Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Kwamba ni watu masikini ndio wanaogusa majeneza?
Umeandika kuwa ni Imani za kimasikini, hebu ona hao...
iu

Aisee. ona, acheni kuzodoa
iu

iu
Nazungumzia hawa wa barabarani wanaopigwa makofi
 
Kipindi cha jiwe msafara wake ilikuwa mara ya mwisho kupita geita, sasa zile escorts kabla yeye hajapita ilipita cruiser v8 ya wanajeshi ikamfata boda alikuwa anaendesha pembeni ya barabara ikampa kitu, kisha wakashuka kumtizama amesharest in peace walichofanya wakamwita polisi trafic alikuwa pembeni wakamwambia ita gari uondoe huu mzoga, kisha wao wakatoa kipande cha bumper ya mbele kilikuwa kimekatika wakakitupa pembeni ya barabara, kisha hao wakasepa
Aiseee
 
Inauma sana,kulikuwa na haja gani ya kumpiga? Je sheria inasemaje,anaweza kumshitaki kwa kumshambulia? Au wao walinda amani wana certificate ya kutushambulia raia?
Mkuu, ukisema kampiga unapunguza uzito,amemtwanga ngumi nzito sana! Ile ni ngumi unayopigwa ili ama ufe kabisa au ufe kwa muda mfupi.

Bado hadi sasa najiuliza kama huyu mlinzi alikuwa sawa kiakili au ni mambo ya pombe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom