Raia waua mwanajeshi Mbeya

Raia waua mwanajeshi Mbeya

ilikua zamani saivi haipo hiyo kama wanataka wafe wengine waje kupiga mtaani waone!

sawa mkuu tunasubiri taarifa kesho...si mnajua kuchukua sheria mkononi ngoja mlishwe dawa yenu
 
KUTOKA MBEYA:
Raia waua askari wa jwtz mbalizi mmoja na mwingine mahututi amekimbizwa hospital ya rufaa mbeya section mmoja ffu iko eneo la tukio. Chanzo cha Mauaji na vurugu hizo ni wivu wa mapenzi askar katembea na mchumba wa raia.

Hesabu siku hapo, wanyama wataingiaaaa
 
Yaani mchumba tu unauwa mtu! Kwani huyo bidada alilazimishwa kumegwa na mjeda?
 
Nasikia Wakazi wa Kigamboni kiliwahi kunuka wiki chache zilizopita
 
Nasikia Wakazi wa Kigamboni kiliwahi kunuka wiki chache zilizopita

Yah ni kweli, inasemekana ilikuwa ni usiku. Kuna mdada alikuwa anarudi nyumbani mida ya saa 4, kisha akakabwa na vijana.
Wakati akikabwa kuna mtu alivaa kiraia, na alivojaribu kupambana na wale watu wakampiga sana na kufikia hatua ya kufa.
KUANZIA KESHO YAKE HAKUONEKANA HATA PANYA WALA MENDE AKITEMBEA MTAA ULE, HATA KUNGURU WALIPOTEA. MTAA ULITULIA KUPITA MAELEZO KUFATIA KIPIGO WALICHOPATA.
 
Hahahahahaha........
 
Askari wanadhani wao ndiyo kila kila kitu, wanabambikia watu kesi za uongo sasa wanaona haitoshi wanawanyang'anya wake zao, wacha wapunguzwe tu, tutajilinda wenyewe
 
Mwenye makosa ni mwanamke aliyeamua kumegwa na wote... Wanaume tuwe tunatafakari tunapofumania wake/wachumba zetu... Na sio kukurupuka
 
Jeshi siku hizi ni la kisasa,wanaenda vijana wa mchuzi wa pweza. Waache wawazabe. Nimewahi shuhudia raia anampiga mjeda vitasa maeneo ya maili mbili Dodoma.
 
Maeneo ya Mbalizi haya matukio ni ya kawaida...

Tatizo kubwa ni watawala kuruhusu wanajeshi kuishi uraiani!!! Wanajeshi ni wafanyakazi wa umma wasiofanya kazi!!!!

huwa nawaona wanafyeka fyeka nyasi na majani pale mwenge jamaa hawako busy kabisa
 
ila hapo mbalizi week end hii hapatakalika

MPAKA SASA HAPAJAKALIKA JWTZ WANAGAWA KICHAPO BAR HADI BAR NYUMBA KWA NYUMBA HAKUNA HUDUMA ZA KIJAMII. kufikia jana saa mbili usiku hakuingiliki ksb show imepanda Hadi maeneo ya Ituta she'll kimenuka raia wanakula kipondo.
 
Back
Top Bottom