Raia waua mwanajeshi Mbeya

Raia waua mwanajeshi Mbeya

mi najisikiaga raha nikisikia Police au Mwanajeshi kauliwa, maana wana ubabe wa kingese sana
 
mi najisikiaga raha nikisikia Police au Mwanajeshi kauliwa, maana wana ubabe wa kingese sana

Ila sidhani kama wajeda wana matatizo sana na raia labda hao wengine wa upande wa pili
 
Mapenzi hayana ushamba wala ujanja, Hata Clinton alizini ikulu.

Tatizo ni maamuzi unayoyayachukua pale maumivi ya Mapenzi yanapokukuta.

Usiniambia Mapenzi hayana maumivu labda uwe hujawai kupenda.

Ni washamba tu
 
Nakumbuka mwaka juzi kama sijakosea nao waliua mtu maeneo ya DDC asiye na hatia kisa mwenzao alihusika kwenye ugomvi na raia usiku hivyo akaenda kujikusanya na wenzie wakawa wanapiga kila waliemkuta yale maeneo.
Nidhamu jeshini siku hizi hamna kabisa,madogo wengi ambao ni fresh from depo wanaendekeza ubabe usio na tija kwa raia na wengi wao wamepanga uraiani kinyume na sheria zao.
 
Duu! nahofia mzee wangu mtaa wa relini kule,maana ndo home kwetu tunapakana na usawa wa kambi hiyo ya mbalizi.Ila si mara ya kwanza,kuna mwaka mjeda aliuawa kwny club ya Power pub.

Lazima utakuwa jirani yangu sio bure.Mwambie asicheze mbali na lango kuu la kuingilia ndani incase wakitokea.
 
Yaani nchi hii ukishakuwa mwanajeshi unajiona una haki ya kufanya lolote hasa kwa raia wanyonge...

Hiki kisa kinahusu uzinzi, ni visa vinavotokeo kila uchwao katika jamii yetu. msipandikize chuki bure, kwani wanajeshi ni raia wa kenya? ni Watanzania wenzentu, tunaishi nao uraiani mbona kuna watu wasio wanajeshi wanamega wake za wanajeshi? na tunawaona tuoche kupandikiza chuki kwa jambo la kipumbavu hatulipimi jambo, tukakalijadiriki kwa haki.
 
Back
Top Bottom