Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,714
- 1,269
Habari zenu wapendwa,........?
Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili,
hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway!
Back to the topic,..........
Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?
Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?
Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,
Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,
Jamani huwa mnajisikiaje?
Asalaaam Aleikhum...........................
kwa kweli leo umenivunja mbavu na topic hii.....utanidaiHabari zenu wapendwa,........?
Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili,
hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway!
Back to the topic,..........
Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?
Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?
Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,
Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,
Jamani huwa mnajisikiaje?
Asalaaam Aleikhum...........................
raha sana kutongozwa hasa upate mtongozaji mzuri unaenjoy sana.. nakujiona wew ni muhimu sana kumbe ni mzuri na unahitajika. kuna wanaume wako very romantic yani akikutongoza tu kwa mara ya kwanza usiku hulali unafikiria tu maneno yake.. aghh kuna. wengne ni shiiida yani ovyo kabisa hupat hata muda wa kukumbuka lolote aliloongea
utam wa kutongozwa umepunguzwa na kasi ya wadada kuangalia mkwanja kwanza...
nyuso zao siku hizi ni kavuuuu,, hata umwambie dada nahitaji kupata dinner na wewe, yeye awaza kwanza atakwangua shs ngapi!
jana usiku kwenye simu lakini namtesa huyo balaaaaa
kwani huwa mnalazimishwa ama huwa hamtaki kujibu mapema ndio maana tunakuwa hatukati tamaa ama unasema hunitaki lakini vitendo vinanishawishi kuwa unanitakakwa nini unilazimishe aisee
huyu ameshasomeka acha kabisa kuchezea swaga za babuTyta bhana...
ha ha ha ha ha si kila mwanaume unamfanyia hivyo kama nakupenda wala sikusumbui kama sikupendi nakutesa mpaka ukome mwenyewe ,,, ila kuana wanaume wabishi yani kutongoza kuna kuwa tatizo kila siku yupo hata umjibu vibaya vipi.... kuna mmoja mpaka imefika mahali unamfokea lakini ananiambia eti kwake ye ni burudani yaaaani tabu kweli kweli
utalamba asali na maziwa huku ukisindikizwa na mauno laini loh
Hapo nitauza mpaka shamba la baba nitakupa na pin numba ya ATM card yangu, kama watasema umenipa limbwata acha waseme mchana usiku watalala.
unajua kwann sku hiz sionekani kuleeeeeee! Ujio unakaribia ila bado niko safar mbali kidogo. Nikirudi tu uelekeo kwako
nakusubiri urudi nikutese
Mara ya mwisho kutongoza lini? Kutongoza ni ushanba uliokithiri. Siku hizi bila hata kusema mtu anaelewa.
haya ahsante!