Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

HILLARY CLINTON ndie mshindiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! anaebisha tupinge.
Naomba tupinge, hii ni the American Voice anabeba. We are going to make America Great Again
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Punguza maaba kijana huyo mama hawezi shinda.
Kila mu Africa kifo cha kaddafi kimemgusa
Na aliyekuwa ktk mstali wa mbele ktk kifo chake ni Hillary clinton sasa iwejee Leo as really Africans unakaa kabisa na ku cherish Hillary???
Hatuko sawa sisi it's totally insanity over this matters walahi tena,imbeciles
 
Watajuwa wenyewe na nchi yao ila sio kwa sisi wa Africa kuwa mstali wa.mbele na kumpamba hillary clinton,a huge mistakes and shamefully kabisa
 
Nimefurahi kugundua kuwa tabia za wapinzani wa kisiasa duniani kote zina shabihiana, kulalamika kuibiwa au kuchakachuliwa kwa uchaguzi. Trump zee zima linalalamikia kuchezewa faulu na bibi.

Na washawasha!
Open up you're eyes mkuu
 
You're missing da points comrades wangu ikiwa kama wee is really Africans...
 
Nimefurahi kugundua kuwa tabia za wapinzani wa kisiasa duniani kote zina shabihiana, kulalamika kuibiwa au kuchakachuliwa kwa uchaguzi. Trump zee zima linalalamikia kuchezewa faulu na bibi.

Na washawasha!
Kila mu Africa kifo cha kaddafi kimemgusa
Na aliyekuwa ktk mstali wa mbele ktk kifo chake ni Hillary clinton sasa iwejee Leo as really Africans unakaa kabisa na ku cherish Hillary???
Hatuko sawa sisi it's totally insanity over this matters walahi tena,imbeciles
 
Nimefurahi kugundua kuwa tabia za wapinzani wa kisiasa duniani kote zina shabihiana, kulalamika kuibiwa au kuchakachuliwa kwa uchaguzi. Trump zee zima linalalamikia kuchezewa faulu na bibi.

Na washawasha!
Samahani am not attacking you isipokuwa inashangaza mnoo hatuna uzalendo wa kweli wengi wetu sisi,naomba samahani sana kaka kama nimekwaza,plz [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Watajuwa wenyewe na balaa leo U.S.
Ila sio sisi watanzani ama muafrica haswa,kupoteza muda wako na kum cherish clinton jamani,come on brothers and sisters
 
I don't hate anyone ila huo ndoo ukweli wa mambo chukua ama kataa
Bi mkubwa ni nyoookoo [emoji95] [emoji95] [emoji95]
 
HILARY CLINTON atashinda mdipo dunia nzima itatikisika kwa usawa wa kijinsia na anaepinga aje hapa TUPINGE.
Hata atashinda Powa
Ila tu kwa wanaotambua da reality
Haswa kwa sisi watanzani ama waafrica
Hatupaswi kum cherish huyooo Queen of distractions,killed of muslims arabs and Christians
Ant Christ ant muslims,she's da real nasty skendolous
Open up you're eyes comrade Wangu bana vip eeh?
 
161107110641-election-night-in-america-general-card-image-exlarge-169.jpg

We are alerting results and key news
 
Back
Top Bottom