Raia waua mwanajeshi Mbeya

Raia waua mwanajeshi Mbeya

MPAKA SASA HAPAJAKALIKA JWTZ WANAGAWA KICHAPO BAR HADI BAR NYUMBA KWA NYUMBA HAKUNA HUDUMA ZA KIJAMII. kufikia jana saa mbili usiku hakuingiliki ksb show imepanda Hadi maeneo ya Ituta she'll kimenuka raia wanakula kipondo.

korea kaskazini Umeiona hii feedback lakini?

Acha kuwa Boost hao panyaRoad izo za kizamani za kupiga mtaa mzima ata asie na hatia tuna wa Burn tu kama yule pilot wa Jordan
 
Last edited by a moderator:
MPAKA SASA HAPAJAKALIKA JWTZ WANAGAWA KICHAPO BAR HADI BAR NYUMBA KWA NYUMBA HAKUNA HUDUMA ZA KIJAMII. kufikia jana saa mbili usiku hakuingiliki ksb show imepanda Hadi maeneo ya Ituta she'll kimenuka raia wanakula kipondo.

Nilitegemea hilo
 
Na yule raia aliyeuwawa baa na komando kesi yake iliisha vipi......au ndio mwanajeshi ana haki ya kumdhuru raia isipokuwa raia hana haki hiyo......??
 
Uonevu kama huu ndio unaotengeneza magaidi na vikundi vya book haram na watu wa kujitoa mhanga.....kwani ninavyojua hii nchi inaendeshwa kisheria na wala sio mambo ya jino kwa jino.....
 
Kuna baadhi ya wanajeshi hawajiheshimu kabisa yaan wake za watu wao wanaona poa tu kubeba japo pia wanawake nao wanaleta majanga haya kwa upande mwingine kwasababu ya tamaa za aina flani,, ona sasa mtapiga raia lakini mwenzenu ndio alishafariki, jiheshimuni wanajeshi kama ambavyo jamii inawaheshimu pia,,
 
Kumbuka mchumba sio mke acha ushambenga was mjeda kuuwawa
 
Back
Top Bottom