Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 9,737
- 10,817
Inafikirisha sana🤔Si ajabu na yeye akakopa zaidi.Who knows
Inafikirisha sana🤔Si ajabu na yeye akakopa zaidi.Who knows
Leo tarehe 5/04/2022 mahakama Kuu ya Ardhi saa 3.00 asubuhi kesi namba 56/2022 imetajwa kwa mara ya kwanza. Kesi imefunguliwa na Mtumwa Jumanne na wenzake mbele ya jaji Arufani kupinga hatua ya Serikali kubomoa nyumba zao wakati kulikuwa na zuio la mahakama.Kuna watu walidhulumiwa Awamu ya 1 wakati wa zoezi la wahujumu uchumi lililo endeshwa na Edward Sokoine mwaka 1982 kama yule Karasinga wa Bukoba kwa jina Kugis.
Walifungua kesi wakaja kushinda na kufidiwa wakati wa AH Mwinyi. Sasa hivi watoto wa Mzee Kugis ndiyo ma transporter wakubwa wa mkoa wa Lagers kwa jina la Kugis Transport.
Tunza document, haki haipotei bali hucheleweshwa tu
Yule Mzee wa Chato alikuwa ni zaidi ya shetani..naona hata Ibilisi akasome
Ebu rudia kusoma Leo, uone ulivyo kiazi.Umeandika ugoro mtupu
Uongo na uzandiki
Leta mrejesho mkuu, huu ni unabii je umetimia?Kuna mtu kule Mpanda alishinda kesi ya ardhi dhidi ya wananchi waliovamia shamba lake lakini amri ilitolewa na JPM kuwa wananchi waachwe. Naamini anatunza nyaraka zake na wale wananchi wajiandaye kisaikolojia. Huyu naye atalipwa fedha kibao hapo mbeleni
Mkuu Kadhi Mkuu 1 hawezi kujibu huyu Kawe Alumni kwa kuwa post yake ya mwisho ilikuwa Novemba 2020. Awwza kuwa amekufa au amebadili ID
We jamaa1. Makonda
2. Dotto James
3. Kalemani
4. Ole Sabaya
5. Chalamila
6. Kicheere
7. DPP
Hawa hamna namna watachezea kĂąta za Segerea kama Mramba na Yona
Tayari kuna award ya mwekezaji Mswidi.
4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.
Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Na hapa hakuna mjadala ilipwe hela au ndege ipigwe mnada.Tayari kuna award ya mwekezaji Mswidi
Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.
Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya kuzalisha sukari kwa ajili ya kuuza nje ya nchi na ethanol ili kuzalishia umeme.
Mradi huo ulipata pingamizi kutoka kwa wanaharakati wa ndani wakiwawakilisha wakulima 1,300 ambao bado walikuwa wakitumia ardhi hiyo. Pia muwekezaji huyo aliilaumu Serikali ya Tanzania kushindwa kutengeneza kanuni za sekta ya sukari na kufanya ardhi hiyo kuwa na vikwazo.
Serikali mwaka 2016 ilifuta hati hiyo. Aprili, 2022 Mahakama iliipa ushindi wa tuzo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 165 Kampuni ya EcoDevelopment. June 16, ikiwa ni siku moja baada ya ICSID kupokea maombi ya Tanzania kubatilisha hukumu hiyo, Ecodevelopment ilipata ruhusa (leave) kutoka kwenye mahakama ya wilaya ya The Hague kutimiza na maamuzi ya upande mmoja kutoka kwa jaji wa Limburg yaliyotoa kibali cha kuishikilia ndege.
Ndege ya Airbus A220 ilikuwa tayari imenyimwa ruhusa ya kupaa tangu Januari kwenye kiwanja cha ndege cha Maastricht

Ukisikia umuhimu wa kuwa na Business Plan kabla huja implement project yeyote ndiyo kwenye maeneo kama haya.
Kama ingakuwapo basi chapter ya Risk Framework ingeyadadavua yote haya na kuonyesha namna ya kutoka kwenye migogoro kama hii.
Tayari hukoKuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;
1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni
2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.
3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.
4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.
Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Majigambo yote yako wapi?Umeandika ugoro mtupu
Uongo na uzandiki
Haya mambo ndiyo yamesababisha ndege ya atcl imetekwa.Kuna mtu kule Mpanda alishinda kesi ya ardhi dhidi ya wananchi waliovamia shamba lake lakini amri ilitolewa na JPM kuwa wananchi waachwe. Naamini anatunza nyaraka zake na wale wananchi wajiandaye kisaikolojia. Huyu naye atalipwa fedha kibao hapo mbeleni
Sasa hivi unatumia ID gani?Umeandika ugoro mtupu
Uongo na uzandiki
Huyu kada wa Magufuli Kawe Alumni hajatokea JF kuanzia Novemba 2020. Sijui alifariki auMajigambo yote yako wapi?
View attachment 2432868
Baada ya msiba alibadili IDHuyu kada wa Magufuli Kawe Alumni hajatokea JF kuanzia Novemba 2020. Sijui alifariki au
Labda alijinyongaHuyu kada wa Magufuli Kawe Alumni hajatokea JF kuanzia Novemba 2020. Sijui alifariki au