Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Uchaguzi wa mwaka huu Marekani ni kimeo.... Clinton ni mwanamke sipendekezi aiongoze Marekani. Ni lazima niwe mkweli kuwa nina mfumo dume na ninaamini Marekani inahitaji kuongozwa kiume zaidi.... Trump sio mwanasiasa, ni rahisi sana kutuingiza vitani kwa njaa zake za kibiashara. Am on crossroad.
Hujaeleweka umelala wapi?
 
Ushindi kwa Donald Trump, sababu namfananisha na mkuu wetu kwenye uthubutu, kujiamini, ujasiri na msimamo.
 
basi usiyakuze utafungwa maana kwenye kampeni hudhalilishanaga hata vitu ndivosivo ila wakishamalizaga wanapoa balaa.
ila uchaguzi bado mpaka mwezi 12 nyuma ya siku 6 kabla ya sikukuu
 
uchaguzi wa usa.. wapiga debe wapo namtumbo tanzania...

tuongelee ya magufuli na lowassa.. ya wamarekani tuwaachie wamarekan

je namba wewe unaisoma au bado hujaanza kuisoma..

wenzetu uchaguzi hauna msaga sumu wala tot.. hawana nyimbo za kusomeshana namba
Pole hujui Hata ulichoandika..Marekani Ni Super Power among those super power countries.. Sasa Uchaguzi wao NA.mshindi wake mlengo wake kisiasa una effect au impact kwa Dunia Nzimaaa.....America ikiamua Kulipia Dunia kwa Nyuklia Basi Mimi NA wewe hatuna ujanja.Ni Taifa Kubwaa una Military Base yenye Nguvu..Wewe unasema nini...Nyamaza karibu tuangalie uchaguzi unavyoendelea Kwenye T.V
 
tumuombee? We should just pray for a fair and just and peaceful election...zaidi ya hapo siombei mtu!!!
 
Nakumbuka kipindi cha uchaguzi awamu ya kwanza ya Obama tulimuombea na kumshangilia hivi hivi tena tulikuwa tunaongezea kabisa ni mkenya jirani yetu.
**Team Trump**
 
binafsi natamani trump ashinde, ila clinton ndo rais ajaye marekani..
 
wewe usihadithie ndoto yako umemuona kamanda lema kaenda rumande kisa ndoto
. shaur yako..!
 
Kila chombo cha habari kikuu Duniani kwa sasa wanasema ni masaa tu yamebaki Hillary atoe hotuba ya shukrani kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa watu wa Marekani
 
uploadfromtaptalk1478587825068.jpg
 
Back
Top Bottom