MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 4,860
- 15,205
Niliwahi kuahidi hapa jukwaani kwamba siku nitakayokutana na Lucas live ni lazima nimtandike makofi 3Unaweza kukuta aliyechapwa konde ni Lucas
Niliwahi kuahidi hapa jukwaani kwamba siku nitakayokutana na Lucas live ni lazima nimtandike makofi 3Unaweza kukuta aliyechapwa konde ni Lucas
😂😂😂Niliwahi kuahidi hapa jukwaani kwamba siku nitakayokutana na Lucas live ni lazima nimtandike makofi 3
Kwa hiyo kuna sababu ya kumpiga nayo ni kiherehere?akukuwa na sababu ya kumpiga kwanza jamaa alikua keshaanza kurudi nyuma nje ya barabara.
lakini na aliyepigwa aache kiherehere.
Kwakweli kaaibika kwenye tv familia yake inamuangalia tu home aache kiherehere kushobokea yasiyomuhusuKumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa Lowassa msije mkapigwa ngumi za uso au risasi.
Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio waliompenda.
Mwananchi
Polisi ni hamnazo kabisa. Sasa sehemu kama ile bunduki ina kazi gani? Pale mlimani city miaka iliyopita kwenye bank ya crdb kama sio nmb kabla haijamishiwa ndani ndani mule. Unakuta polisi yuko na smg ndani ya bank unabaki kujiuliza kama ile ni akili ya watu wazima au ujinga tu.Kwahiyo huyo mlinzi alikuwa anahofia huyo jamaa anaweza kumdhuru kwa kumjeruhi au hata kumuua maiti! Hayo majamaa yanakuaga majinga sana hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
Muache kiherehere kwenye mambo ya watu...watu wana jambo lao wee unajipendekeza hapo unaishia kuumizwa na kuchekwa ujinga!Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa Lowassa msije mkapigwa ngumi za uso au risasi.
Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio waliompenda.
Mwananchi
Moja ya iv za mwishoMaiti pia hulindwa wanga wengi waweza itaka maiti kuchukua nyota au viungo vya watu maarafu kufanyia uganga
Yule mwanga aliyetungwa ngumi akiwa kalewa kakutana na mjuzi ile ngumi ni kumuonyesha kuwa ukikolalia wewe Mimi ndiko nilikoamkia.Agenda Yako naijua
Jeneza lingeweza fika Monduli tupu hakuna mtu ndani jeneza tupu Asante Mlinzi uko fit
Huyo Mlinzi Yuko fit Kila eneo
Kwamba ni watu masikini ndio wanaogusa majeneza?Kadri Umaskini unavyoongezeka nchini na Imani Hiyo inazidi kukuta
Kule Zanzibar watu walikuwa wanatoka bara wanaenda Pemba kuchota mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif
Kinondoni Makaburini watu wanaenda kufagia kaburi la Kanumba
Huko Chato watu wanamiminika kila iitwapo leo Kaburini kwa Shujaa Magufuli
Hivyo vijana kutamani kuligusa Jeneza la Lowassa ni kutafuta Baraka na si vinginevyo, wavumiliwe
Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki Wenye Nyuso za Kukunjamana 😂
Dogo nae dhaifu,nani kamtuma!Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa Lowassa msije mkapigwa ngumi za uso au risasi.
Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio waliompenda.
Mwananchi
Inaitwa hook siyo jebu , ina undugu na upper cut ila yenyewe inatokea pembeni...left hook!Hilo jebu ni hatari
Next time waache kwenda kwenye hiyo misafara wawachie wenyewe wapiteWanatuona kama nyau tu
Kwa uchambuzi wangu. Muombolezaji alikuwa kakaa ila alivyoona msafara unakuja akaona ainuke tena huku ananyanyua mikono kusikitika na ndipo akapigwa ngumi, nadhani mlinzi alikosea.Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa Lowassa msije mkapigwa ngumi za uso au risasi.
Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio waliompenda.
Mwananchi
Ndy ashavuta na harudi tenaMaiti pia hulindwa wanga wengi waweza itaka maiti kuchukua nyota au viungo vya watu maarafu kufanyia uganga
Yule mwanga aliyetungwa ngumi akiwa kalewa kakutana na mjuzi ile ngumi ni kumuonyesha kuwa ulikolalia wewe Mimi ndiko nilikoamkia.Agenda Yako naijua mpuuzi wewe pokea ngumi hiyo
Jeneza lingeweza fika Monduli tupu hakuna mtu ndani jeneza tupu Asante Mlinzi uko fit
Huyo Mlinzi Yuko fit Kila eneo
Kama ni Mwanga au mlevi au unachanganya vyote viwili kaa mbali na jeneza la LowasaNext time waache kwenda kwenye hiyo misafara wawachie wenyewe wapite
Ova
Hii nchi masikini ni haramuKumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa Lowassa msije mkapigwa ngumi za uso au risasi.
Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio waliompenda.
Mwananchi