Kim-Jong-Un
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 356
- 190
Hapa sasa nakuja kukubali kuwa kuna tatizo "in between", vyombo vya usalama vijuchunguze kwani hali ianelekea kubaya , R.I.P mjeda.
Hapan sasa nakuja kukubali kuwa kuna tatizo "in between", vyombo vya usalama vijuchunguze kwani hali ianelekea kubaya , R.I.P mjeda.
Mara nyingi ugomvi wa askari wa JWTz na wananchi unahusu wanawake na si vinginevyo.
una uhakika mkuu....?
1.sakata la wanajeshi kimya siwetu Fundikira chanzo dem tena alikuwa mke wa mtu
2.komando yule alisema huko tlk chanzo dem
3.mbeya nao chanzo dem
Vurugu zao zote mpaka na wao wanakuwa na mauti ni madem kiukweli Wana u shamba fulani na wanawake
Mwanajeshi sio raia
kila mwanajeshi ni citizen lakini sio civilian....labda hapo ndio ataelewa.kila mwanajeshi ni raia wa nchi hii lakini sio kila raia ni mjeda.
tafakari!!!
Maeneo ya Mbalizi haya matukio ni ya kawaida...
Tatizo kubwa ni watawala kuruhusu wanajeshi kuishi uraiani!!! Wanajeshi ni wafanyakazi wa umma wasiofanya kazi!!!!
Wanajeshi wamezidi umalaya ndio maana watu wanawatoa tu virigisi
Wanajeshi wa Tanzania wana ushamba wa k#ma sana
Duu! nahofia mzee wangu mtaa wa relini kule,maana ndo home kwetu tunapakana na usawa wa kambi hiyo ya mbalizi.Ila si mara ya kwanza,kuna mwaka mjeda aliuawa kwny club ya Power pub.
Duu! nahofia mzee wangu mtaa wa relini kule,maana ndo home kwetu tunapakana na usawa wa kambi hiyo ya mbalizi.Ila si mara ya kwanza,kuna mwaka mjeda aliuawa kwny club ya Power pub.
A cha ubwege wewe. Bila wajeda ungelala kwako?