Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.

hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.

chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara
Anayefurahi kunyanganywa alichonacho ni nani huyo??
 
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;

1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni

2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.

3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.

4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.

Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Kwa hiyo Kwa akili yako tusijenge stigglers gorge , je wajua development issues zinakuwa finance by long term capital ambayo ni mikopo, hata hizo developed countries wana yo njia zao za kutekeleza hiyo miradi ikiwemo mikopo, hata hapa hapa tz ktk level ya familia kuna mambo tunafanya Kwa mikopo kama mortagage financing.
Na tunaweza kufa kabla ya kulipa hiyo mikopo sasa sijui watoto kama wewe utawalaumu wazazi Kwa kuwaachia deni.
Akili yako itakuwa inatatizo
 
Hii graph hapa chini ndio deni la taifa. Sasa kama watu wamelishwa maharage au korosho waje wapotoshe tu hapa ni upuuzi ambao umepitiliza. Tuache majungu na tujadili facts. Kama una facts zaidi ya hizi takwimu za BOT karibu.

View attachment 1267135

Actually unaona deni linapungua kidogo lipo sawa na mwishoni mwa mwaka 2018​
Takwimu unazileta mwenyewe ila huwezi kuzi interpret. Very sad, sijui Tanzania mnafundishwa elimu gani. Macho tu yanaonyesha graph ikiwa inapanda kwa slope kali kuanzia 2016 hadi 2018, ila kwenye 2019 kuna fluctuation kwenye quarters ambayo uki sum mwisho wa mwaka itaendelea kuonekana inapanda tu.
 
Itahitaji vipindi vya maraisi wawili kumaliza hayo madeni, lakini nahisi hata kama hajamaliza uongozi, ataweka rehani moja ya bandari, ya dar au tanga
Intelligent analysis
 
Kwa hiyo Kwa akili yako tusijenge stigglers gorge , je wajua development issues zinakuwa finance by long term capital ambayo ni mikopo, hata hizo developed countries wana yo njia zao za kutekeleza hiyo miradi ikiwemo mikopo, hata hapa hapa tz ktk level ya familia kuna mambo tunafanya Kwa mikopo kama mortagage financing.
Na tunaweza kufa kabla ya kulipa hiyo mikopo sasa sijui watoto kama wewe utawalaumu wazazi Kwa kuwaachia deni.
Akili yako itakuwa inatatizo
Tujenge kwa mipango ikiyofanyiwa tathmini na upembuzi yakinifu na siyo kwa matamko na matakwa ya mtu mmoja.
 
Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria

Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania

Tatizo hujui
Jirani yangu mmoja alidhulumiwa zaidi ya bilioni tano
 
Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria

Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania

Tatizo hujui
Kuna utaratibu wa kufungua duka la kuuza na kununua pesa. Hayafunguliwi kama vibanda vya chipsi. Lazima yapate Leseni, na mtoaji ni serikali. Sasa hao wenye hayo maduka walikuwa na kosa gani?
 
Pesa za uhalifu mkubwa kama huo halafu huwezi kumfunga mtu miaka mitatu??? Nani mwenye mamlaka hayo ya kusema kuwa hizo ni pesa za magendo au mwehu yeyote tu aliwa na madaraka basi akishasema mtu anawekwa ndani miaka lundo hata kama aliyesema hawezi kuthibitisha?
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;

1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni

2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.

3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.

4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.

Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Umesahau moja ili kulinda hadhi na heshima ya malaika mkuu, awamu ijayo inabidi kulibeba shirika la ndege maana uwezekano wa kujiendesha ni almost hakuna na akiamua kuliacha lijifie utasikia makonda ooh sorry makufuli kafufua shirika la ndege wamekuja hawa wameliua
 
Yalifunguliwa kwa kuhonga watumishi wasio waaminfu awamu iliyopita
Kuna utaratibu wa kufungua duka la kuuza na kununua pesa. Hayafunguliwi kama vibanda vya chipsi. Lazima yapate Leseni, na mtoaji ni serikali. Sasa hao wenye hayo maduka walikuwa na kosa gani?
 
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;

1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni

2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.

3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.

4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.

Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia

Nilikimbilia kusoma uzi huu ili tu kuona aina ya madeni ambayo nchi hii itatakiwa kuyalipa muda siyo mrefu. Kweli kabisa, ni pamoja na watu wanaolia kuwa wamefunguliwa kesi za kuhujumu uchumi, ukwepaji kodi na utakatishaji fedha lakini mashauri Yao hayakuamuliwa kwa utaratibu wa kawaida. Badala yake, kwa sababu kesi hizo hazina dhamana na upelelezi haukamiliki wengi wa watu hawa wamelazimika kukubali kulipa fedha nyingi kununua uhuru wao. Njia pekee ya nchi ya Nyerere kutubu hii dhambi mbaya ni kufanya uchunguzi wa kina na kulipa fedha zozote zitakazobainika kudhulumiwa.
 
Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria

Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania

Tatizo hujui
Kama walikuwa wanafanya kinyume cha sheria, wangeshitakiwa kama wahalifu wengine na sheria ichukue mkondo wake.
Unawapora mali zao kwa sheria ipi?
 
Umeandika ugoro mtupu

Uongo na uzandiki

Hoja hupingwa kwa hoja; siyo matusi na kejeli. Wala hoja haipigwi rungu. Ethiopia wameanza kuwalipa fidia watu waliodhulumiwa kisiasa na utawala uliopita ikiwa ni pamoja waliofungwa kwa kesi za kisiasa! Pamoja na mambo mengine, nchi yetu imeshatumbukia kwenye siasa za halaiki (populism). Itahitaji kiongozi mwenye upeo mkubwa sana kama Nyerere au basi Mkapa kuweza kuturudisha katika mstari na kuachana na siasa nyepesi. Vinginevyo mwelekeo ni kuendeleza hiyo mbegu ya siasa za halaiki kiasi kwamba kiongozi atakayefuata atataka kupata umaarufu kwa kusahihisha makosa ya mtangulizi wake. Na kwa hakika ya kusahihisha ni mengi sana.
 
Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria

Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania

Tatizo hujui

What are you talking about? Fedha za magendo na utakatishaji? Kwa hiyo dawa ni kuwapora? Hayo maduka hayakuwa na leseni? Kama hayakufuata sheria si wangefunguliwa mashtaka na kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria?
 
Mungu hawezi kuumba watu wawili wendawazimu watutawale kwa kupokezana. Bado anaipenda nchi yetu Tanzania atatupatia Rais msikivu, mwenye hekima na mwenye upeo/ uelewa.

Naam; na kwa jinsi hii Mungu aliipenda nchi yetu hata akamuinua JPM akiwa na kusudio lake. JPM ni mpango wa Mungu wenye maana kubwa sana. Mzee Mkapa amegusia sana kwenye kitabu chake. Kuna vitu vingi sana tulichukulia for granted kuwa vitakuwepo tu. Kumbe siyo kweli. Sasa ndiyo tumeona.
 
Back
Top Bottom