Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

ujermuan taifa lenye uchumi mkubwa kuliko yote ulaya linaongozwa na mwanamke kwa awamu tatu mfululizo sasa leo wakickia ww unasemakuchagua mwanamama ni ujinga lazima wakakupime akili kwanza kabla ya kukubishia
 
yule ni counsellor sio rais hana nguvu yoyote ni kama secretary wa rais....Hapa tunazungumzia super power marekani kuongozwa na mwanamke
 
Hivi mbona akina mama wanaweza kulea watoto hata kama wamekimbiwa na waume zao, kweli kama hivyo akipewa nchi atashindwa kulilea taifa changanya na uzalendo tuachefikra mbovu na mifumo dume.
 
ww kweli mweupe kchwani unajua kila nchi rais ndo mtu mwenye mamlaka makubwa? hata israel wana rais but mamlaka makubwa yapo kwa waziri mkuu unawaaibisha lumumba wenzio aisee
 
Hivi mbona akina mama wanaweza kulea watoto hata kama wamekimbiwa na waume zao, kweli kama hivyo akipewa nchi atashindwa kulilea taifa changanya na uzalendo tuachefikra mbovu na mifumo dume.
kuongoza nchi sio sawa na kulea mtoto wewe mwanamke hawez kuhimili mikikimikiki ya Vita.....Ndio maana ikitokea vita wa kwanza kukimbia ni wanawake na watoto kwa sababu ni dhaifu kimwili na kiakili
 
Back
Top Bottom