Rais ametumia Moral authority sio legal authority

Rais ametumia Moral authority sio legal authority

Suali kwa waTZ :- Kwa mshahara na marupurupu wa Serikali yetu, Mtu unawezajee kumaintain na kdiriki wanawake 4 /hawara au zaidi na watoto wengi..?

ndiyyo maana Wanaume TZ wanakufa mapema sana.. !!
 
Suali kwa waTZ :- Kwa mshahara na marupurupu wa Serikali yetu, Mtu unawezajee kumaintain na kdiriki wanawake 4 /hawara au zaidi na watoto wengi..?

ndiyyo maana Wanaume TZ wanakufa mapema sana.. !!
kwa kweli wanajitakia wenyewe.. na wanawake sisi tulivyo too demanding tukipata na backup ya mtoto
 
Makanisa ya magharibi tuu hayo

Asilimia 100mliokomenti humu mna ndoaa ila, mnachepuka


ACHENI UNAFIKI
 
Point sio "AJABU" bali uadilifu wa kiapo cha ndoa.
Unamshawishije mjukuu wake kuyaamini mafundisho ya kanisa ambayo babu yake hakuyafuata.

Mambo ya uani yaachwe uani na kushughulikiwa huko huko uani.

Tujihusishe na mambo ya hadhira hadharani.
hivi mnafikri magufuli pale alisimama kama nan?
1. Mchungaji
2.Rafiki
3.Serikali
ukijiua alisimama kama nan hapo utaelwa kwa maana karimjee haikua misa ilikua ni shuhul ya kiserikal ya kumuaga marehemu
 
Je kwa kauli ya Rais ndio itafanya watoto wote wapate haki sawa?? Kidini hayo mambo yakoje nani ana haki na yupi hana??
 
Yuko sahihi Mh. Raisi maana hapo lazima pangekuwa na mtifuano mkali baada ya mazishi. Watu waache kuishi kwa unafiki
 
Mimi naona rais kafanya sawa ...japo haikuwa lazima ayaseme hadharani ...illa Ni yeye pekee ambaye angeongea Na wengine wakasikia...
Chukulieni hao watoto wangejisikiaje Wakati baba Yao hakuwahi kuwabagua..
Ni kawaiada Wakati wa uzee Au kuugua watu wengi huchagua kuugulia na kufia kwa mke wake wa ujana ....kwakuwa wanajuwa Na mengi ...lakini sio Haki kufumbia macho ukweli kuwa mwanamume anapokuwa Na nguvu Zake ...kutembea Huko njiani ...Na matunda ya Huko alikopita hayana makosa hata Kama kina mama bado Wana Bifu zao .....

Ni Kama Leo mtu aseme jk Ana watoto watano Tu Na mama Salma Wakati Kila wilaya alikopita ameacha watoto Akiwa Kijana .....Ni ushauri Tu kwa wanaume Tusione aibu angalau kuwambia rafiki zetu popote walipo watoto Wetu Ili siku Moja wasimame kuwatetea
 
Makanisa ya magharibi tuu hayo

Asilimia 100mliokomenti humu mna ndoaa ila, mnachepuka


ACHENI UNAFIKI
Kuchepuka hakukupi haki ya kuhamasisha watu kuchepuka au kufyatua watoto wengi, maadili ya taifa na kanisa yapo palepale, ulevi wa madaraka umemfanya kujiona anajua kila kitu
 
Kifo ni lazima kwa kila mmoja wetu, wala sio la kuogopa.
Kwa hiyo ifike mahali tuwe na tabia ya kuandika mirathi ambayo una haki ya kuibadilisha kutokana na hali ilivyo.
Yaliyotokea yametokea na watu wajifunze kwa haya.
Kama una familia ni bora kuweka mambo sawa kabla ili yasije yakatokea ya kutokea na kuanza kuvutana.
Msiogope kuandika mirathi kwani kutasaidia mivutano katika familia.
 
Mkuu kwa heshima zote! Hicho unachosema siyo kweli isipokuwa amewatendea haki stahiki mbele ya Muumba.
Je ni uongo kuwa Marehemu alikuwa na Mke zaidi ya Mmoja?
Acheni maisha ya kinafiki. Ustaarabu gani ? Familia ipi imesononeka ile iyojichukulia hadhi ya kuwa watoto halali wa marehemu na wengine kuonekana vijakazi?
Kwa mtazamo wangu sidhani kama issue ni kweli au siyo kweli!!?

Issue hapa inayojadiliwa yeye alisema kama nani wakati familia iliamua kusema tofauti??
 
Kosa ni la marehemu maana ilitakiwa haya mambo ayaweke vizuri toka enzi za uhai wake.
 
wacha unafiki wewe,
uko tayari kwenye kifo cha baba yako au mama yake mtu aje ashike mic nakutangaza madhambi ya marehemu??
YALE NDIO MAISHA ALIYOAMUA MAREHEMU KUISHI WAKE 4 NA WATOTO 20, Hata marehemu huko aliko ana amaani wake zake 4 n watoto wake 20 wote kutambulika na kuheshimika...DHAMBI NA THAWABU NI KATI YA MUNGU NA MJA WAKE NA SIO NYIE BINADAMU...Sisi binadamu tunatakiwa kujifunza kupitita vifo vya wenzetu.
 
ukifa matendo yako yanaambatana na wewe.tuishi maisha memabwapandwa
 
Kila jambo lina protocal zake. Kwenye msiba kama baada ya mazishi huwa kuna kikao cha familia au ukoo mambo yote huwa yanaenda jadiliwa huko. Mkulu kama alikuwa anaitaji kutetea wale wake na watoto wengine angeipeleka hiyo hoja kule. Kuwa mkuu haiondoi uhalali wa kufuata hilo.

Shida yako mtoa hoja unataka kuwa mchambuz huku umejawah na mihemko na hasira. Uandishi na uchambuz hautaki hayo mambo. Na mwisho unamaliza kwa kutukana. Sasa watu wajadili hayo matusi au hoja ya msingi. Yan ukiangalia kwa umakin unagundua ule msafara wa nyumbu uliousema mwisho nawe inaonekana upo huko ndani

Ukitaka kuchambua anza na hoja maliza na hoja
 
sijui kama ilikuwa sehemu sahihi japo naamini ndoa za namna ile huwa zinamikwaruzano sana hasa baba kama hajaweka mambo sawa
BABA HAKUWEKA MAMBO SAWA, Muheshimiwa Rais, kama Mwanaume au baba amesaidia hilo kwa vitendo, WATOTO WAHEHESHIMIANE NA KUONANA SAWA, WAKE NAO WAHESHIMIANE VILE VILE, Alichosema Rais ndo ukweli, ambao haumbingiki, na UKWELI UNAUMA,.....Vaeni viatu vya wale wanawake 3 na wale watoto 15 ndo mje mumlaumu Rais kwa alichokifanya...PALE BUSARA IMETUMIKA.
 
Kumbe msiba sio faragha tena, kumbe msiba sio suala la familia tena, kumbe nguzo na misingi ya ndoa za kikristo sio muhimu tena, kumbe msemaji wa familia sio muhimu tena kuliko kile kinachoazagaa mitaani, na muhimu zaidi; kumbe mtu mwenye cheo cha juu zaidi tulimpa pia madaraka ya kuyaongea yale yanayogusa maisha binafsi?

Wasomi wanatofautisha personal life na public life ya mtu. Personal life ya mtu haiongelewi publicly unless mwongeaji amepata concent ya mtu anayeongelewa. Ukiachia hayo personal life inaficha mambo mengi kadhalika mambo mengi yanakuwa sensored kabla hayajaenda hadharani. Katika mazingira ya kifo familia ndio inayofanya sensoring ya mambo ambayo marehemu kayafanya na kukubaliana yapi yasemwe na kwa tune na busara gani. Manake hapa FAMILIA KWANZA SIASA BAADAYE.

Sasa viongozi wetu ambao tunaamini wamesoma na kujuwa na kuheshimu personal life, wa mtu na mfu, na kuheshimu uamuzi wa wafiwa walitakiwa wakemee kwa nguvu zote pale kiongozi moja anapovaa joho la familia ya mfu kwa kutumia cheo. Viongozi hawa walitakiwa wawe wakwanza kujuwa kwamba kutaja idadi ndogo ya wake na watoto wa marehemu kamwe haina maana kutowatambuwa watoto wengine na kushirikiana nao. Kama kiongozi ameguswa na ugomvi miongoni mwa watoto na wake bado ana nguvu kubwa sana na uwezo mkubwa wa kuwasaidia watoto na wake wote anaoamini ni wake na watoto halali wa marehemu. Bado angefanya utafiti akapata idadi kamili ya watoto na wake (kuliko alivyokuwa anabahatisha idadi kwenye hotuba, hakutakiwa kubahatisha kwa uwezo alionao).

Lazima kuwe na jitihada ya kuheshimu personal life and individual liberty. Tuwakemee viongozi wetu wanapoacha kutekeleza majukumu ya kitaifa na badala yake kuingilia kwa undani individual liberty na kujikuta tumegawanyika kimtazamo na fikra kwenye mambo ambayo tuliungana tangu uhuru.
 
hivi mnafikri magufuli pale alisimama kama nan?
1. Mchungaji
2.Rafiki
3.Serikali
ukijiua alisimama kama nan hapo utaelwa kwa maana karimjee haikua misa ilikua ni shuhul ya kiserikal ya kumuaga marehemu
Mihimili ya mahakama na wa bunge iliwakilishwa na nani.

Mbona kwa Aboud Jumbe walitii bila shuruti maelekezo ya familia.

Nyie ndio mnajifanya usalama wa taifa na kutishia watu mabastora!!!!
 
wacha unafiki wewe,
uko tayari kwenye kifo cha baba yako au mama yake mtu aje ashike mic nakutangaza madhambi ya marehemu??
Mzee mchunguzi leo naomba tupishane ktk hili
1. Koa wanawake wengi hasa kwetu ujaluoni si dhambi wala kosa na si aibu kutangaza jambo hilo hasa msibani. Lakini pia hawa waliokuwa wanaficha jambo hili walikuwa na maana gani ikiwa marehemu alilionea ufahari na kulihalalisha ?!.
2. Rais ameona kutakuwa na migogoro baada ya msiba na kujaribu kuweka jambo hilo wazi mapema ili kuzuia mafisi wenye nia mbaya hasa kwenye mirathi

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom