kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
Ila sidhani kama wajeda wana matatizo sana na raia labda hao wengine wa upande wa pili
Afadhali Polisi unaweza kuwaepuka, kukupiga hadi uingie kwenye anga zao. Ila hawa wajeda ndo hawana akili kabisa, unakuta mwenzao kapigwa/kauliwa na wengine but wao wakiitana kufanya revange hawaangalii nani muhusika, wanavamia hata wasiohusika (wenyewe wanasema wanafunga mtaa). Hawa watu mibangi inawaharibu, kwa upande wangu naona aheri police