Raha ya kutongozwa...lol

Raha ya kutongozwa...lol

Mi nataka untongothee chumban nazuga stak il uni force!!!hapo ndo ntakupenda!!!!
 
Inategemea unatongozwa na nani na swag pia za mtongozaji.
Kuna watu wanatongoza kama deni vile,mpaka inakuwa karaha!!

Hivi mtongozo wa short cut na wa long way upi unaenjoisha?
 
...

.....kuna wawili.... pamoja na kuoga maji ya chumvi lakini njemba zinapita kama zina kutana na kisiki !!
 
UNAKUMBUKA HII SIKU??
1507135_498133380296981_132449354_a.jpg

Huyu demu naona anaelekea kukubali mechi.. tofauti na yule anayesema hivi "SIDANGANYIKI".....
 
Habari zenu wapendwa,........?

Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili,

hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway!

Back to the topic,..........


Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?

Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?

Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,

Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,

Jamani huwa mnajisikiaje?


Asalaaam Aleikhum...........................

Jamani rahaaa ukute mtongozaji ni domo zegee na mpenda tukutane sehemu za mbali watu wasimuonee, na mkifika chobingoo anatoa story za kazini kwake,nyumbani kwao,life style yaani kifupi ni nyuma ya topic husika wee ni rahaa sanaaaa. Sasa vile tunavyojua kuwasoma akili hapa unakaa naye dk30 unasepa unamwambia nawahi kuna ishu flani au nimetumwa mahali. Unaondoka unamuacha bado anahmu na wewe bax ataendelea kukusarandia na unamlia vijchench vyake hata mwaka mzima.
 
Hivi mtongozo wa short cut na wa long way upi unaenjoisha?

Long way,ila awe anakupa space ya ku digest sio kila akikuona/akipiga simu ni kuulizia jibu tu mpaka unatamani kubadili njia/namba ya simu.
Ukiona kimya kingi anza tu kuniita shemeji maana jibu likiwa yes utaona tu dalili hata kama huliulizii daily!!!
 
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh

inabidi nikutafute, maana nina sifa zote.......
 
aaa! Kuumbe bora umesema mapema hapa ni kukuagiza ukachukue chumba tu. Hakuna masuala ya kupoteza mda et nikutongoze

unanitumia 1,000,000 ya kuagizia chumba afu we unakuja na hela ya vinywaji hapo sawa
 
Back
Top Bottom