Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

Kama ambavyo na yeye anatakiwa alipe madeni ya yule mkulima anaeidai serikali tangu 80s. Chuki ni kitu kibaya sana. Mwinyi kalipa madeni,Mkapa kalipa madeni hadi yakafutwa,Jk kalipa madeni,JPM analipa madeni. Sasa kibaya au cha ajabu nini Rais ajaye akilipa madeni?
 
baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.

hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.

chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara

Mradi gani huo unao utegema kuanza kurudisha hela/
maana mpaka sasa deni halilipiki.
 
Hata Mwl. Nyerere alikopa. Suala mkopo unalenga kufanya jambo gani kwa manufaa ya Watanzania.

Mimi nadhani tuweni positive kwa kazi anazofanya mkuu wa kaya.

Kuna eneo moja sioni kama limetiliwa mkazo hasa kukuza agro-processing kwa ajili ya soko la nje.

AfDB wako very positive kukopesha kwa ajili ya miradi inayokuza thamani kwenye malighafi za kilimo.
Mathalani soko la China kwanini hatuna walau mkakati kuuza nyama maana sisi tunaongoza kwa wingi wa mifugo Afrika Mashariki na tukiwa wa pili Africa.

Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na wizara ya Kilimo na wizara ya biashara na wizara ya mambo ta nje wako tayari tushirikiane kulifikia siko la China kwa ku-join forces na wakekezaji wa Kitanzania?
Tungefanya hivi tungekuza uchumi exponentially kwa kupanua tax base na kuongeza forex pia
 
Hayo ya kilimo hawayataki kwa kuwa siyo rahisi kupata 10% commission. Commission zinapatikana kwenye miradi ya ujenzi na kununua ndege ndiyo maana Jiwe anapenda miradi hiyo.

Ni upigaji tu hakuna cha maendeleo
 
Madeni yawe yenye tija, siyo tunakopa mihela tukajenge stiglers kumbe watu wameweka cha juu (commission)
 
Hii ndyo sababu inayoweza mfanya magufuli asiondoke madarakani. Yani madudu ni meng na yakiwekwa wazi anaweza kufungwa baada ya muda wake.

1. 1.5 trilion.
2. Upoteaji wa bensanane na waandishi wa hbari.
3. Pigo la lisu.
4. Utekwaji unaofanya na wasiojulikana.

Ukweli wa hya mambo yanaweza julikana punde tu akitoka madarakan.
 
Cha muhimu ahakikishe jiwe na mafurushi yake yanatapika pesa zooooooteee walizokwiba
 
Hii ndyo sababu inayoweza mfanya magufuli asiondoke madarakani. Yani madudu ni meng na yakiwekwa wazi anaweza kufungwa baada ya muda wake.

1. 1.5 trilion.
2. Upoteaji wa bensanane na waandishi wa hbari.
3. Pigo la lisu.
4. Utekwaji unaofanya na wasiojulikana.

Ukweli wa hya mambo yanaweza julikana punde tu akitoka madarakan.
Ongeza na kuigeuza Chato kuwa kama Gbadolite ya Mobutu Seseseko. Kweli unajenga kiwanja cha ndege chenye runway ya kimataifa, je hiyo ni akili au matope?
 
Hii graph hapa chini ndio deni la taifa. Sasa kama watu wamelishwa maharage au korosho waje wapotoshe tu hapa ni upuuzi ambao umepitiliza. Tuache majungu na tujadili facts. Kama una facts zaidi ya hizi takwimu za BOT karibu.

1574198690938.png

Actually unaona deni linapungua kidogo lipo sawa na mwishoni mwa mwaka 2018​
 
Mungu hawezi kuumba watu wawili wendawazimu watutawale kwa kupokezana. Bado anaipenda nchi yetu Tanzania atatupatia Rais msikivu, mwenye hekima na mwenye upeo/ uelewa.
Sidhani kama huwa tunapewa na Mungu bali kuna kukiundi huwa kinachagua
 
Hayo ya kilimo hawayataki kwa kuwa siyo rahisi kupata 10% commission. Commission zinapatikana kwenye miradi ya ujenzi na kununua ndege ndiyo maana Jiwe anapenda miradi hiyo.

Ni upigaji tu hakuna cha maendeleo
Ununuzi wa Ndege kwa cash kuna 10% zao mle ni mradi wa kifisadi ndiyo maana wamemtoa CAG kafara
 
Ongeza na kuigeuza Chato kuwa kama Gbadolite ya Mobutu Seseseko. Kweli unajenga kiwanja cha ndege chenye runway ya kimataifa, je hiyo ni akili au matope?
Uwanja wa Ndege chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka
 
Mwaka 2026 akiingia Rais mpya Doto na kikundi chake wajiandae kuelekea segerea na keko Ukonga Butimba
 
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;

1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni

2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.

3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.

4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.

Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Raisi ajae ni makonda jpm part 2
 
Itahitaji vipindi vya maraisi wawili kumaliza hayo madeni, lakini nahisi hata kama hajamaliza uongozi, ataweka rehani moja ya bandari, ya dar au tanga
 
Back
Top Bottom