Hilo la kanisani hakuna aliyelidhibitisha zaidi ya maneno ya walioungana kutokana na dini zao(cuf na ccm) ila kampeni misikitini lilikuwa wazi na halihitaji proof kwa kuwa spika za sauti zilikuwa zinasikika kila kona pale penye misikiti na la pili Lipumba mwenyewe kadhibitisha alipokuwa akihubiri siasa misikitini na video yake ipo hapa hapa jf.Mbona hili hulisemi?au nyie mnataka kuligeuza taifa hili kuwa Iraq?
Dr Slaa siyo fisadi bana! Mbona ilibidi waingize udini 2010? Na tena kuna wanaoamini uchaguzi haukuwa huru na wa haki!Mkuu,
Nikuulize swali haya mabalaa ya Chadema ya usimamizi mbovu wa pesa, kujiuzia magari mitumba kwa bei juu, ufisadi wa fedha za wafadhili wa ndani na nje? kujilipa posho badala ya mshahara vyote hivyo hivyo unaona ni sahihi? Au kwa vile ni padiri ndio unaona huruhusiwi kuuliza mambo anayoyafanya mtendaji mkuu wa chama chenu? Maana wafuasi wa chadema ni wafuasi wa utopian leadership. Binafsi sioni tofauti kati yake na EL au Rostam. Sema fursa zinazidiana kama anakubali kulipwa posho isiyokatwa kodi wala kuulizwa na wanachama atakubali kwenda kula mihogo ikulu.
Tusidanganyane bana fumbo mfumbie mjinga mwerevu hustukia dili.
Mkuu umejificha sana lakini imekuwa shida?Nyie mlikuwa mnapiga kampeni kanisa hadi kanisa JK akataliwe kwa bahati mbaya waislamu na wasiokuwa waislamu but wenye nia njema na taifa letu wakastukizia mpango wenu mchafu wa kulazimisha kumuingiza padiri wenu ikulu sasa mmekuja kivingine ati ni zamu ya wakristo utadhani dini ndio kigezo kikuu cha uongozi hamna lolote zaidi ya UDINI TU UNAOWASUMBUA.
Wewe na wengineo hamna lengine zaidi ya udini unaowasumbua tu tuachieni taifa letu tuishi kwa amani!!!
Anategema kura za wananchi baada ya kuteuliwa ama kuchaguliwa na chama chake kukiwakilisha kwenye uchaguzi mkuu!Kwani raisi huwa anapatikana kwa kuzingatia dini au wingi wa kura za wananchi? samahani lakin naomba kufahamishwa juu ya hilo wakuu
Nashindwa kukuelewa tena maana unavyosema ktk mada hii ni kama ungetaka Dr.Slaa achaguliwe ili aende Ikulu kusalisha (kutumia itikadi na sera ziwe za kidini kusisitiza ya imani yake maana ndio utamaduni wake). Na kama hukubalini na hili, kwa nini unataka dini itumike kumchagua rais ajaye ikiwa hukuyaona hayo kwa Dr.Slaa? Na kama hutaki rais atumie utamaduni wake wa kiimani kwa nini iwe sifa ya wewe unasisitiza kwa mada hii rais ajaye lazima awe Mkristu!Umesema "siasa ni mchezo mchafu, Slaa alikuwa Padri, ccm wakatumia hilo kwenye kampeni dhidi yake"
Nikakuuliza hukuona kuwa huo ulikuwa udini?Maana ulikuwa ukiipinga hoja ya GODLOVEME kwamba huo ulikuwa udini, wewe ukasema ni kwasababu ilitokea Slaa alikuwa padri ndo maana ccm waliweza kuitumia hiyo hoja!
Si unaona jinsi watanzania tulivyo?
Ndo nikashangazwa na hao ccm na wenye kuamini hivyo,, nikauliza tena anaenda Ikulu kusalisha?
Mods nyuzi kama hizi ni za kufutilia mbali bana, mambo gani haya tunataka viongozi bora , mambo ya udini udini ni upuuzi tu, Mods hata kama hamuzi kuifuta hii nyuzi ihamishieni jukwaa la dini humu haistahili kuwepo.
Mkuu hilo ni suali nililowauliza wale mlosema kuwa kwasababu alikuwa padri, basi alikuwa dissqualified!Nashindwa kukuelewa tena maana unavyosema ktk mada hii ni kama ungetaka Dr.Slaa achaguliwe ili aende Ikulu kusalisha (kutumia itikadi na sera ziwe za kidini kusisitiza ya imani yake maana ndio utamaduni wake). Na kama hukubalini na hili, kwa nini unataka dini itumike kumchagua rais ajaye ikiwa hukuyaona hayo kwa Dr.Slaa? Na kama hutaki rais atumie utamaduni wake wa kiimani kwa nini iwe sifa ya wewe unasisitiza kwa mada hii rais ajaye lazima awe Mkristu!
Sijakuelewa bado...
Wapagani huwa hawana shida kama hizo! Utakuwa mpagani feki wewe!
Mpagani namfahamu humu ni Kiranga! Wewe unazungumza kuharibu mjadala tu!
Nani alosema Dr.Slaa alikuwa disqualified kwa sababu ya Upadre wake? au nimesema CCM walitumia sifa zake kumshusha! yaani hizo sifa ziwe mapungufu yake na ndivyo siasa zinavyochezwa. Na sii mara zote propaganda hizi humshusha mtu wengine ndio huongeza wafuasi kama Dr.Slaa kwa kila sifa mbaya walompaka CCM ndio kwanza alizoa Umaarufu zaidi.Mkuu hilo ni suali nililowauliza wale mlosema kuwa kwasababu alikuwa padri, basi alikuwa dissqualified!
Pia katika mada hii, sijataja popote kuwa nataka fulani ama fulani ndo awe rais!Ni udadisi wangu tu uliopeleka kutoa maoni haya kutokana historia ya taifa letu!
Nikazi gatia kabisa utamaduni wetu ninaoamini umetusadia kuipreserve amani tuliyo nayo! Tena cha msingi kabisa, heading ya thread nimeweka kama suali tu!
Wenye wagombea wao, wamejitia upofu na kuanza kupanic! Sasa visi gio vikishaisha, watajidai hawaelewi.
Mkuu umejificha sana lakini imekuwa shida?
Walikuwa wakitaka kumuingiza padiri wao? Kumbe hayo ya kusema ufisadi ni kujificha nyuma ya udini!?Nani alikwambia anakwenda kuswalisha ikulu?
Ama hujui pia kuwa umeshaonyesha chuki za wazi kabisa za kidini halafu ndo unasema kusiwe na kupokezana?nimekuuliza endapo marais wote waliopita wangekuwa wakristo kungekalika?
acha utani bana.
Dr Slaa siyo fisadi bana! Mbona ilibidi waingize udini 2010? Na tena kuna wanaoamini uchaguzi haukuwa huru na wa haki!
Huo ufisadi wake ungekuwepo wasingekuwa na haja ya kutumia udini 2010!
Na kwa utaratibu huu unaouzungumzia, ccm inastahili kutoa mgombea kweli? Maana kuhusu ufisadi wa ccm sijui tuanzie wapi tuishie wapi?
lowassa ndiye zamu yake ni wakati wa mkristo wa kaskazini
Nyie mlikuwa mnapiga kampeni kanisa hadi kanisa JK akataliwe kwa bahati mbaya waislamu na wasiokuwa waislamu but wenye nia njema na taifa letu wakastukizia mpango wenu mchafu wa kulazimisha kumuingiza padiri wenu ikulu sasa mmekuja kivingine ati ni zamu ya wakristo utadhani dini ndio kigezo kikuu cha uongozi hamna lolote zaidi ya UDINI TU UNAOWASUMBUA.
Wewe na wengineo hamna lengine zaidi ya udini unaowasumbua tu tuachieni taifa letu tuishi kwa amani!!!