ya anayeongiza msafara wenu
ila kwa kuachana na yote ya huu msiba...Mungu amlaze Marehemu mahala pema ....

Ila tuu ni funzo kwa wanaume wa Kiafrika hasa wa Kitanzania...
1. wawe wawazi katika masuala haya ya mahusiano, (watoto na wake) tangu wawapo hai kwani hujui kifo kitakuchukua wakati gani.....kuandika mirathi sio kuwa ndio unajitabiria kufa, no no no...ni kuwa unaandaa familia bora baadae isiyokuwa na mfarakano.

2. Pia wanaume wakumbuke kuoa wanawake wachache Mmoja au wawili wanatosha hata kama ni mila za Kiafrica wanafuata...
 
Mkuu ameitia aibu hii familia na amemtanazia marehemu madhambi yake.
katika hali ya kawaida ni kuwa kwenye misiba mingi madhambi au madhaifu ya marehemu huwa hayawekwi hadharani. hutokea pia hata maradhi yaliyosababisha kifo cha marehemu hayatangazwi.
fikiria kama familia ya marehemu wametangaza kuwa amefariki kwa shinikizo la damu,halafu ajitokeze mtu mwingine na aseme kuwa yeye ni rafiki wa marehemu na anajua kuwa amefariki kwa ukimwi!
hata kama ni ukweli lakini je,huo si udhalilishaji?
 
Wala hakutek
Mkuu ameteleza, ameisononesha familia ya marehemu, amewasononesha wastaarabu wote.

Wala hakuteleza ila ameisaidia familia. Kama hao wake wapo na walihudhuria hafla hiyo, na watoto pia walikuwepo kwenye tukio hilo, mtu wa baki anawezaje kuwakana sasa, na kwa kutumia mamlaka gani, ambayo marehemu katika uhai wake hakuyatumia?.
 
katika hali ya kawaida ni kuwa kwenye misiba mingi madhambi au madhaifu ya marehemu huwa hayawekwi hadharani. hutokea pia hata maradhi yaliyosababisha kifo cha marehemu hayatangazwi.
fikiria kama familia ya marehemu wametangaza kuwa amefariki kwa shinikizo la damu,halafu ajitokeze mtu mwingine na aseme kuwa yeye ni rafiki wa marehemu na anajua kuwa amefariki kwa ukimwi!
hata kama ni ukweli lakini je,huo si udhalilishaji?

Kuwa na wake na watoto wengi si udhaifu, hasa kwa Waafrika ambao ndiyo jadi yao... Kikristo ni jambo jingine; na uwepo wa wake wengi na watoto waliozaliwa na mama tofauti ni usthibitisho tosha kabisa kuwa marehemu pamoja na kuwa mkristo hakuishi kama mkristo kindakindaki! na hivyo anapoteza sifa za kuhukumiwa km mkristo safi, ila ana sifa za kuhukumiwa kimila Zaidi.
 
suala hapa ni kuwa kama familia yenyewe wameamua kuficha aibu ya marehemu ya kuwa na wake wengi ilhali yeye ni mkristo,je ilikuwa ni sahihi kwa mtu mwingine kukanusha na kuweka wazi mbele ya halaiki? kama ilikuwa ni kutaka kutoa ushauri kwa watoto si JPM angewaita faragha azunguze nao?
 
UKIJIONDOA KTK MSAFARA UTAWEZA KUIELEWA DHAMIRA YA MANENO YA MH MAGUFULI KTK MSIBA WA MASABURI

Magoiga SN-Mwanza

Yeyote aliyezaliwa katika ndoa za mitaala atakuwa amemuelewa sana mh Rais na hususani ushauri wake kwa familia ya marehemu masaburi.

Watu wengi wamenifuata Inbox kutaka kujua ni nini mtazamo wangu kuhusu hili suala. Wengi wameonyesha kulalamika na kumlaumu Mh Rais kwa maneno yake aliyoyasema msibani. Kwa kuwa ni vigumu kumjibu kila mtu inbox kuhusu mtazamo wangu ktk hili, naomba nitumie fursa hii kukushirikisha ili tuweze kutafakari pamoja.

i) Kwanza kabla ya mazishi, ulizuka mvutano mkubwa sana kuhusiana na wapi mwili wa marehemu uhifadhiwe. Kila familia ilitaka mwili ufikie kwao. Mvutano ulikuwa mkubwa sana kila familia ikitaka japo mwili ukalale ktk familia yao mara moja mara moja kabla ya kuzikwa. Hivyo mwili wa Marehemu ulipitishwa kila familia. Je unalijua hilo??

ii) Kwanza Mh Rais aliongea yale maneno kama rafiki wa familia, aliyeijua vyema familia ya marehemu na kama mtu ambaye asingependa siku za usoni familia ile ikaingia ktk mgogoro mkubwa.

iii) Kuna mahala aliwaasa vijana/watoto wa marehemu kuwa, wakishikamana wataweza kuwaunganisha mama zao. Alisisitiza mshikamano maana alijua kuna shida mahala na inaweza kuleta shida siku za usoni.

iv) Ushauri unaotolewa mbele ya marehemu unaweza kuwasaidia sana watoto na familia inayobaki ktk kujitafakari pale panapohitaji kufanya hivyo.

V) Sote tunajua, mzee wa familia anapofariki mambo mengi huenda kombo, familia huparaganyika kutokana na kugombania mali, mgawanyo usio sawa nk. Hususani ktk hizi ndoa za kimila

vi) Katika ndoa za mitaala Afrika, familia yenye financial power ndiyo inayohodhi kila kitu ikiwemo haki ya mazishi, usimamizi wa mirathi nk

MR RAIS ALIKOSEA AU ALIKUWA SAWA??

Hilo swali sina jibu lake maana kusema alikosea au alikuwa sawa inategemea sana uwezo binafsi wa mtu mmoja mmoja ktk kuitumia vyema akili yake kulitafakari suala hilo. Hivyo nitakachokifanya ili kulijibubswalinhilo, nitkuuliza mswali yenye mwongozo ili utumie muda wako kuyatafakari na kulijibu swali hilo kadiri ya uelewa wako

Akili ndogo hulalama badala ya kujihoji. Hivyo badala ya kubaki ukilalama ni vyema ujaribu kuyatafakari maswali haya ili uoate jibu iwapo Mh Rais alikuwa sawa au hakuwa sawa

i) Je ni kweli masaburi alikuwa na mke mmoja pekee?? Nini tafsiri ya Mke, na ndoa.

iii) Je ni kweli alikuwa na watoto 5 pekee?? Nini tafsiri ya watoto??

iv) Je ktk familia zetu za Kiafrika kuna wakati baadhi ya watoto hukosa stahiki zao pindi mzazi anapofariki?? Taja mazingira ambayo yamekuwa yalisababisha watoto na wajane kukosa stahiki zao

v) Kama alikuwa na watoto zaidi ya 20, na wake zaidi ya 4. Ila wanaotajwa ni mke mmoja na watoto 5. Unategemea kutakuwepo na amani ktk familia hiyo baada ya marehemu kuondoka?? Au tutegemee magazeti kuanza kuripotinkuhusu mgogoro wa kugombania mali za urithi nk?

#My_Take Kuna wakati mtu unahitaji kuondoka ktk msafara wa Nyumbu ukae pembeni ndipo unapoweza Kuyaona mambo ktk mtazamo tofauti 'in a different perspective'. Bika hivyo, utakiwa unawaza kinyumbu nyumbu kwa kutegemea akili ya anayeongiza msafara wenu
Kama rais naona amefanya hekima kwani hali inaonyesha haikuwa nzuri sana. Japo sijawahi kuwa shabiki wa marehemu kisiasa, kibinadam napenda familia yake iishi kwa amani na itawezekana tu kwa jamii husika kukaa na kuweka tofauti pembeni kama rais alivopendekeza. Hongera sana Magufuli. Alitumia maneno ya moja kwa moja lakini ndo inavotakiwa kwa kipindi kama kile. RIP Masaburi
 
Back
Top Bottom