kutoka lazima japo hata kwa kifo. na kama kuna mtu alitakiwa kutokutoka ni Kambarage, siyo huyu.
Kambarage alisoma upepo akaona alinde heshima
kutoka lazima japo hata kwa kifo. na kama kuna mtu alitakiwa kutokutoka ni Kambarage, siyo huyu.
Una matatizo kwenye kichwa chako mimi nilikuwa na maana kuuliza ,hivi unajio nashujaa kwa kuwa troll?Weka ushahidi wacha porojo?
Hata ukionyeshwa kwa kuwekewa picha na vielelezo vya yaliyofanyika utapinga tu kwani ndio hulka yako.Amefanikiwa kufanya kitu gani?
Una matatizo kwenye kichwa chako mimi nilikuwa na maana kuuliza ,hivi unajio nashujaa kwa kuwa troll?
ok thanks nimekuelewaKama naku-troll wewe samahani.
BTW the reply was wrong, not meant for your post, apologies.
Ongea vitu vya maana achana na kuongea vitu vya kusadikika. Dodoma bunge lilikwisha na Anna Makinda 2015, baada ya hapo ni kikundi cha CCM na wachache wanaojielewaKwa hiyo wewe kasuku huku JF ndio una akili nyingi kuliko wabunge wote pale Idodomia. JF kuna kazi kweli kweli, chacha njomba vipi wewe mwerevu unashinda na njaa huku JF? Maana huandiki bure humu JF kuna kitu ambacho unahitaji kibadilike au umekerekwa nacho ambacho kinafanywa na Serikali, kulikoni?
Masikini unaroho mbaya sana wewe. Hivi kukiwa na maduka ya kubadirisha fedha kila mtaa wewe unawashwa washwa nini? Unajua ni kiasi gani watu wamepoteze hela na ajira kutokana na maamuzi ya bwana wenu jiwe.Hawa watu wanaropoka tu wao kila kitu kupinga
Ilifika hatua pale posta kila uchochoro kuna duka la kubadilisha fedha
Huyo farasi Ni mke wa jiweNilikuwa nacheki kama kuna bwege mmoja atacomment ningeshangaa sana asingecomment naona jiwe kamlegeza sana
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;
1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni
2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.
3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.
4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.
Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Umeshamtambua sioHuyo farasi Ni mke wa jiwe
kunywa juisi ,goodKuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;
1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni
2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.
3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.
4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.
Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Zamani enzi Dr alipokuwepo chamani - tuhuma kama hizi tungeambiwa account number anakoziweka na account number ya zilikotoka hizo Trilioni, tarehe na muda zilipoweka na kama kuna kuna muda zilitolewa tungeambiwa na tarehe zilipotolewa na nani alizitoa kutoka Tawi gani la Benki.Kupiga dili ? Mbona hamna mtu anamzidi Jiwe kupiga dili!! Miaka 4 katengeneza Tsh 2.4 Trilion kupitia Uwanja wa Chato, Boeing na Stigler!!
Msijifanye hamumjui mtu aliyekubuhu kupiga dili wakati inajulikana Jiwe akiwa Waziri katengeneza fedha kupitia Kivuko cha Bagamoyo na Nyumba za Serikali.
Huo ndiyo mwisho wako wa kufikiri? Kweli ukisikia akili ambazo hazijai kisoda ndiyo kama wewe!!Zamani enzi Dr alipokuwepo chamani - tuhuma kama hizi tungeambiwa account number anakoziweka na account number ya zilikotoka hizo Trilioni, tarehe na muda zilipoweka na kama kuna kuna muda zilitolewa tungeambiwa na tarehe zilipotolewa na nani alizitoa kutoka Tawi gani la Benki.
Tangu chama kinunuliwe na maCCM 2015, Upinzani umebaki kuhisihisi tu.
Shuka data kamanda -acha storiesHuo ndiyo mwisho wako wa kufikiri? Kweli ukisikia akili ambazo hazijai kisoda ndiyo kama wewe!!
Kwa hiyo wewe kasuku huku JF ndio una akili nyingi kuliko wabunge wote pale Idodomia. JF kuna kazi kweli kweli, chacha njomba vipi wewe mwerevu unashinda na njaa huku JF? Maana huandiki bure humu JF kuna kitu ambacho unahitaji kibadilike au umekerekwa nacho ambacho kinafanywa na Serikali, kulikoni?
Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije ukawa sawa naye (Mithali 26:4)Shuka data kamanda -acha stories
Taja hizo trilioni kaziweka wapi basi tusaidiane kuzidai.
Mbona Dr Slaa alikuwa akitujuza hadi Benki zilipo?
Mamburula mnakwama kwapi?
hakuna data ni manenomaneno tu!