Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

Kwenye upande wa demokrasia raisi ajaye ana kimbembe kurudisha mambo sawa
 
Yalifunguliwa kwa kuhonga watumishi wasio waaminfu awamu iliyopita

Akili nyingine! Kwa hiyo hawakufuata sheria? Mbona sasa majuzi BOT ilirekebisha kanuni za uendeshaji hayo maduka? Lengo si kuhalalisha maamuzi ambayo yalishafanyika kinyume cha sheria?
 
Takwimu unazileta mwenyewe ila huwezi kuzi interpret. Very sad, sijui Tanzania mnafundishwa elimu gani. Macho tu yanaonyesha graph ikiwa inapanda kwa slope kali kuanzia 2016 hadi 2018, ila kwenye 2019 kuna fluctuation kwenye quarters ambayo uki sum mwisho wa mwaka itaendelea kuonekana inapanda tu.
Ndio ufala wenyewe huo. Elimu inayofundishwa Tanzania ndio iliyokufikisha hapo wapumbavu kama wewe ndio mnalialia kama kuku kwa sababu kuku hata ukimpa gunia la chakula ataendelea kudonoa donoa kama vile hakuna chakula. Ungekuwa na elimu ya kutosha kama unavyosema ingekuwezesha kula hata mlo moja wa uhakika, usingekuwa unabwata kama kima. JPM kakata yale magendo yenu yote na sasa mmebaki mmepigwa bumbuwazi, mlifikiri Tanzania ni mali yenu. it will never happen hakuna tena pesa za kuwalalia walipa kodi wa nchi hii. Whether you like it or not. Nchi hii sasa tumepata chuma pale Magogoni mtakiona cha ntema kuni. Hii ni preamble tu subiri picha kamili.
 
Nilikimbilia kusoma uzi huu ili tu kuona aina ya madeni ambayo nchi hii itatakiwa kuyalipa muda siyo mrefu. Kweli kabisa, ni pamoja na watu wanaolia kuwa wamefunguliwa kesi za kuhujumu uchumi, ukwepaji kodi na utakatishaji fedha lakini mashauri Yao hayakuamuliwa kwa utaratibu wa kawaida. Badala yake, kwa sababu kesi hizo hazina dhamana na upelelezi haukamiliki wengi wa watu hawa wamelazimika kukubali kulipa fedha nyingi kununua uhuru wao. Njia pekee ya nchi ya Nyerere kutubu hii dhambi mbaya ni kufanya uchunguzi wa kina na kulipa fedha zozote zitakazobainika kudhulumiwa.

Swala la plea bargain lipo kisheria tena lilitolewa kwa ufananuzi na msemaji wa Serikali hapa chini ........ vile vile swala la madeni etc. Watanzania tuache majungu yasiyo na tija. Hivi vihujumu uchumi vilivyokuwa vinaitafuna nchi yetu mbinu zake zimepitwa na wakati.

​
 
Hoja hupingwa kwa hoja; siyo matusi na kejeli. Wala hoja haipigwi rungu. Ethiopia wameanza kuwalipa fidia watu waliodhulumiwa kisiasa na utawala uliopita ikiwa ni pamoja waliofungwa kwa kesi za kisiasa! Pamoja na mambo mengine, nchi yetu imeshatumbukia kwenye siasa za halaiki (populism). Itahitaji kiongozi mwenye upeo mkubwa sana kama Nyerere au basi Mkapa kuweza kuturudisha katika mstari na kuachana na siasa nyepesi. Vinginevyo mwelekeo ni kuendeleza hiyo mbegu ya siasa za halaiki kiasi kwamba kiongozi atakayefuata atataka kupata umaarufu kwa kusahihisha makosa ya mtangulizi wake. Na kwa hakika ya kusahihisha ni mengi sana.

Very very true
 
Naam; na kwa jinsi hii Mungu aliipenda nchi yetu hata akamuinua JPM akiwa na kusudio lake. JPM ni mpango wa Mungu wenye maana kubwa sana. Mzee Mkapa amegusia sana kwenye kitabu chake. Kuna vitu vingi sana tulichukulia for granted kuwa vitakuwepo tu. Kumbe siyo kweli. Sasa ndiyo tumeona.
Huyu alikuja kwa mpango wa shetani. Mungu asingeweza kutuletea jinamizi kama hili!
 
Ndio ufala wenyewe huo. Elimu inayofundishwa Tanzania ndio iliyokufikisha hapo wapumbavu kama wewe ndio mnalialia kama kuku kwa sababu kuku hata ukimpa gunia la chakula ataendelea kudonoa donoa kama vile hakuna chakula. Ungekuwa na elimu ya kutosha kama unavyosema ingekuwezesha kula hata mlo moja wa uhakika, usingekuwa unabwata kama kima. JPM kakata yale magendo yenu yote na sasa mmebaki mmepigwa bumbuwazi, mlifikiri Tanzania ni mali yenu. it will never happen hakuna tena pesa za kuwalalia walipa kodi wa nchi hii. Whether you like it or not. Nchi hii sasa tumepata chuma pale Magogoni mtakiona cha ntema kuni. Hii ni preamble tu subiri picha kamili.
Wewe ndiye mpumbavu uliyeongelewa kwenye Mithali 26:4; Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye ...
 
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;

1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni

2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.

3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.

4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.

Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia

Hizi projects zinazofanyika lazima ziongeze uzalishaji. Hakuna short cut. Umeme wa kutosha ni chachu ya maendeleo ya viwanda
 
  • Thanks
Reactions: Dua

JPM bado tunae kwa miaka mingi sana usihofu mkuu,tunamuomba Mungu ampe uzima tu. Akikaa miaka kama 20 hivi tutamuomba atuachie chuma kingine kama yeye.
 
Jiwe Mwizi halafu muuaji
 
Wewe ndiye mpumbavu uliyeongelewa kwenye Mithali 26:4; Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye ...

Mkishindwa hoja mnaleta vituko. Safi sana JPM kaza hapo hapo hadi kieleweke.
 
baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.

hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.

chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara
Wafanyabiashara waliobambikwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, halafu serikali ikakae miaka zaidi ya mitatu bila kuthibitisha makosa yao kwanini wasilipwe, Hiyo miradi unayoizungumzia ya teni pasenti haifiki popote, anyway swali mahakama ya mafisadi imeshafunga wangapi?
 
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;

1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni

2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.

3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.

4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.

Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia

Hivi huwa watu kama nyie mnatumia kiungo gani kufikiri. So pathetic
 
Kuna watu mnajifanya miamba sana ila ukiguswa kidogo tu kwa ajili ya post kama hii unaanza kulialia na kutafuta huruma eti umeonewa, au huna uhuru wa kutoa maoni. Hiki ulichocomment unaweza kukiita maoni au matusi? Tumia brain wewe.
Mungu hawezi kuumba watu wawili wendawazimu watutawale kwa kupokezana. Bado anaipenda nchi yetu Tanzania atatupatia Rais msikivu, mwenye hekima na mwenye upeo/ uelewa.
 
Naam; na kwa jinsi hii Mungu aliipenda nchi yetu hata akamuinua JPM akiwa na kusudio lake. JPM ni mpango wa Mungu wenye maana kubwa sana. Mzee Mkapa amegusia sana kwenye kitabu chake. Kuna vitu vingi sana tulichukulia for granted kuwa vitakuwepo tu. Kumbe siyo kweli. Sasa ndiyo tumeona.
Jiwe ni mpango wa shetani kuharibu nchi yetu.
 
Back
Top Bottom