Rais aache kuwatesa Mawaziri kutafsiri kauli zake

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,745
71,103
Imekuwa ni tabia zoelefu sasa kwa mheshimiwa Rais kutoa kauli tata na zilizo kinyume na sheria zetu na kusababisha Mawaziri kuhangaika kutetea kauli hizo kuwa "msipotoshe kauli ya Rais' kama vile walio muelewa ni hao Mawaziri pekee na wengine hawawezi kuelewa asemacho mkuu.

Mfano ni kauli iliyo leta utata bungeni Leo baada ya kuonekana inavunja sheria ya mazingira ni ile aliyotoa Kagera kuwa wanaolima mitoni wasibugudhiwe na akampa hela kijana mkulima.

Kama hadharani anatoa kauli tata hivi jee kwenye vikao vya baraza la Mawaziri na vile vya chama inakuwaje?

Na kwa nini wasikae kimya atetee mwenyewe kile asemacho? Kuliko kuwafanya waonekane bure kabisa kwa kurekebisha neno lililo zungumzwa wazi mpaka watoto wamemuelewa?
 
Aliwatuma watafsiri? Je,mawaziri wote ni wataalamu wa kiswahili?Jamani,Rais wetu anaongea kiswahili fasaha kwa wananchi wake,sasa hawa wanaotafsiri wamegundua nini?Au wanahisi anaongea kichina?Waache kumharibia Rais wetu malengo yake kwa wananchi.Au kiswahili kimebadilika?
 
Jamani wadhani rais hata Ana shida kiasi hicho? Japana sijaona utata hapo kamaanisha hivo kuwa wanaolima karibu Na MTO wsibughudhiwe kama lingine ongea au uliza usitukane matusi ni dhambi vitabu vyote vitukufu vinasema nakilasaa Na dakika wako malaika wanaandika mambo yote unayoongea Na hata kama MTU mkubwa kama Yule akikosea mwambie tu kistaarabu atakuelewa kuliko kujichumia madhambi yakulizimisha ndugu yangu vitabu vimesema kwa ajili ya kujihami Na mdhambi kama huna maneno mazuri yakusema nyamaza nyinyi ndo wale mtafika kwa mungu kwa shauku ya kupata pepo lkn uikute imeenda kwa magufuli yote maana ulimtesa kwa matusi kila aina naye wala hakukurudishia nawe MH magufuli usiwarudishie tusi lolote kwakuwa hawajui watendalo acha wakakutane Na muuba wao hukohuko mheshmiwa.
 
Imekuwa ni tabia zoelefu sasa kwa mheshimiwa Rais kutoa kauli tata na zilizo kinyume na sheria zetu na kusababisha Mawaziri kuhangaika kutetea kauli hizo kuwa "msipotoshe kauli ya Rais' kama vile walio muelewa ni hao Mawaziri pekee na wengine hawawezi kuelewa asemacho mkuu.

Mfano ni kauli iliyo leta utata bungeni Leo baada ya kuonekana inavunja sheria ya mazingira ni ile aliyotoa Kagera kuwa wanaolima mitoni wasibugudhiwe na akampa hela kijana mkulima.

Kama hadharani anatoa kauli tata hivi jee kwenye vikao vya baraza la Mawaziri na vile vya chama inakuwaje?

Na kwa nini wasikae kimya atetee mwenyewe kile asemacho? Kuliko kuwafanya waonekane bure kabisa kwa kurekebisha neno lililo zungumzwa wazi mpaka watoto wamemuelewa?
Hao mawaziri wanatafsiri kwa kutumia kifungu gani cha sheria?!!
 
Waziri anafikiri yeye ndiye mwenye akili ya kumuekewa rais kuliko watanzania wote kiasi kwamba tumwamini yeye kuwa watu wanapotosha kauli ya rais. Hii ni tabia ya kujikomba tu. Alichosema rais kila aliyeona na kumsikia ndivyo kilivyo hakuna upotoshaji wowote yeye akubali tu kuwa rais anawaweka baadhi ya watendaji katika hali ngumu kwa kushiriki kuvunja sheria
 
Jamani wadhani rais hata Ana shida kiasi hicho? Japana sijaona utata hapo kamaanisha hivo kuwa wanaolima karibu Na MTO wsibughudhiwe kama lingine ongea au uliza usitukane matusi ni dhambi vitabu vyote vitukufu vinasema nakilasaa Na dakika wako malaika wanaandika mambo yote unayoongea Na hata kama MTU mkubwa kama Yule akikosea mwambie tu kistaarabu atakuelewa kuliko kujichumia madhambi yakulizimisha ndugu yangu vitabu vimesema kwa ajili ya kujihami Na mdhambi kama huna maneno mazuri yakusema nyamaza nyinyi ndo wale mtafika kwa mungu kwa shauku ya kupata pepo lkn uikute imeenda kwa magufuli yote maana ulimtesa kwa matusi kila aina naye wala hakukurudishia nawe MH magufuli usiwarudishie tusi lolote kwakuwa hawajui watendalo acha wakakutane Na muuba wao hukohuko mheshmiwa.

Mkuu unajua ukisema tu wanaolima karibu na Mto, wasibugudhiwe kila mtu atatafsiri anavyoelewa yeye au anavyotaka.
Kuna watakaolima hadi kwenye ukingo wa Mto, kuna watakaolima hadi meta moja kutoka mtoni, kuna watakaacha meta 2 kutoka mtoni n.k.

