Rais aache kuwatesa Mawaziri kutafsiri kauli zake

Jamani wadhani rais hata Ana shida kiasi hicho? Japana sijaona utata hapo kamaanisha hivo kuwa wanaolima karibu Na MTO wsibughudhiwe kama lingine ongea au uliza usitukane matusi ni dhambi vitabu vyote vitukufu vinasema nakilasaa Na dakika wako malaika wanaandika mambo yote unayoongea Na hata kama MTU mkubwa kama Yule akikosea mwambie tu kistaarabu atakuelewa kuliko kujichumia madhambi yakulizimisha ndugu yangu vitabu vimesema kwa ajili ya kujihami Na mdhambi kama huna maneno mazuri yakusema nyamaza nyinyi ndo wale mtafika kwa mungu kwa shauku ya kupata pepo lkn uikute imeenda kwa magufuli yote maana ulimtesa kwa matusi kila aina naye wala hakukurudishia nawe MH magufuli usiwarudishie tusi lolote kwakuwa hawajui watendalo acha wakakutane Na muuba wao hukohuko mheshmiwa.
Unahubiri neno gani Leo?
 
Acha ujinga Magufuri ameipa heshima sana Tanzania Na watanzania kwa ujumla.Leo hii nchi zote za Afrika mashariki wanatuogopa kinoma, Sababu Tanzania lilikuwa kama Danguro la walanguzi wa kila sina .
Mnaogopwa na nani na kwa lipi? Hivi vyuoni mnapata nafasi ya post vitu vya ajabu ajabu!!?
 
Acha watu wapate Dozi,kuwa waziri sio lazima kama boti halikufai unaomba kushuka kama mh.wa wasamaria wa Washington DC
 
Waziri anafikiri yeye ndiye mwenye akili ya kumuekewa rais kuliko watanzania wote kiasi kwamba tumwamini yeye kuwa watu wanapotosha kauli ya rais. Hii ni tabia ya kujikomba tu. Alichosema rais kila aliyeona na kumsikia ndivyo kilivyo hakuna upotoshaji wowote yeye akubali tu kuwa rais anawaweka baadhi ya watendaji katika hali ngumu kwa kushiriki kuvunja sheria
kangi lugola anajikomba sio ?
 
Achilia mbali kuropoka, pia ana sifa ya kusema uongo...

344a22d082a392fc0fc2d2dfdaae37fe.jpg
Taarifa ya juu umetag arusha hii ya chini source yake?ni utumbo kabisa
 
Alishasema alikuwa anajaribu tu akasukumiziwa anayoyafanya tusimlaimu sana maana hakujiandaa kua presidaaa
East Africa haijawahi kuwa na Kiongozi wa kiwango cha JPM, Mutu mwenye iko na kisasi, Kimara walimkataa kabisa...Wabomolewe nyumba, Mbeya walikataa wazi wazi.... Hakuna kuutembelea mkoa husika, Mwanza walimchagua...wasibomolewe hata wakijenga barabarani... Sijawahi kuona roho ya kisasi ya hivi kwa kiongozi wa ngazi hiyo
 
yani mtu mmoja anaifanya nchi kama yake binafsi...pumbavu kabisa

Mpumbavu ni wewe usiyejiamini, badala yake unaamini kuwa kuna mtu mmoja anaifanya nchi kama yake binafsi.

Mpumbavu kabisa ni kama wewe ambaye hujitambui wala hujui kama hujui.

Mpumbavu ni huyo mleta mada ambaye anaamini Mawaziri wanaendeshwa na mteuzi wao.

Mpumbavu ni Mwananchi yeyote anayasukumwa na mawazo ya kisiasa kufanya shughuli zake za maendeleo.

Mpumbavu ni kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye kwake yeye matukio ndiyo agenda.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
Mpumbavu ni wewe usiyejiamini, badala yake unaamini kuwa kuna mtu mmoja anaifanya nchi kama yake binafsi.

Mpumbavu kabisa ni kama wewe ambaye hujitambui wala hujui kama hujui.

Mpumbavu ni huyo mleta mada ambaye anaamini Mawaziri wanaendeshwa na mteuzi wao.

Mpumbavu ni Mwananchi yeyote anayasukumwa na mawazo ya kisiasa kufanya shughuli zake za maendeleo.

Mpumbavu ni kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye kwake yeye matukio ndiyo agenda.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Bange na pombe kuzichanganya ni hatari kwa afya ya akili
 
Bange na pombe kuzichanganya ni hatari kwa afya ya akili
Usikate tamaa mapema, nchi hii ni yako, na ya kizazi chako cha sasa na kesho. Unapolaumu au kulalama unajiumiza mwenyewe.

Acha woga, uvivu wa kufikiri, na unyonge wako kwani utajinyonga mwenyewe. Hakuna mjomba atakayekuondolea unyonge huo.

THUBUTU NA SONGA MBELE.
 
Mie nimechoka lile la wananchi wanaolima kando ya mito wasibughudhiwe! nakuapia kuanzia jana mito na vyanzo vya maji vitavamiwa vyooote!
 
Mkuu nimesikiliza majibu ya Kenya kupitia yule mama waziri Wa mambo ya nje kuhusu huu usemi Wa Magu kuhusu mifugo mpaka nimesikia aibu. Mama kaongea kidiplomasia hadi raha ukilinganisha na maneno ya kibabe yaliyotolewa.
Tunapita kipindi kigumu mno katika kauli za mzee wetu
Hamia Kenya mkuu!
 
Ni vizuri pia wawe na kauli moja wanapotafsiri jambo ili kutuondolea mikanganyiko tumsikilize nani kila mmoja anakuja na taarifa zake zinazopishana na mwenzake,Mfano deni limekuwa Kwa sababu ya kugharamia miradi ikiwemo reli,mara imejengwa Kwa fedha za ndani.Tunashindwa tushike lipi maana sisi wananchi ndo walipaji tunakamuliwa kwelikweli kuanzia barabarani,kwenye umeme, huku madukani,nk.Ni vyema tujulishwe kodi zetu zinatumika vipi.
 
Imekuwa ni tabia zoelefu sasa kwa mheshimiwa Rais kutoa kauli tata na zilizo kinyume na sheria zetu na kusababisha Mawaziri kuhangaika kutetea kauli hizo kuwa "msipotoshe kauli ya Rais' kama vile walio muelewa ni hao Mawaziri pekee na wengine hawawezi kuelewa asemacho mkuu.

Mfano ni kauli iliyo leta utata bungeni Leo baada ya kuonekana inavunja sheria ya mazingira ni ile aliyotoa Kagera kuwa wanaolima mitoni wasibugudhiwe na akampa hela kijana mkulima.

Kama hadharani anatoa kauli tata hivi jee kwenye vikao vya baraza la Mawaziri na vile vya chama inakuwaje?

Na kwa nini wasikae kimya atetee mwenyewe kile asemacho? Kuliko kuwafanya waonekane bure kabisa kwa kurekebisha neno lililo zungumzwa wazi mpaka watoto wamemuelewa?
Screenshot_2017-11-09-13-31-04-1.png
 
Back
Top Bottom