Kaonewa snKwa uchambuzi wangu. Muombolezaji alikuwa kakaa ila alivyoona msafara unakuja akaona ainuke tena huku ananyanyua mikono kusikitika na ndipo akapigwa ngumi, nadhani mlinzi alikosea.
Nazungumzia hawa wa barabarani wanaopigwa makofiKwamba ni watu masikini ndio wanaogusa majeneza?
Umeandika kuwa ni Imani za kimasikini, hebu ona hao...
Aisee. ona, acheni kuzodoa
Kayatimba.Kwa hiyo kuna sababu ya kumpiga nayo ni kiherehere?
Sawa sawq left hookInaitwa hook siyo jebu , ina undugu na upper cut ila yenyewe inatokea pembeni...left hook!
AiseeeKipindi cha jiwe msafara wake ilikuwa mara ya mwisho kupita geita, sasa zile escorts kabla yeye hajapita ilipita cruiser v8 ya wanajeshi ikamfata boda alikuwa anaendesha pembeni ya barabara ikampa kitu, kisha wakashuka kumtizama amesharest in peace walichofanya wakamwita polisi trafic alikuwa pembeni wakamwambia ita gari uondoe huu mzoga, kisha wao wakatoa kipande cha bumper ya mbele kilikuwa kimekatika wakakitupa pembeni ya barabara, kisha hao wakasepa
Lowasa ndy ashaondokaKama ni Mwanga au mlevi au unachanganya vyote viwili kaa mbali na jeneza la Lowasa
Hiyo Escort wamekamilika hayo maeneo
Nasikia jamaa kakata moto moja kwa mojaAlidhani anaenda iba maiti
Kwani Wewe utaishi milele?Lowasa ndy ashaondoka
Bye bye mzee
Ova
Inauma sana,kulikuwa na haja gani ya kumpiga? Je sheria inasemaje,anaweza kumshitaki kwa kumshambulia? Au wao walinda amani wana certificate ya kutushambulia raia?
Ndo mana wanachomwa visu, Sasa angekutana na mtu aliye pinda hafu nae akaenda kujibu mashambulizi kwa Kasi ya jet.Ile ngumi ipewe tuzo kama ngumi ya mwaka 2024
.kama kweli tuko makini huyu jamaa lazima achukuliwe hatua za kisheria kwa sababu kulikuwa hakuna sababu yoyote ya yule mlinzi kumshambulia yule muombolezaji mimi niko tayari hata kuchangia gharama za kesi.Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa Lowassa msije mkapigwa ngumi za uso au risasi.
Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio waliompenda.
Mwananchi