Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

ao uliowataja wamefanya kosaa gan? kwani kulipa maden?? ni shida rudi kwenye shule ya time value of money and risk management
1. Makonda
2. Dotto James
3. Kalemani
4. Ole Sabaya
5. Chalamila
6. Kicheere
7. DPP

Hawa hamna namna watachezea kùta za Segerea kama Mramba na Yona
 
Kupiga dili ? Mbona hamna mtu anamzidi Jiwe kupiga dili!! Miaka 4 katengeneza Tsh 2.4 Trilion kupitia Uwanja wa Chato, Boeing na Stigler!!
Msijifanye hamumjui mtu aliyekubuhu kupiga dili wakati inajulikana Jiwe akiwa Waziri katengeneza fedha kupitia Kivuko cha Bagamoyo na Nyumba za Serikali.
thibitisha 2.4 dili kivipi?? watanzania ni watu wa ajabu sana
 
“Tunatumia fedha yetu wenyewe kujenga miradi ya kimkakati. Tuna hela nyingi sana zilizokuwa zikiliwa na mafisadi, watumishi hewa na matumizi ya ovyo ovyo kama kulipana posho zisizoeleweka, safari zisizo na umuhimu, n.k.”

Sasa tuseme hii kauli ilikuwa ni uongo tu? Leo tunakopa hadi benki za biashara kujenga SGR na Stiegler’s dam?

Bahati mbaya (navyosikia) hakuna oversight kwenye manunuzi makubwa wala audit ya mwenendo wa fedha. Na hiyo, kama ni kweli, is a huge tragedy katika usimamizi wa rasilimali za umma. Maana yake ni pesa inaliwa kweli kweli. Transparency is everything in public expenditure.
 
thibitisha 2.4 dili kivipi?? watanzania ni watu wa ajabu sana
Watanzania muwe mnasoma otherwise mtaendelea kupitwa maendeleo na nchi zingine za Afrika.

Unataka mimi nithibitishe wakati CAG reports za 2016/17 na 2017/18 ndiyo zimasema hivyo
 
Umeumbuka kamanda!
mnasambaza uzushi data hamna.
Duh! Tunaimis CHADEMA ya enzi za Dr.
Ndiyo maana nakuita mpumbavu kwa vile kila mkosoaji mnadhani ni M CHADEMA. Kwa taarifa yako mimi ni CCM na kadi yangu ni ya mwaka 1981.
 
Bombardier hiyo imekamatwa kabla thread haijamaliza wiki
 
Attachments

  • Screenshot_20191123-103010_Twitter.jpg
    Screenshot_20191123-103010_Twitter.jpg
    84.9 KB · Views: 2
baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.

hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.

chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara
Umesema neno mkuu... Serikali inatimiza wajibu wake kwa kukata kodi na izo izo kodi ndo zinaendesha miradi yetu na kama mtu anahatia lazima sheria ifanye kazi na wale wenye kudai naamini ipo siku Mungu atasikia kilio chao na watalipwa tu
 
Sorry nigger, I don't know even how I quoted such a post from a low minded person like you. I bet your life is so much full of stress to the extent that you either have lost control of yourself or no more hope, vision, or direction. I feel pity for you nigger. But I believe you will come through, that is life men
Wewe ni mlemavu wa akili kama walemavu wengine, hatuna dawa yake. Endeleeni kutetea utawala dhalumu kwa vile mnalipwa kwa kila mnachopost humu.
 
Sorry nigger, I don't know even how I quoted such a post from a low minded person like you. I bet your life is so much full of stress to the extent that you either have lost control of yourself or no more hope, vision, or direction. I feel pity for you nigger. But I believe you will come through, that is life men

Uwe na huruma, that is too harsh. Nafahamu Nigger wanatumia sana USA kwa Afrika ni matusi.
 
Ndiyo maana nakuita mpumbavu kwa vile kila mkosoaji mnadhani ni M CHADEMA. Kwa taarifa yako mimi ni CCM na kadi yangu ni ya mwaka 1981.
Kwa hiyo MaCCM mnatoa tuhuma bila data?
Na wewe ni wale mliominywa kwenye madili yenu ya kupandisha Twiga wetu kwenye ndege nini?
 
Hoja hupingwa kwa hoja; siyo matusi na kejeli. Wala hoja haipigwi rungu. Ethiopia wameanza kuwalipa fidia watu waliodhulumiwa kisiasa na utawala uliopita ikiwa ni pamoja waliofungwa kwa kesi za kisiasa! Pamoja na mambo mengine, nchi yetu imeshatumbukia kwenye siasa za halaiki (populism). Itahitaji kiongozi mwenye upeo mkubwa sana kama Nyerere au basi Mkapa kuweza kuturudisha katika mstari na kuachana na siasa nyepesi. Vinginevyo mwelekeo ni kuendeleza hiyo mbegu ya siasa za halaiki kiasi kwamba kiongozi atakayefuata atataka kupata umaarufu kwa kusahihisha makosa ya mtangulizi wake. Na kwa hakika ya kusahihisha ni mengi sana.
Nimekuelewa vizuri Mkuu. Nchi limeharibika sana
 
Sorry nigger, I don't know even how I quoted such a post from a low minded person like you. I bet your life is so much full of stress to the extent that you either have lost control of yourself or no more hope, vision, or direction. I feel pity for you nigger. But I believe you will come through, that is life men
Yaonekana huyu Daddo akili yake ni ya utumwa. Kwa nini umuite mtoa mada "nigger". Huu siyo utamaduni wetu
 
Ajae atapata sana shida kuirudisha nchi kwenye mstari angalau ifikie alipoachia jk.Wengi wamekaa kimya wanasubiria awamu ijayo ndio waanze madai yao mfano waliobomolewa nyumba zao,waliofukuzwa kazi,walioporwa fedha zao kwenye bureau,waliobambikwa na wakaamua kununua uhuru wao,nk
 
Hoja hupingwa kwa hoja; siyo matusi na kejeli. Wala hoja haipigwi rungu. Ethiopia wameanza kuwalipa fidia watu waliodhulumiwa kisiasa na utawala uliopita ikiwa ni pamoja waliofungwa kwa kesi za kisiasa! Pamoja na mambo mengine, nchi yetu imeshatumbukia kwenye siasa za halaiki (populism). Itahitaji kiongozi mwenye upeo mkubwa sana kama Nyerere au basi Mkapa kuweza kuturudisha katika mstari na kuachana na siasa nyepesi. Vinginevyo mwelekeo ni kuendeleza hiyo mbegu ya siasa za halaiki kiasi kwamba kiongozi atakayefuata atataka kupata umaarufu kwa kusahihisha makosa ya mtangulizi wake. Na kwa hakika ya kusahihisha ni mengi sana.
Wazungu wanaita "vision"
 
46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom