Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,372
Naam...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] really????
Am game! Tubet tu kama vipi..
Mimi naweka offer yangu, 100k for Hillary Clinton.
Leta yako [emoji39]
Naam...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] really????
Am game! Tubet tu kama vipi..
Uchaguzi wa nchi huo?uchaguzi ni mwezi 12
Hata mie nina mahaba ya huyo mama lakini naona mwenzangu Francis12 kanizidi!😀Una mahaba mazito na H C
Wewe unaishi wapi ?Marekani sasa hivi hakujakucha hayo majibu unayatoa wapi?
pamoja mkuu we pray for her.mie pia napenda Hillary ashinde
Duh aloohHata mie nina mahaba ya huyo mama lakini naona mwenzangu Francis12 kanizidi!😀
mkuu nchi yenyewe ya vita unaangalia mwenye nafuu na hayo maneno uliyo yasikia ni maneno tu hata kwenye kanga yamo.Hata atashinda Powa
Ila tu kwa wanaotambua da reality
Haswa kwa sisi watanzani ama waafrica
Hatupaswi kum cherish huyooo Queen of distractions,killed of muslims arabs and Christians
Ant Christ ant muslims,she's da real nasty skendolous
Open up you're eyes comrade Wangu bana vip eeh?
hata nikiweka dau ID zenyewe fake, na ni hewa kukimbiana ni rahisiUnaweka dau?
Hivi kweli mwanaume mzima na akili zako timamu unapanga foleni kwenda kumpigia kura Rais awe mwanamke? I can't believe this....!
you are so stu.pidHivi kweli mwanaume mzima na akili zako timamu unapanga foleni kwenda kumpigia kura Rais awe mwanamke? I can't believe this....!
Ukiamka utakuta serikali ya marekani ikiongozwa na mwanamkeTrump anakwenda kushangaza ulimwengu kwa kuinuka kidedea, anayebisha awake dau.![]()
Haya sasa asalaleeee kumbe kijpm wengi kinapandaYessssss.Hillary for president
mambo ya wabunge yametoka wapi aisee acha ubwegeKama wewe unavyoshabikia wabunge wa CCM kuhongwa milioni 10 kila mmoja wakapitisha muswada wa habari unatakiwa kupimwa akili.