Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Imekuwa ni tabia zoelefu sasa kwa mheshimiwa Rais kutoa kauli tata na zilizo kinyume na sheria zetu na kusababisha Mawaziri kuhangaika kutetea kauli hizo kuwa "msipotoshe kauli ya Rais' kama vile walio muelewa ni hao Mawaziri pekee na wengine hawawezi kuelewa asemacho mkuu.
Mfano ni kauli iliyo leta utata bungeni Leo baada ya kuonekana inavunja sheria ya mazingira ni ile aliyotoa Kagera kuwa wanaolima mitoni wasibugudhiwe na akampa hela kijana mkulima.
Kama hadharani anatoa kauli tata hivi jee kwenye vikao vya baraza la Mawaziri na vile vya chama inakuwaje?
Na kwa nini wasikae kimya atetee mwenyewe kile asemacho? Kuliko kuwafanya waonekane bure kabisa kwa kurekebisha neno lililo zungumzwa wazi mpaka watoto wamemuelewa?