Mhhhhhhhhhhhhh
UNAKUMBUKA HII SIKU??
![]()
Kumbe hua wanatuchora.!?! Ndio mana nashangaa hawa mabinti wa siku hizi hawanga'ti kucha. Mtu unamtongoza anakuangalia.. Kha! Mpaka mistari inaruka..
mi sitongozwi kabisa!
Inategemea unatongozwa na nani na swag pia za mtongozaji.
Kuna watu wanatongoza kama deni vile,mpaka inakuwa karaha!!
Habari zenu wapendwa,........?
Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili,
hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway!
Back to the topic,..........
Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?
Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?
Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,
Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,
Jamani huwa mnajisikiaje?
Asalaaam Aleikhum...........................
ACHA TABIA HII...UTAONA TU..
![]()