Ndiyo maana wataalam wa Mazingira wakaweka umbali kutoka mtoni ambao hautakiwi kutumika kwa shughuli za kibinadamu.

Kama huo umbali wa sasa unaonekana mkubwa sana afadhali ungepunguzwa, kuliko kuondoa kabisa.
 
Jamani wadhani rais hata Ana shida kiasi hicho? Japana sijaona utata hapo kamaanisha hivo kuwa wanaolima karibu Na MTO wsibughudhiwe kama lingine ongea au uliza usitukane matusi ni dhambi vitabu vyote vitukufu vinasema nakilasaa Na dakika wako malaika wanaandika mambo yote unayoongea Na hata kama MTU mkubwa kama Yule akikosea mwambie tu kistaarabu atakuelewa kuliko kujichumia madhambi yakulizimisha ndugu yangu vitabu vimesema kwa ajili ya kujihami Na mdhambi kama huna maneno mazuri yakusema nyamaza nyinyi ndo wale mtafika kwa mungu kwa shauku ya kupata pepo lkn uikute imeenda kwa magufuli yote maana ulimtesa kwa matusi kila aina naye wala hakukurudishia nawe MH magufuli usiwarudishie tusi lolote kwakuwa hawajui watendalo acha wakakutane Na muuba wao hukohuko mheshmiwa.
Kuna mzee mmoja alikuwa ni MWENYEKITI wa chama mkoa wa Ruvuma,siku moja alitembea akiwa tumbo wazi hadi nyumbani kwake na pia akiwa hana viatu.Watu wakaanza kumkosoa,heee ikaibuka misukule ya chama na kusema kuwa alikuwa anapunga upepo kwasababu anamaradhi yanayomsumbua.Kumbe jamaa alikuwa pombe mbayaaa.
 
Jamani wadhani rais hata Ana shida kiasi hicho? Japana sijaona utata hapo kamaanisha hivo kuwa wanaolima karibu Na MTO wsibughudhiwe kama lingine ongea au uliza usitukane matusi ni dhambi vitabu vyote vitukufu vinasema nakilasaa Na dakika wako malaika wanaandika mambo yote unayoongea Na hata kama MTU mkubwa kama Yule akikosea mwambie tu kistaarabu atakuelewa kuliko kujichumia madhambi yakulizimisha ndugu yangu vitabu vimesema kwa ajili ya kujihami Na mdhambi kama huna maneno mazuri yakusema nyamaza nyinyi ndo wale mtafika kwa mungu kwa shauku ya kupata pepo lkn uikute imeenda kwa magufuli yote maana ulimtesa kwa matusi kila aina naye wala hakukurudishia nawe MH magufuli usiwarudishie tusi lolote kwakuwa hawajui watendalo acha wakakutane Na muuba wao hukohuko mheshmiwa.

Kwani ukilewa ni lazima uje uchangie huku jukwaani? Ukiamka kesho baada ya pombe kukuisha kichwani, pitia uone ulichoandika mbali ya kwamba hakieleweki lakini uone kama una nukta wala koma. Hii ni baadhi ya sentesi ndefu kabisa duniani kupata kutokea.
 
Vyeo vya juu vimegeuka shubin acha awageuze visemeo tu Hakuna namna c waliyatak wenyw.hekima kw kiongozi ni tunu kutok kw Mwenyezi Mungu so if someone doesn't have it mmmh.....
Mkuu nimesikiliza majibu ya Kenya kupitia yule mama waziri Wa mambo ya nje kuhusu huu usemi Wa Magu kuhusu mifugo mpaka nimesikia aibu. Mama kaongea kidiplomasia hadi raha ukilinganisha na maneno ya kibabe yaliyotolewa.
Tunapita kipindi kigumu mno katika kauli za mzee wetu
 
Achilia mbali kuropoka, pia ana sifa ya kusema uongo...

344a22d082a392fc0fc2d2dfdaae37fe.jpg
 
Imekuwa ni tabia zoelefu sasa kwa mheshimiwa Rais kutoa kauli tata na zilizo kinyume na sheria zetu na kusababisha Mawaziri kuhangaika kutetea kauli hizo kuwa "msipotoshe kauli ya Rais' kama vile walio muelewa ni hao Mawaziri pekee na wengine hawawezi kuelewa asemacho mkuu.

Mfano ni kauli iliyo leta utata bungeni Leo baada ya kuonekana inavunja sheria ya mazingira ni ile aliyotoa Kagera kuwa wanaolima mitoni wasibugudhiwe na akampa hela kijana mkulima.

Kama hadharani anatoa kauli tata hivi jee kwenye vikao vya baraza la Mawaziri na vile vya chama inakuwaje?

Na kwa nini wasikae kimya atetee mwenyewe kile asemacho? Kuliko kuwafanya waonekane bure kabisa kwa kurekebisha neno lililo zungumzwa wazi mpaka watoto wamemuelewa?
Ndio mno washwa washwa

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Na kwa nini wasikae kimya atetee mwenyewe kile asemacho? Kuliko kuwafanya waonekane bure kabisa kwa kurekebisha neno lililo zungumzwa wazi mpaka watoto wamemuelewa?
kuna waziri kakuambia anateswa?
 
Back
Top Bottom