Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

Hii graph hapa chini ndio deni la taifa. Sasa kama watu wamelishwa maharage au korosho waje wapotoshe tu hapa ni upuuzi ambao umepitiliza. Tuache majungu na tujadili facts. Kama una facts zaidi ya hizi takwimu za BOT karibu.

View attachment 1267135

Actually unaona deni linapungua kidogo lipo sawa na mwishoni mwa mwaka 2018​
Mpumbavu Dua anachukua ugoro anaweka anadhani ni takwimu. Nenda kasome deni la Serikali kwenye kitabu cha Bajeti ya nchi 2020/19
 
Pesa za uhalifu mkubwa kama huo halafu huwezi kumfunga mtu miaka mitatu??? Nani mwenye mamlaka hayo ya kusema kuwa hizo ni pesa za magendo au mwehu yeyote tu aliwa na madaraka basi akishasema mtu anawekwa ndani miaka lundo hata kama aliyesema hawezi kuthibitisha?

Umesahau moja ili kulinda hadhi na heshima ya malaika mkuu, awamu ijayo inabidi kulibeba shirika la ndege maana uwezekano wa kujiendesha ni almost hakuna na akiamua kuliacha lijifie utasikia makonda ooh sorry makufuli kafufua shirika la ndege wamekuja hawa wameliua
Capitano ulichoandika hapa ndicho CAG Kicheere amekiona
 
Kwa aliyosema Mbowe juzi namna TRA ilivyokomba fedha zake kwenye akaunti za benki akiwa rumande, nakubakiana na mtoa mada kwa alichokiandika miaka 2 nyuma
 
1. Makonda
2. Dotto James
3. Kalemani
4. Ole Sabaya
5. Chalamila
6. Kicheere
7. DPP

Hawa hamna namna watachezea kùta za Segerea kama Mramba na Yona
Kuna kaunabii fulani hapa, kasoro Kalemani na Kicheere
 
Mungu hawezi kuumba watu wawili wendawazimu watutawale kwa kupokezana. Bado anaipenda nchi yetu Tanzania atatupatia Rais msikivu, mwenye hekima na mwenye upeo/ uelewa.
Hongera Stuxnet kwa maono yako, ulisema Mungu "atatupatia Rais msikivu, mwenye hekima na mwenye upeo/uelewa"

Nadhani ni huyu Mama SSH
 
JPM kakata yale magendo yenu yote na sasa mmebaki mmepigwa bumbuwazi, mlifikiri Tanzania ni mali yenu. it will never happen hakuna tena pesa za kuwalalia walipa kodi wa nchi hii. Whether you like it or not. Nchi hii sasa tumepata chuma pale Magogoni mtakiona cha ntema kuni. Hii ni preamble tu subiri picha kamili.
Eti nchi hii tumepata chuma, kiko wapi sasa? Chuma kinakufa kwa kamasi za COVID19!
 
Picha kamili lini?
Ndio ufala wenyewe huo. Elimu inayofundishwa Tanzania ndio iliyokufikisha hapo wapumbavu kama wewe ndio mnalialia kama kuku kwa sababu kuku hata ukimpa gunia la chakula ataendelea kudonoa donoa kama vile hakuna chakula. Ungekuwa na elimu ya kutosha kama unavyosema ingekuwezesha kula hata mlo moja wa uhakika, usingekuwa unabwata kama kima. JPM kakata yale magendo yenu yote na sasa mmebaki mmepigwa bumbuwazi, mlifikiri Tanzania ni mali yenu. it will never happen hakuna tena pesa za kuwalalia walipa kodi wa nchi hii. Whether you like it or not. Nchi hii sasa tumepata chuma pale Magogoni mtakiona cha ntema kuni. Hii ni preamble tu subiri picha kamili.
 
Ila Mwendazake ni katika marehemu wenyewe kutajwa sana Tanzania, yani akitoka Nyerere anafuata yeye haipiti siku bila kutajwa tajwa tofauti na wengine mfano kama Maalim seif pamoja na yote ila watu wamemsahau na wala hata hawajali kifo kwamba nae alikufa kwa corona.
 
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;

1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni

2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.

3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.

4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.

Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Stuxnet, uliyoyatabiri November 2019 kuhusu Rais ajaye kulipa madeni tayari yanatokea.

DPP jana amesema kuhusu waliobambikizwa kesi
 
baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.

hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.

ipi
KARLO MWILAPWA, njoo usome ushuzi wako tena kwenye post hii. Ulisema kuwa walio mahabusu hawatatoka. James Rugemalira na wengine wengi wako nje
 
Huo utawala ndio huu au tuusubiri?
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;

1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni

2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.

3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.

4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.

Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
 
Huo utawala ndio huu au tuusubiri?
Ndiyo huu nadhani unaona Rais SSH anavyohangaika. Hata hizo tozo alizoanzisha ni kutokana na kwamba fedha za kuendesha Nchi hakuna.

Lakini kama unaona credit kwenye thread yangu ya November 2019, nipe tu nao ni unabii
 
baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.

hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.

chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara
KARLO MWILAPWA njoo usome pumba zako hapa
 
Back
Top Bottom